Hizo nyumba nimezikuta iringa na njombe, paa limekula hewa kiasi kwambwa ukipanda juu ya paa mida ya jioni unaanza kuiona keshoKama mimi ambavyo nachukia nyumba yenye paa refu kuliko boma lenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nyumba nimezikuta iringa na njombe, paa limekula hewa kiasi kwambwa ukipanda juu ya paa mida ya jioni unaanza kuiona keshoKama mimi ambavyo nachukia nyumba yenye paa refu kuliko boma lenyewe
Ana hoja ya msingi. Mzunguko wa tofali unaongeza gharama.Wenzako wanasema inaokoa gharama wewe umekazana kupinga bila hoja za maana, wabongo ni shida aisee. Kama ni ujenzi unaopunguza material kama mbao huoni unasaidia pia kwenye uhifadhi wa mazingira
Mi naomba kujua gharama ya slab. Je, ni rahisi kuweka slab ukilinganisha na pitched roof?
Mkuu,hilo shimo la choo hapo mbele mbona linaharibu shoo ya nyumba?Ndugu ni rahisi ni gharama ndogo na yapendeza. Hapo ni mfano tu sijamaliza kudecorate nje ila nafurahia .View attachment 1088423
Kwa juu Nina nyumba nyingine sasa hapo reservoir ya Maji almost Lita 40,000 ambazo navuna Maji ya mvua. Hope nitajenga kibanda cha kupumzika juu Yake.Mkuu,hilo shimo la choo hapo mbele mbona linaharibu shoo ya nyumba?
Mbele hapo inatakiwa ikae garden moja matata,shimo peleka nyuma ya nyumba
Wataalamu wanasema kuta yake isizidi 1.5mWakuu naombeni turudi kwenye huu uzi
Mi naomba kujulishwa material ya huku kwenye kuta za nje nitumie rangi au nini ambayo haitabanduka kirahisi?
Pia naomba kujua niweke kozi ngapi za tofali toka kwenye lenta mpaka juu ili kuleta muonekano mzuri?
Ntashukuru kwa msaada wenu.
Design ya namna hii ni nzuri.
A. Faida :-
bati na mbao ni chache.
Nzuri kimazingira.
Ni vigumu kuezuliwa na Upepo.
Kwa kiasi inaongeza ukubwa wa nyumba.
Unasaidia katika uvunaji wa maji ya mvua.
B. Hasara:-
Isijengwe palipo na miti mirefu.
Huitaji uangalizi hasa katika usafi juu ya papa.
Huitaji mfumo imara wa kupitisha maji ya mvua.
Ni rafiki kwa wanyama na ndege.
Ni lazima uwe na ngazi ya kufikia paa (usafi /ukarabati).
Huitaji umaliziaji mzuri kwa nje.
Huitaji headroom kubwa ili kupunguza Jotoridi ndani ya nyumba.
Kujenga nyumba ya namna hakupunguzi gharama za Ujenzi kwani nafuu ya kitu fulani huongeza gharama ya kitu kingine.
Hata hivyo Flat roof (0-10 degree slopes) kama ikijengwa kwa zege manufaa yake ni mengi zaidi kuliko kupaua kwa bati.
Napenda hii style...hivi ni rahisi pia kuongezea floor moja kwa muundo wake?
Wadau
Ana hoja ya msingi. Mzunguko wa tofali unaongeza gharama.
Kwani Dar joto lake unalionaje?Maelezo mazuri kabisa, katika kujazia nyama hizi andiko lako ni Kwamba flat roof mara nyingi wataalamu wanashauri ijengwe kwenye joto kali, mfano nchi kama Sudan, India hutumia sana flat roof
Inageuka swimming pool
Inafaa tuu mkuu, sema kuta za juu ziwe zinatofautiana ili ivutieKwani Dar joto lake unalionaje?
Hata mie aisseeeh ! Ila kuna wajinga wana vihere here kweli !Najifunza
Kuta ziweje mkuu, au zinakuwa nene zaidi?Inafaa tuu mkuu, sema kuta za juu ziwe zinatofautiana ili ivutie
Angalia usijefananisha na akili zako !Sijui kwanini nafaninisha nyumba zenye flat roof na KIBAMIA
Huyo boss wako itakuwa kaona weevu! 🙄🙄🙄 Na siku za hivi karibuni jiandae kisaikolojia kupokea warning letter zinazofululiza bila sababu maalum!
Mambo ya maendeleo sio ishu za ku expose sana ofisini.
Kuna jamaa yangu alikuwa procurement kwenye kampuni yetu. Akanunua gari kali sana ila ya bei nafuu.
Nilimkataza sana asije nayo ofisini yeye hukunisikia. Alipoanza kuja nayo kazini, hakumaliza mwezi wakamuundia zengwe wakamfukuza kazi.
Wamesema unaokoa gharama robo tatu ! Ni hesabu gani unaleta !?Mpaka hapa nilichokielewa mimi ni kwamba unaweza ukajenga nyumba kwa style ya flat roof ila still gharama zote utakazozikimbia huku kwenye pitched roof ukakutana nazo huko.
So mfano nyumba yako ambayo ulitamani kuezekwa kwa paa la kuinuka kwa cost ya 10mill ukaja kwenye flat ukafanyiwa 8.5/9mill hakuna ulichookoa mie naona na nadhani labda kama mtu umeamua tu kuchagua style fulani ila kusema unafanya kupunguza gharama hakuna kitu kama hiko.
Kama mahakama ya wilaya !Nimeelewa ufafanuzi wako. Lakini sijui kwani nyumba ikifichwa paa halafu iwe ya kawaida( si ghorofa) naona haivutii.
Bati za guage 26 ndio the best! Hizi wanajengeaga majengo ya serikali zaidi. Ila kwa makapuku wengi ndio hutumia 28 na kuendelea bati kama za vibanda vya mbwa ukikangaga mgongo inapinda!Bati za gauge ngapi ndio zinafaa kwa flat roof?