Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

kuchepuka sio dili, hivi niulize wadau ukipiga finger kwenye papuchi ya binti/mwanamke unaemgegeda unaweza kupata ukimwi? Halafu ile kuvaa kondom na kuvua kisha ukavaa mpya kwa bao la pili na la 3, 4, 5 huwez kupata ukimwi kweli pale!
Itategemea km huna mchubuko mikononi huwezi pata ila kumbuka ajali na bahat mbaya hutokea
 
PEP inatolewa kabla ya masaa 72 tangu umetembea na mtu ambaye ameathirika au kujichoma sindano au vifaa vya ncha kali toka kwa mtu ambaye ameathirika sasa kwa story yako hujatuambia ulipewa PEP ulishatembea na huyo mtu je kama ulishatembea nae unauhakika mpk unapewa PEP masaa 72 yalikua hayajaisha kama yalishaisha posibility yako yakupona inategemea haukupata mchubuko wowote na si vinginevyo so please ukimaliza PEP unatakiwa upime palepale na utakaa muda kidogo urudie tena lakini masaa 72 ndio mwongozo wako muhimu hapo
 
Aisee kondom ni muhum sana maishan,askwambie mtu,..hii zana nmeshaizoea kias kwamba nisipokua nayo mashine hugoma kusimama.
 
Mchukue mkeo muanze klinik ya maombi hapo nyumbani Mungu atawajibu, kwa msaada wa maombi unaweza ukanicheki mkuu
 
kuchepuka sio dili, hivi niulize wadau ukipiga finger kwenye papuchi ya binti/mwanamke unaemgegeda unaweza kupata ukimwi? Halafu ile kuvaa kondom na kuvua kisha ukavaa mpya kwa bao la pili na la 3, 4, 5 huwez kupata ukimwi kweli pale!
ukishapiga bao ni vyema demu ndo aitoe condom au akiitoa mwanamme anatakiwa atumie tissue
 
Sasa mkuu... duh!hii pep yako mbona haieleweki!yaani mlikutana kama leo halafu mkapima baada ya muda gani labda...maana usijekuwa umepunguza tu dawa za watu.!![emoji124][emoji124]
Hahahaaa,, asante sana mkuu kwa kuuliza hilo swali ,na mimi nilitaka nimuulize isijekuwa wame kwichi kwichi kwa mwezi mzima halafu ndio akaenda kutumia PEP,,, hapo atakua anaongeza ukosefu wa dawa kwa wahitaji tu bure
 
Nilimaliza dozi 31/01/18 lakini mpaka leo hii najisikia kichefuchefu, nitumie dawa gani itakayoondoa hii hali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…