Huuuu huuuu....usingeliona jee? Haaaaa HaaTulipima mwezi wa 8 mwaka jana, wote wawili negative, mwezi wa tisa nikawa nimesafiri nikarudi mwezi wa 12 ,kwakuwa tulishapima miezi minne iliyopita sikuwa na shaka yoyote 30-31/12 tukacheza game kavu, kilichonistua sana mpaka nikamshawishi tukapime tena ni baada ya kuona jibu makalioni.
ila bna kupata ngoma rahisi sana .tena kama unaogopa kupima. bora upime ujue status yako from there usikubali tena pekupeku.sasa mchepuko ulikuwa safe mwaka jana tu leo feb keshauza mechi na kuungua jamani.dah nimemuonea huruma .labda alibakwaMiezi minne sio sita, ni mchepuko
ngoma haionekaniki mapema .bado upo kwenye window period . miezi mitatu au sita unakuwa na jibu mubasharaYupo aliyesema ngoma inaonekana baada ya miezi sita, namimi nimepima baada ya wiki 6 tu
Wewe serious?Sio kuwa na ngoma, ila yeye alionekana na ngoma,baada ya kwenda kupima
Washanidanganya basi maana waliniambia baada ya siku 30 tungoma haionekaniki mapema .bado upo kwenye window period . miezi mitatu au sita unakuwa na jibu mubashara
Kumbe sawaSi aende ANGAZA akawaambie kakutana na majanga, watampa
We unamuamini huyu jamaa na hii chai?ila bna kupata ngoma rahisi sana .tena kama unaogopa kupima. bora upime ujue status yako from there usikubali tena pekupeku.sasa mchepuko ulikuwa safe mwaka jana tu leo feb keshauza mechi na kuungua jamani.dah nimemuonea huruma .labda alibakwa
Tusimulie kidogo basi kwa hiyo mmeachana?Nikahisi kaathirika na ikawa kweli
Duuh! Pole sana. Vipi yeye huwa anapima pia!?sijui ananionaga mimi malaya yaani haniamini kabisa ila kuniacha hawezi . ipo siku tu nitamuacha maana atanimaliza damu mwenzangu maana hata hela ya maini hanipi
Kwakweli nakushauri hata wewe utulie saaaaanaInabidi utulie na MTU wako sasa. Hiyoo ni fursa Mungu kakupa tena.
hujapata bnaWashanidanganya basi maana waliniambia baada ya siku 30 tu
,na mimi nikapima baada ya siku 44
Usinicheke WitnessHuuuu huuuu....usingeliona jee? Haaaaa Haa
yes tunapimana woteDuuh! Pole sana. Vipi yeye huwa anapima pia!?
Yah mwezi wa 8/2017 alikuwa vizuri kabisa, tulikuwa na mpango wa kuzaa umeyeyuka ghaflaila bna kupata ngoma rahisi sana .tena kama unaogopa kupima. bora upime ujue status yako from there usikubali tena pekupeku.sasa mchepuko ulikuwa safe mwaka jana tu leo feb keshauza mechi na kuungua jamani.dah nimemuonea huruma .labda alibakwa
Janu-ary jbuKwa hio mlkutana kimwili kisha mkaenda kupima? ASA hapo huoni Ka hayo masaa 72 yalipita au mlpma SKU hyohyo mlokutana kimwili?
100%Wewe serious?
Kwakweli nakushauri hata wewe utulie saaaaana
Unanitia moyo, yote yanawezekana lakinihujapata bna
Hapo sawa mama!yes tunapimana wote