Fahamuni maana na uwepo wa watoto hatari chinja chinja

Superstitious theory which doesn't have any reality.
 
Ima

Ni imani tu, hamna jingine hapol. Matokeo yake ni kuwadhuru watoto kisa hawajaonesha vitu mlivyo vizoea kwny makuzi yao.
Hapana ata mtt asipolia anapozaliwa ukiacha kiafya hata in normal life ni hatar,kuna namna mtot akizaliwa akakua adi ukubwani akiolewa lazm mume/watt wake wafe tena wawili ila wa 3 na kuendelea ndo wanasurvive uliza wazee aya mambo yapo
 
kulia ndo kupumua kwenyewe kwa mara ya kwanza mtoto anapozaliwa. usipopumua unakufa.
Mengine ni imani tu, meno kuota kuanzia juu kunauaje watoto?.
vipi kuhusu nywele?, maana wengine huzaliwa na vimanyoya tu, wengine na nywele nyingi kuliko hata wenye umri wa miaka 5!, imani zenu zasemaje?
 
we si bure utakuwa ni mmoja wao tu
 
Wabongo wengi mnapenda sana kuamini uchawi.
 
Wabongo wengi mnapenda sana kuamini uchawi.
bro hiki tunachokisema hapa si uchawi wala uzushi
ni kitu ambacho kipo we kama hauamini binafsi sikulazimishi
ila siku ukiona mtu limemtokea utaukumbuka uzi huu
 
bro hiki tunachokisema hapa si uchawi wala uzushi
ni kitu ambacho kipo we kama hauamini binafsi sikulazimishi
ila siku ukiona mtu limemtokea utaukumbuka uzi huu
Uchawi ni nini na utajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu ambacho sijakielewa vizuri tu?
 
Uchawi ni nini na utajuaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu ambacho sijakielewa vizuri tu?
bro watoto wanamna hiyo wanakuaga sio wachawi
au wala hawahusiani na shirki yeyote isipokuwa ni aina
tu ya daraja zao mungu anazowapa yaani mara nyingi
hawa huwa na daraja kubwa hivyo nahisi uwepo wao labda
hauhitaji msaada wa mtu au ni mola mwenyewe kwa daraja zao
ndio hua kiongozi na mlezi wao hapa duniani, na usione anapata
shida mwanzoni ukadhani atakua hiyo hiyo hadi anakufa, la hasha
bali huwa ni watu wenye mafanikio sana hapa duniani na umaarufu
mkubwa lakini sasa tatizo lake kubwa ni hilo anaua wale wote watakao
muonea huruma kumlea kwa uyatima wake, hamna uchawi hapo ni
maumbile tu hayo na hatma aliyopewa na mungu,na elewa kuwa
mauaji haya huwa yanatokeaga ile miaka ya awali tu kabla hawajajimudu
kimaisha.
 
Nisamehe lakini wewe ni kiazi sana
 
Huu ni ujinga, utapeli, uchawi, ushirikina, upunguani, upuuzi... yaani kila sifa mbaya ipo katika ulichoandika na nyinyi ndiyo mnafadhaisha na kudhoofisha jamii
 
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…