Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Lakini kina detect antibody za mwili baada ya mwili kushambuliwa na virus, so bado kina mapungufu yake kipo kimoja ni bioline kina detect antigen kabisa hicho hata maambukizo ya siku 10 cha detect, hii unigold ni kuanzia siku 90
Hicho cha bioline kinauzwa???? Matumizi yake yapoje??? Naomba unipe elimu mkuu
 
Lakini kina detect antibody za mwili baada ya mwili kushambuliwa na virus, so bado kina mapungufu yake kipo kimoja ni bioline kina detect antigen kabisa hicho hata maambukizo ya siku 10 cha detect, hii unigold ni kuanzia siku 90
Weka picha tuone
 
Hahaa!!!! Mkuu iliikuwaje hadi ukahisi huyo mtu uliyelala naye ana ngoma?
 
Labda vinatofautiana, lakini km ni vile nilivyokuwa nameza Mimi,dozi Yake n kimoja kwa siku moja tena nilishauriwa kumeza wakati wa usku ninapotaka kulala tu
Hata Mimi kuna mshkaji wangu alijiipua na changudoa usiku wa mwaka mpya,akapewa dose kama yako
 
Hpn wanakupa buana, labda sijui uko uliko Ndg, mm mwenyewe nilishawah kuleta Uzi humu unaohusiana na hizo dawa, and now I'm good
Siku hizi wanakupima kwanza,wasije wakakupa dawa kumbe ulishapata ukimwi miaka 2 iliyopita
 
Ila hata mwenyewe simuamini bora tupimane tu
Unajua kupata ugonjwa rahisi sana
Ila watu wenye huo ugonjwa sisemi kwa ubaya wana roho mbaya.kama unajua una ugonjwa kwanini umuambukize mwingine?
Kuna mmoja aliniambia ukweli kuwa ashaungua, nilimshukuru Sana... Daaah tangu siku hiyo simuamini yeyote
 
Kuna mmoja aliniambia ukweli kuwa ashaungua, nilimshukuru Sana... Daaah tangu siku hiyo simuamini yeyote
Mimi nilimfuma mmoja yaani nilinusurika mpaka Leo najiona mwenye bahati kuliko ya biko.sitoacha kumshukuru MUngu yaani .
 
Hahaa!!Nimeacha saizi mpenzi wangu ni sigara,ila nyege noma,saizi kila nitakayemgegeda nampima kwanza,kutumia condom sitaki bora nipige puli tu
Sigara?utakuwa unanuka balaa.sigara mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…