Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Ikitokea umejichoma na kitu chenye ncha kali ambacho kina damu ya mwenye HIV, unapewa hiyo dawa kabla ya masaa 72 ili kuzuia maambukizi.
Kwa binti: Ukibakwa, ukitoa mzigo kwa ridhaa yako nyama kwa nyama harafu ukapata fahamu baada ya kuliwa etc - unaweza pia kuomba msaada upewe PEP
 
Nilimaliza dozi 31/01/18 lakini mpaka leo hii najisikia kichefuchefu, nitumie dawa gani itakayoondoa hii hali?
Hongera na pole bwana!

Bwana hii !mambo we acha Tuy! Inakera mno! We vidonge ngani vikubwa ivyo? Aiseee afu vina harufu kinoma, mbaya zaidi usku vinaleta ndoto za ajabu ajabu mno, kila kwa sasa nimejifunza, siwezi enda peku peku, NITAKULA PIPI NA GANDA LAKE!

Mm mwenzio nilipomaliza tu nilikaa kama siku tatu adi NNE nikawa fureshi!
 
Asante, sio usiku tu muda wowote ukipitiwa na usingizi unaota unazikwa ukiwa hai
 
Pole sana mkuu,vipi ulilala na changudoa nini?
 
Ndio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Labda vinatofautiana, lakini km ni vile nilivyokuwa nameza Mimi,dozi Yake n kimoja kwa siku moja tena nilishauriwa kumeza wakati wa usku ninapotaka kulala tu
 
Ukiwaambia umepiga peku hawakupi dawa badala yake watakupa matumaini tu, mwisho wa siku unakuta tayari umethirika
Hpn wanakupa buana, labda sijui uko uliko Ndg, mm mwenyewe nilishawah kuleta Uzi humu unaohusiana na hizo dawa, and now I'm good
 
Labda vinatofautiana, lakini km ni vile nilivyokuwa nameza Mimi,dozi Yake n kimoja kwa siku moja tena nilishauriwa kumeza wakati wa usku ninapotaka kulala tu
Mimi nilipewa 30 vya usiku tu,pia nikapewa 60 mchana na usiku
 
Hakukuta bikra ndio maana hakuamini
Ila hata mwenyewe simuamini bora tupimane tu
Unajua kupata ugonjwa rahisi sana
Ila watu wenye huo ugonjwa sisemi kwa ubaya wana roho mbaya.kama unajua una ugonjwa kwanini umuambukize mwingine?
 
Ila hata mwenyewe simuamini bora tupimane tu
Unajua kupata ugonjwa rahisi sana
Ila watu wenye huo ugonjwa sisemi kwa ubaya wana roho mbaya.kama unajua una ugonjwa kwanini umuambukize mwingine?
[emoji24] [emoji24] [emoji24] hujakosea hata kidogo Miss Natafuta, walio wengi sana roho mbaya sana ila si wote, 99.9% wana roho mbaya
 
Back
Top Bottom