Mr DIY
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 1,188
- 2,553
Picha ya nn tena?Weka picha tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya nn tena?Weka picha tuone
Hivi vitu ni ngumu kuviona vikiuzwa nenda hospitali utapimwaHicho cha bioline kinauzwa???? Matumizi yake yapoje??? Naomba unipe elimu mkuu
Eti mwili umepigwa marunguNdio, vidonge vitatu kwa siku asubuhi na usiku mwezi mzima vidonge 90 ,vinachosha mwili mzima unakuwa kama unapigwa marungu yaani ukitaka kuamini onja hata siku tatu tu uone shughuli yake
Ukimpima kama yuko kwenye window period ambayo ni miezi karibu mitatu haionekani kwenye kipimo cha kawaida sasa si itakula kwako??Bora kupima
Mpira ukipasuka je?
Ni kipi hicho ?Kama kaupata Jana hawezi kuniambukiza,kipimo nachotumia kina detect hata kama amepata siku kumi zilizopita
Hii pia si solutionMh wengine wanapasua condom, solution ni kupima tu
Hii pia si solution
We angalia afya yako, mambo ya kushangaa atajijua mwenyewe!
Uso mkavu avae sita tena ikibidi unamvalisha! Starehe ya dk 5 iniharibie life kisa?
Ulishawai kugegedwa?Sawa mumie
Ulishawai kugegedwa?
Ulishawai kugegedwa?
Sasa mlipima na mpira mkatumia jamani,Mpaka ndom ikapasuka, bahati nzuri tulipima kabla
Inabidi tuwe makini dunia ishaharibika mwenzanguHilo ni jibu miss natafuta
Ikitokea umejichoma na kitu chenye ncha kali ambacho kina damu ya mwenye HIV, unapewa hiyo dawa kabla ya masaa 72 ili kuzuia maambukizi.
Sasa mlipima na mpira mkatumia jamani,
Inabidi tuwe makini dunia ishaharibika mwenzangu
AhahaaaAlikataa kutumia condom nikamlazimisha sasa si ndo akanipasulia. condom ya kuzuia mimba
Hata HIV usidanganyikeAlikataa kutumia condom nikamlazimisha sasa si ndo akanipasulia. condom ya kuzuia mimba
Hata mimi naamini hivyo, hii ni biashara wanaingizia pesa nyingi sanatrust me dawa ya HIV ipo ila hawataki iwepo!