frem zero
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 595
- 875
Ndo inakuwa dozi ya mwezi mzima?Ikitokea umejichoma na kitu chenye ncha kali ambacho kina damu ya mwenye HIV, unapewa hiyo dawa kabla ya masaa 72 ili kuzuia maambukizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo inakuwa dozi ya mwezi mzima?Ikitokea umejichoma na kitu chenye ncha kali ambacho kina damu ya mwenye HIV, unapewa hiyo dawa kabla ya masaa 72 ili kuzuia maambukizi.
Ndio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yakeNdo inakuwa dozi ya mwezi mzima?
Hivi sio kidonge kimoja kwa siku au zinatofautianaNdio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Iyo balaa inaendesha si mchezoNdio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Promethazine is first generation antihistamine,anaweza tumia lakini kwa kuwa yeye ametangulia kuelezea jinsi PPE ilivyomchosha,sidhani kama promethazine ni good option maana ina sedative effect with long half life. Kwa ushauri wangu ondansetron is a better choice ,pia anaweza tumia metoclopramide.Take promethazine tabs
We kausha tu kitaisha ilimradi hautapikiNilimaliza dozi 31/01/18 lakini mpaka leo hii najisikia kichefuchefu, nitumie dawa gani itakayoondoa hii hali?
Mimi nilikuwa nameza kimoja asubuhi viwili usiku ni aina mbili.Hivi sio kidonge kimoja kwa siku au zinatofautiana
Dunia inabadilika ghafla unakuwa katikati ya duniani na kuzimu,ndoto za ajabu ajabu kila siku.Iyo balaa inaendesha si mchezo
Amesema amechomwa na kitu chenye ncha kali au mi ndio sijaelewa..??jamani kuweni mnapima kabla ya kugegedana
Kwanini ujisumbue kupima wakati pep zipojamani kuweni mnapima kabla ya kugegedana
AYA TUMIENIKwanini ujisumbue kupima wakati pep zipo
Sometimes huwa zina fail!Kwanini ujisumbue kupima wakati pep zipo
Tulipima mwezi wa 8 mwaka jana, wote wawili negative, mwezi wa tisa nikawa nimesafiri nikarudi mwezi wa 12 ,kwakuwa tulishapima miezi minne iliyopita sikuwa na shaka yoyote 30-31/12 tukacheza game kavu, kilichonistua sana mpaka nikamshawishi tukapime tena ni baada ya kuona jibu makalioni.jamani kuweni mnapima kabla ya kugegedana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kajaribu kumeza walau siku 3 tuKwanini ujisumbue kupima wakati pep zipo
Ukiwaambia umepiga peku hawakupi dawa badala yake watakupa matumaini tu, mwisho wa siku unakuta tayari umethirikaAmesema amechomwa na kitu chenye ncha kali au mi ndio sijaelewa..??