Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof

Wenzako wanasema inaokoa gharama wewe umekazana kupinga bila hoja za maana, wabongo ni shida aisee. Kama ni ujenzi unaopunguza material kama mbao huoni unasaidia pia kwenye uhifadhi wa mazingira
Ana hoja ya msingi. Mzunguko wa tofali unaongeza gharama.
 
Mi naomba kujua gharama ya slab. Je, ni rahisi kuweka slab ukilinganisha na pitched roof?
 
Kwa ufahamu wangu mdogo Slab ni ghali mkuu. Halafu ukiweka slab nafikiri nyumba iwe na tofari za kulaza au nguzo. Labda kama nyumba yako ni ghorofa tayari.

Hata paa laweza kuwa ghali pia inategemeana ni la aina gani? Kigae, au bati za kawaida.

Zaidi ngoja wataalamu na wabobezi zaidi waje.
Mi naomba kujua gharama ya slab. Je, ni rahisi kuweka slab ukilinganisha na pitched roof?
 
Mkuu,hilo shimo la choo hapo mbele mbona linaharibu shoo ya nyumba?

Mbele hapo inatakiwa ikae garden moja matata,shimo peleka nyuma ya nyumba
Kwa juu Nina nyumba nyingine sasa hapo reservoir ya Maji almost Lita 40,000 ambazo navuna Maji ya mvua. Hope nitajenga kibanda cha kupumzika juu Yake.
 
Wataalamu wanasema kuta yake isizidi 1.5m
 
Gharama ya kumwaga zege si itakuwa mara 10 ya gharama za bati mkuu?
 
Ana hoja ya msingi. Mzunguko wa tofali unaongeza gharama.

Mkuu unajua tatizo siku hizi ukitaka kuweka bati nzuri gharama inakua juu sana. Pia mbao ni ghali sana kwa sasa. Mimi nimepiga mahesabu ya kuweka bati ya msouth nikalinganisha na gharama ya kuzungusha tofali + bati na mbao zake inakuja nusu ya bei ya bati ya msouth peke yake, hapo sijaweka mbao wala ufundi
 
Duh, Walimwengu!
 
Wamesema unaokoa gharama robo tatu ! Ni hesabu gani unaleta !?
 
Bati za gauge ngapi ndio zinafaa kwa flat roof?
Bati za guage 26 ndio the best! Hizi wanajengeaga majengo ya serikali zaidi. Ila kwa makapuku wengi ndio hutumia 28 na kuendelea bati kama za vibanda vya mbwa ukikangaga mgongo inapinda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…