Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

Kuna muda mwingine kwenye vikao vya kiume wamama msiwe mnaingia.

ndio haya mambo siku moja mwanamke kafulia mkeka wangu wa laki saba na ishirin kwa shs elfu ishirini na tano bahati yake nlikupiga picha na cashier alikuwa mshkaji wangu *****
 
ndio haya mambo siku moja mwanamke kafulia mkeka wangu wa laki saba na ishirin kwa shs elfu ishirini na tano bahati yake nlikupiga picha na cashier alikuwa mshkaji wangu *****
Hahahaha bila hivyo ungempiga talaka ya mwezi akajirekebishe kabla ya kufua sharti asachi nguo.
 
😂 oyaaaaa! mnazingua bhnaaa na mambo yenu ya jinsia.... watu tumeingia humu kupata some fckn tips about CASINO GAMES na sisi tuingie mzigoni then mnaleta udananda wa kujuana jinsia.... kama vipi kila mtu atume location mtimbiane then muonyeshane mijulubeng na nyapu ndo kila mmoja wenu aelewe mwenzake ni jinsia gani.... 😬...

mleta siredi njoo tuendelee mwaya... 😂 😂 😂
 
Jinsia ya mtu inakuhusu Nini ?
Komaa na hoja achana na jinsia..
 
Unga,betting,pombe,sigara,nyapu, punyeto na ushabiki wa mpira Ni ngumu Sana kuacha!!
Kati ya watu 100 anatokaga huko mmoja tu

Bora bangi hata
ushabiki wa mpira una shida gani mkuu,hayo mengine kweli majanga
 
Unajua dollar 17 milion ww huyo jamaa siangenunua simba club
 
Unga,betting,pombe,sigara,nyapu, punyeto na ushabiki wa mpira Ni ngumu Sana kuacha!!
Kati ya watu 100 anatokaga huko mmoja tu

Bora bangi hata
dah kwahiyon mie nilietoka kwenye chama cha CHAPUTA nimefanikiwa eeeenh.Maana nina miezi 5 sasa na sitaki hata kuufikiri NIMEUCHUKIA sana
 
Nacheza magame yale ya Playson na Amatic mara nyingi

Meridian nacheza casino kama tatu hivi ila real na zinazotema ila ninayoipenda na inayotema Sana ni Golden 7
Mbona golden 7 kwenye meridian haifunguki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…