Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Urudi hospital ukapime kuona kama dozi imefanya kazi effectively
45c098e4fb43a09125be01643c503a4f.jpg
 
Tulipima mwezi wa 8 mwaka jana, wote wawili negative, mwezi wa tisa nikawa nimesafiri nikarudi mwezi wa 12 ,kwakuwa tulishapima miezi minne iliyopita sikuwa na shaka yoyote 30-31/12 tukacheza game kavu, kilichonistua sana mpaka nikamshawishi tukapime tena ni baada ya kuona jibu makalioni.
kwani jipu makalioni ndo kuwa na ngoma?
 
Ndio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Nimecheka kama mazuri eti aonje atazipatia wapi aonje?
 
Tulipima mwezi wa 8 mwaka jana, wote wawili negative, mwezi wa tisa nikawa nimesafiri nikarudi mwezi wa 12 ,kwakuwa tulishapima miezi minne iliyopita sikuwa na shaka yoyote 30-31/12 tukacheza game kavu, kilichonistua sana mpaka nikamshawishi tukapime tena ni baada ya kuona jibu makalioni.
unatakiwa upime baada ya miezi sita
 
Tulipima mwezi wa 8 mwaka jana, wote wawili negative, mwezi wa tisa nikawa nimesafiri nikarudi mwezi wa 12 ,kwakuwa tulishapima miezi minne iliyopita sikuwa na shaka yoyote 30-31/12 tukacheza game kavu, kilichonistua sana mpaka nikamshawishi tukapime tena ni baada ya kuona jibu makalioni.
Jipu makalioni ukahisi kaathirika au?
Halaf kwanini watu wengine wanaugua sana majipu ?
 
Hahahahahaa, wewe dada unavituko sana aiseee. I wish nikuone siku moja.
sijui ananionaga mimi malaya yaani haniamini kabisa ila kuniacha hawezi . ipo siku tu nitamuacha maana atanimaliza damu mwenzangu maana hata hela ya maini hanipi
 
Back
Top Bottom