Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

We jamaa najua uko busy,basi nikuone live unipe maujanja. Nataka kuwa addicted na kitu ambacho kitanichangamsha akili mara kwa mara,lakini kinaniingizia kitu
Usijaribu.... Umasikini upo unakunyemelea mlangoni... Walakini yakupasa uushinde..
 
Unasumbuka tu boss hakuna betting app playstore....search meridian apk kwenye browser....ila unabidi uallow unknown sources kwenye setting ya simu yako ili uweze kuistall hiyo app!
Ok basi sawa mkuu.
 
Nimehamia kwenye European roulete kidogo nashinda shinda japo games nyingi chance ni 50/50
 
Mkuu nikuulize kitu.
Kwa maelezo yako nilivyoyasoma je inawezekana mtu kutoboa maisha kwa kufanya gambling tu bila kufanya kazi/biashara nyingine?
 
Milioni na ushehe. Kuna wakati upepo ukiwa mzuri napata laki moja hadi tatu kwa siku mfululizo. Yaani kwakweli karibu kila siku lazima nishinde laki au niliwe laki ndio natulia
Ili utoboe mtaji unaanzia kiasi gani?
 
Mkuu kwani dubu ndo casino?
Kuna maujinga mengi zaidi yake dubu kuna michezo yake cassino karibu 25 ... Ni noma ... Bora kubet soka au kikapu utakuwa baada yake mechi kuisha yaani almost lisaa 'na nusu ila cassino kila baada yake dakika mbili unaliwa ...
 
Bora nicheze lottery mzee kuliko hayo mambo mengine unapigwa kila siku.
 
Akili yako tu... mimi nilikuwa mlevi, mcheza kamari na mvuta sigara lkn niliposema naacha nikaacha na sasa ni mchamungu tu.


Hata uchamungu ni ulevi vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…