Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Mnaanza hivi hivi baadae mnaua watoto wasio na hatia,
Shame!
Shame!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UWEPO WAKO MTU KAMA WEWE TU NI UTHIBITISHOHuyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.
Ukibisha, thibitisha yupo.
Logical non sequitur fallacy.UWEPO WAKO MTU KAMA WEWE TU NI UTHIBITISHO
TOSA KUWA MUNGU YUPO
Mkuu nikuhakikishie kuwa kamwe sitokutwa na huo ujinga.ujinga sio ? we subiri hivo hivo halafu
siku yakikukuta ndipo utakumbuka
Ndio wapo na wana hasira balaa km majoka yaan kuua kwao ni kugusu tuwatoto wa namna hii wapo hata ukikataa we jaribisha
Umetype jina lake maana yake yupoLogical non sequitur fallacy.
Uwepo wangu unathibitisha vipi Mungu yupo?
Hamna kitu kama hiki, nyumba yake kuna ujinga.Ndio wapo na wana hasira balaa km majoka yaan kuua kwao ni kugusu tu
Hujui unachoongea watoto wa hivyo mpaka wanyooshwe na adhabu kali bila hivyo wewe anakuuaHamna kitu kama hiki, nyumba yake kuna ujinga.
Wewe ndo naona hujuwi unacho kiandika. Umeaminishwa vitu nawe ukapokea pasipo kufikiria. Watu wenyesifa hizo ukuaji wapo ktk jamii na ni wema sana kuliko baadhi ya wake waliopitia ukuaji mnaoamini ni wa kawaida.Hujui unachoongea watoto wa hivyo mpaka wanyooshwe na adhabu kali bila hivyo wewe anakuua
Ian Fleming kaandika hadithi za James Bond 007, jasusi la Kiingereza. Zimetengenezwa mpaka sinema.Umetype jina lake maana yake yupo