Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Ndio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Hivi sio kidonge kimoja kwa siku au zinatofautiana
 
Ndio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Iyo balaa inaendesha si mchezo
 
Take promethazine tabs
Promethazine is first generation antihistamine,anaweza tumia lakini kwa kuwa yeye ametangulia kuelezea jinsi PPE ilivyomchosha,sidhani kama promethazine ni good option maana ina sedative effect with long half life. Kwa ushauri wangu ondansetron is a better choice ,pia anaweza tumia metoclopramide.
 
Hivi sio kidonge kimoja kwa siku au zinatofautiana
Mimi nilikuwa nameza kimoja asubuhi viwili usiku ni aina mbili.
1 x 1 usiku tu baada ya masaa 24
1 x 2 baada ya masaa 12
 
Urudi hospital ukapime kuona kama dozi imefanya kazi effectively
 
jamani kuweni mnapima kabla ya kugegedana
Tulipima mwezi wa 8 mwaka jana, wote wawili negative, mwezi wa tisa nikawa nimesafiri nikarudi mwezi wa 12 ,kwakuwa tulishapima miezi minne iliyopita sikuwa na shaka yoyote 30-31/12 tukacheza game kavu, kilichonistua sana mpaka nikamshawishi tukapime tena ni baada ya kuona jibu makalioni.
 
Amesema amechomwa na kitu chenye ncha kali au mi ndio sijaelewa..??
Ukiwaambia umepiga peku hawakupi dawa badala yake watakupa matumaini tu, mwisho wa siku unakuta tayari umethirika
 
Back
Top Bottom