chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
Yote kwa yote pole bro, ngoma isikie kwa mwenzio tu!Hata wakikupa hawawezi kujali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote kwa yote pole bro, ngoma isikie kwa mwenzio tu!Hata wakikupa hawawezi kujali sana
Nimejifunza kitu kikubwa sana, mwenye ngoma anastahili kuhurumiwa sana mateso ya zile dawa si ya dunia hiiYote kwa yote pole bro, ngoma isikie kwa mwenzio tu!
We acha tuIla hata mwenyewe simuamini bora tupimane tu
Unajua kupata ugonjwa rahisi sana
Ila watu wenye huo ugonjwa sisemi kwa ubaya wana roho mbaya.kama unajua una ugonjwa kwanini umuambukize mwingine?
Anajifanya kukubali maana anajua hutaenda.ukizubaa imekula kwakoWe acha tu
Wenye HIV + wana roho ngumu sana, yaani unakuta anapretend na unamwambia twende tukapima linakubali tu, cjui linakuwa linajuwa unalitania, mm sijuagi yanafikiriaga nini hiyo mijitu! Mishenzi mnoooo!
Mijinga mnoooo!Anajifanya kukubali maana anajua hutaenda.ukizubaa imekula kwako
Ila tujitaidi kupimana jamani ohoooMijinga mnoooo!
Utakapojua hali Yake kuwa ni + hakika kijasho chembamba lazima kikutoke
Au dawa zinawaharibu maana kweli kabisa unajua una ugonjwa unamuambukizaje mwenzio?[emoji24] [emoji24] [emoji24] hujakosea hata kidogo Miss Natafuta, walio wengi sana roho mbaya sana ila si wote, 99.9% wana roho mbaya
SawaNimeshajibu
Sio wajinga ila tuseme kweli utu hawanaMijinga mnoooo!
Utakapojua hali Yake kuwa ni + hakika kijasho chembamba lazima kikutoke
MTU akikosa utu ujue huyo n Mnyama, haijalishi yy alipataje ila anatakiwa kuwa muwazi!Sio wajinga ila tuseme kweli utu hawana
Yaani wagonjwa wangekuwa wazi huu ugonjwa ungeshaishaMTU akikosa utu ujue huyo n Mnyama, haijalishi yy alipataje ila anatakiwa kuwa muwazi!
Tujitahidi kutumia mipira tu,wanaeneza maksudi anajua anao anakubali kirahisi sana na hakwambii uvae mpira, na akishajua hutavaa mpira anaikausha kwelikweli ili upate michubukoYaani wagonjwa wangekuwa wazi huu ugonjwa ungeshaisha
Mpira unafangasiTujitahidi kutumia mipira tu,wanaeneza maksudi anajua anao anakubali kirahisi sana na hakwambii uvae mpira, na akishajua hutavaa mpira anaikausha kwelikweli ili upate michubuko
Mateso gani mkuu?Nimejifunza kitu kikubwa sana, mwenye ngoma anastahili kuhurumiwa sana mateso ya zile dawa si ya dunia hii
Haa haa ilishawahi kukutokea mkuu? Kwamba mkapime akakubali?We acha tu
Wenye HIV + wana roho ngumu sana, yaani unakuta anapretend na unamwambia twende tukapima linakubali tu, cjui linakuwa linajuwa unalitania, mm sijuagi yanafikiriaga nini hiyo mijitu! Mishenzi mnoooo!
Kuna jamaa kitaa ana mihela ila ndo hivyo ....jamaa ana roho mbaya mnoo kwa watu anaodhani ni wazima, ndugu zake sasa wanakoma hataree, anawanyanyasa huyooAu dawa zinawaharibu maana kweli kabisa unajua una ugonjwa unamuambukizaje mwenzio?
Kuliwa/ kula kavukavu ni sawa na kujivalisha mabomu mda wowote linalipuka!Tujitahidi kutumia mipira tu,wanaeneza maksudi anajua anao anakubali kirahisi sana na hakwambii uvae mpira, na akishajua hutavaa mpira anaikausha kwelikweli ili upate michubuko
Bora fangasi kuliko nyenyereMpira unafangasi
Bas hukunjwa ile twaita 1g, kidonge kimoja daily ile ina efaveranz hii kitu sio mchezo yaweza kukufanya ukakosa usingiz kwa kuogopa ota ndoto mbaya sanaNdio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Lakini kina detect antibody za mwili baada ya mwili kushambuliwa na virus, so bado kina mapungufu yake kipo kimoja ni bioline kina detect antigen kabisa hicho hata maambukizo ya siku 10 cha detect, hii unigold ni kuanzia siku 90hichi kinaitwa unigold eeh nasikia hakidanganyi . mchepuko wangu ananipima navo kila siku akitaka gemu.ila mungu anamuona