witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Huuuu huuuu....usingeliona jee? Haaaaa HaaTulipima mwezi wa 8 mwaka jana, wote wawili negative, mwezi wa tisa nikawa nimesafiri nikarudi mwezi wa 12 ,kwakuwa tulishapima miezi minne iliyopita sikuwa na shaka yoyote 30-31/12 tukacheza game kavu, kilichonistua sana mpaka nikamshawishi tukapime tena ni baada ya kuona jibu makalioni.