- Thread starter
- #41
mi siweezi nikathibitisha sababu sinaThibitisha haya uyasemayo
mpango wa kuchezea moto we kama
unaweza kucheza na moto cheza na baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi siweezi nikathibitisha sababu sinaThibitisha haya uyasemayo
Kama huwezi kuthibitisha nikuaminije?mi siweezi nikathibitisha sababu sina
mpango wa kuchezea moto we kama
unaweza kucheza na moto cheza na baba
Superstitious theory which doesn't have any reality.fahamuni jamani kuna watoto wanazaliwa mimi binafsi nimewapa jina
la chinja chinja, watoto hawa kwanza sifa yao akizaliwa tu huwa anamuua
yule mtu ambaye ndiye angekuwa tegemezi lake hapa duniani kama familia
inamtegemea baba basi ni wazi ataondoka yeye, au anapozaliwa tu ana muua
mama yake, hivyo basi maisha yake duniani huwa yanaenda kwa mfumo huo
na yeyote atakayejitokeza mbele yake akamuonea huruma labda amchukue amlee
sababu wazee wake hawapo basi haipiti muda nae msamaria huyu nae safari itamkuta
itaendelea hali hii hadi atakapokua huyu mtoto, lakini jambo la kushangaza mtoto aliyekulia
namna hii huwa na mafanikio sana maishani inakuwa kama watu waliokufa kule ndio kafara lake
la yeye kuendelea duniani, tuwe makini kuna watoto wa namna hii wapo hata ukikataa we jaribisha
halafu uone nini kitakufuatia,sisemi msiwalee mayatima wa ndugu zenu ila kma kuna aina flani
ya mila hivi au dua ya kujikinga na shari lake alilokuja nalo duniani lisikupate itakuwa bora zaidi
kabla hujamchukua kumlea wewe kibubusa bubusa
mjomba we ukiambiwa kuna upepo ushawahiKama huwezi kuthibitisha nikuaminije?
Hapana ata mtt asipolia anapozaliwa ukiacha kiafya hata in normal life ni hatar,kuna namna mtot akizaliwa akakua adi ukubwani akiolewa lazm mume/watt wake wafe tena wawili ila wa 3 na kuendelea ndo wanasurvive uliza wazee aya mambo yapoIma
Ni imani tu, hamna jingine hapol. Matokeo yake ni kuwadhuru watoto kisa hawajaonesha vitu mlivyo vizoea kwny makuzi yao.
kulia ndo kupumua kwenyewe kwa mara ya kwanza mtoto anapozaliwa. usipopumua unakufa.Hapana ata mtt asipolia anapozaliwa ukiacha kiafya hata in normal life ni hatar,kuna namna mtot akizaliwa akakua adi ukubwani akiolewa lazm mume/watt wake wafe tena wawili ila wa 3 na kuendelea ndo wanasurvive uliza wazee aya mambo yapo
we si bure utakuwa ni mmoja wao tukulia ndo kupumua kwenyewe kwa mara ya kwanza mtoto anapozaliwa. usipopumua unakufa.
Mengine ni imani tu, meno kuota kuanzia juu kunauaje watoto?.
vipi kuhusu nywele?, maana wengine huzaliwa na vimanyoya tu, wengine na nywele nyingi kuliko hata wenye umri wa miaka 5!, imani zenu zasemaje?
bro hiki tunachokisema hapa si uchawi wala uzushiWabongo wengi mnapenda sana kuamini uchawi.
Uchawi ni nini na utajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu ambacho sijakielewa vizuri tu?bro hiki tunachokisema hapa si uchawi wala uzushi
ni kitu ambacho kipo we kama hauamini binafsi sikulazimishi
ila siku ukiona mtu limemtokea utaukumbuka uzi huu
Una nini zaidi ya kuamini ujinga?we si bure utakuwa ni mmoja wao tu
bro watoto wanamna hiyo wanakuaga sio wachawiUchawi ni nini na utajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu ambacho sijakielewa vizuri tu?
ujinga sio ? we subiri hivo hivo halafuUna nini zaidi ya kuamini ujinga?
Nisamehe lakini wewe ni kiazi sanafahamuni jamani kuna watoto wanazaliwa mimi binafsi nimewapa jina
la chinja chinja, watoto hawa kwanza sifa yao akizaliwa tu huwa anamuua
yule mtu ambaye ndiye angekuwa tegemezi lake hapa duniani kama familia
inamtegemea baba basi ni wazi ataondoka yeye, au anapozaliwa tu ana muua
mama yake, hivyo basi maisha yake duniani huwa yanaenda kwa mfumo huo
na yeyote atakayejitokeza mbele yake akamuonea huruma labda amchukue amlee
sababu wazee wake hawapo basi haipiti muda nae msamaria huyu nae safari itamkuta
itaendelea hali hii hadi atakapokua huyu mtoto, lakini jambo la kushangaza mtoto aliyekulia
namna hii huwa na mafanikio sana maishani inakuwa kama watu waliokufa kule ndio kafara lake
la yeye kuendelea duniani, tuwe makini kuna watoto wa namna hii wapo hata ukikataa we jaribisha
halafu uone nini kitakufuatia,sisemi msiwalee mayatima wa ndugu zenu ila kma kuna aina flani
ya mila hivi au dua ya kujikinga na shari lake alilokuja nalo duniani lisikupate itakuwa bora zaidi
kabla hujamchukua kumlea wewe kibubusa bubusa
kiazi sio? sikulaumu najua sio kosa lakoNisamehe lakini wewe ni kiazi sana
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.bro watoto wanamna hiyo wanakuaga sio wachawi
au wala hawahusiani na shirki yeyote isipokuwa ni aina
tu ya daraja zao mungu anazowapa yaani mara nyingi
hawa huwa na daraja kubwa hivyo nahisi uwepo wao labda
hauhitaji msaada wa mtu au ni mola mwenyewe kwa daraja zao
ndio hua kiongozi na mlezi wao hapa duniani, na usione anapata
shida mwanzoni ukadhani atakua hiyo hiyo hadi anakufa, la hasha
bali huwa ni watu wenye mafanikio sana hapa duniani na umaarufu
mkubwa lakini sasa tatizo lake kubwa ni hilo anaua wale wote watakao
muonea huruma kumlea kwa uyatima wake, hamna uchawi hapo ni
maumbile tu hayo na hatma aliyopewa na mungu,na elewa kuwa
mauaji haya huwa yanatokeaga ile miaka ya awali tu kabla hawajajimudu
kimaisha.