Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Nimechanganyikiwa mana nimepasukiwa na condom wakati tukifanya mapenzi ikabidi tukapime nikakuta kumbe mwenzangu ana VVU wamenipa dawa PEP. Imetokea leo asubuhi hayajapita masaa 24 nimemeza PEP

Je kweli zitanikinga?
Duuh kijana inaonekana elimu ya vvu huna kabisa maana haimanisha kupasuka kwa kondom tu kukapelekea ww kupata vvu unaweza ukafanya tendo la ndoa na mwenye vvu na bado usipate inategemea jinsi ya uhandaaji wako na ukeni palivo sio umekunywa viroba vyako ukasugua mpaka ukapata michupa.

Kuhusu hizo dawa hosp wamefanya kama kingi ikitokea ulipata kwenye kamchezo hako pasi upatie pa kusalimia ni sawa na mfano huu ni heri kuamini mungu yupo kuliko kusema hakuna mungu je ikitokea yupo mungu itakuwaje kwahiyo tumia dawa hizo
 
Duuh kijana inaonekana elimu ya vvu huna kabisa maana haimanisha kupasuka kwa kondom tu kukapelekea ww kupata vvu unaweza ukafanya tendo la ndoa na mwenye vvu na bado usipate inategemea jinsi ya uhandaaji wako na ukeni palivo sio umekunywa viroba vyako ukasugua mpaka ukapata michupa. Kuhusu hizo dawa hosp wamefanya kama kingi ikitokea ulipata kwenye kamchezo hako pasi upatie pa kusalimia ni sawa na mfano huu ni heri kuamini mungu yupo kuliko kusema hakuna mungu je ikitokea yupo mungu itakuwaje kwahiyo tumia dawa hizo
Nimechanganyikiwa kabisaaa sielewi nifanye nn! Yaani usiombe!! sitarudia tena maana ni masaa tu ila nimekonda
 
We wenzio asubuhi wanaenda kwenye mihangaiko we unadamkia kwenye Nundu
 
Yaani asubuhi asubuhi umeamkia! Km hukufanya kwa hasira (km ndio hutopata tena) umepona. Hadi itokee michubuko ndio kunakua na iwezekano mkubwa kupata. Pole mkuu
 
Nawashauri wanaume wenzangu, ukifanya ngono na mtu usiyemfaham (usiye na imani naye) usitumie nguvu nyingi, tukumbuke ile kitu haiishi. Michubuko ndio inaongeza uwezekano wa kuambukizana AIDS.

Unaweza fanya mapenzi na mtu mwenye nao na usipate km utafanya kwa akili na bila papara. Binafsi najiongeza sn kwani kutumia kinga mtihani, sijazoea
 
Nawashauri wanaume wenzangu, ukifanya ngono na mtu usiyemfaham (usiye na imani naye) usitumie nguvu nyingi, tukumbuke ile kitu haiishi. Michubuko ndio inaongeza uwezekano wa kuambukizana AIDS. Unaweza fanya mapenzi na mtu mwenye nao na usipate km utafanya kwa akili na bila papara. Binafsi najiongeza sn kwani kutumia kinga mtihani, sijazoea
Hazina maana usitumie kabisa utakulaje pip na ganda¿¿¿
Akili kumkichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
God is good, nimepima tena tarehe 6/10/2017 majibu yako poa yaani negative
 
IMG_20180130_082715.jpg


Kama
IMG_20180131_122807.jpg


Habari zenu wanaJF,

Mwezi mmoja uliopita nilileta uzi kuhusiana na kutembea na binti mwenye VVU,

Lengo kuu la kutembea na huyo binti ilikuwa ni tamaa ya kutaka kupata mtoto hata nje ya ndoa kwani mke wangu hana uwezo wa kupata ujauzito! Nimeishi nae toka 2010 lakini mpaka sasa hajawahi kupata ujauzito.

Tulienda hospital zifuatazo kutaka kupata tiba na suluhisho lakini imeshindikana. Saint Gasper Itigi, Upendo hospital (Dodoma), Agha Khan (Dodoma), General hospital (Dodoma), CF (Mwanza), Kamanga (Mwanza), Sekuture (Mwanza), Bugando (Mwanza) kwa Dkt Mwaka ( mtaalamu wa tiba mbadala- Ilala Bungoni)

Huko kote sio tu alikuwa anapatiwa peke ake matibabu, lah hasha hata mimi nilikuwa napimwa sperm analysis, nakuonekana niko poa.

Kisa cha mke wangu kutopata ujauzito ndio kilichonipelekea kutoka nje ya ndoa.

Mara baada ya kutembea na huyu mdada niliamua kwenda kumpima ili tuanze rasmi safari ya kutafuta mtoto tukiwa tunajiamini sote.

Tulipoenda maabara, huyu binti aligundulika kuwa +, sikuamini, nikamchukua kwenda maabara nyingine, majibu yalikuwa yale yale tu yaani she was HIV positive.

Immediately nikaamua kwenda Angaza, nikapewa hizo (PEP) nikaambiwa nizitumie mwezi mzima kisha nipime tena baada ya kumaliza hiyo dozi.

Kiukweli dawa hizi zinamaudhi sana mwanzoni, ndoto za ajabu, njaa kuumua kupita kiasi na kichefuchefu.

Doz hiyo nimemaliza juzi, so nilikuwa najishauri kwenda kupima huku moyo mwingine ukisita lakini nikaamua bora niende tu liwalo na liwe, maana hakuna kitachobadilika kama nitakuwa nimeathirika ni bora nijijue mapema tu! Basi bwana, nikaenda maabara, nimepimwa na kukutwa mzima (negative), hakika sikuamini ilibidi nimwelezee huyo aliyenipima situation ilivyokuwa, akasema hiyo inawezekana ukatembea na mwenye HIV kama kutakuwa na maandilizi ya kutosha na kusitokee mchubuko basi ni nadra zana kuambukizwa kwa mtu aliye negative.


Napenda kumshukuru mungu kwa kuniepusha na hili janga, na safari yangu ya kutafuta mtoto nje ya ndoa, nimeifuta rasmi.

Najua nawachosha lakini hiyo ndio hali halisi.

Hapa chini ni kopo la hizo dawa na majibu yangu, Mara baada ya kupima Leo.


Onyo! UKIMWI HAUJARIBIWI!KONDOM NI MUHIMU SANA!
 
Back
Top Bottom