Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Fahamu zaidi kuhusu kinga ya Ukimwi iitwayo PEP

Ndio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Eti mwili umepigwa marungu
 
Ikitokea umejichoma na kitu chenye ncha kali ambacho kina damu ya mwenye HIV, unapewa hiyo dawa kabla ya masaa 72 ili kuzuia maambukizi.

trust me dawa ya HIV ipo ila hawataki iwepo!
 
Back
Top Bottom