Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Mwamba maarifa yanapoishia ndio mwanzo wa kuangamia kwako.
#Hekima kutambua ufanye lipi kwa wakati fulani .. ukiwa na hii silaha Kuna matatizo huwa sio matatizo Hadi pale tunapoyatafsiri kwa mapana yetu binafsi😁😁
 
Ukioa mke msomi akaajiliwa akipangiwa dodoma ukimpigia video call usiku lazima uone kivuli chenye madevu au chenye kitambi kinavaa kondomu
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Watoto wenu wa kike msiwasomeshe
Inasikitisha sana kiukweli kabisa kuna watu wameoa wanawake hawana elimu na mambo ni yale yale. Hii mentality tunayozidi kujijengea mi huwa naona inategemea na muhusika tu iwe msomi au hakwenda shule, all in all niishie hapo ila kusema kuoa mke ambaye hajasoma ni kujidanganya watu tuombe kupata kilicho chema tu.
 
Ieleweke si wote waliosoma wana hayo mapungufu wala si wote ambao hawajasoma ndo wake bora ila asilimia kubwa ya wanawake waliosoma wana hizo tabia. Unaweza ukawa na bahati ukapata aliesoma na akakufaa na unaweza ukawa na mkosi ukampata ambae hajasoma na akawa na changamoto vile vile.
 
Ieleweke si wote waliosoma wana hayo mapungufu wala si wote ambao hawajasoma ndo wake bora ila asilimia kubwa ya wanawake waliosoma wana hizo tabia.
Hapo sawa na bila shaka ndo umeweka kitu ambacho nilitaka kiwe hivyo kwamba kwendana na tafiti asilimia kubwa ndiyo imeonekana wasomi wana hizo shida. Umeeleweka.
 
At the same time wazazi wangu wa kike mashangazi etc wamesoma Sana na Bado ndoa zao nahisi ziko vzr japo siwezi kujua Siri za ndani ila hawajaachwa.
Ndoa ni makubaliano lakini wanaopenda kudhalilisha wanawake ndiyo wanaopiga kelele saaana.

Siku zote kuna wanaume wazuri na wabaya na wanawake wazuri na wabaya.
 
Nimeipenda na 3 ila ukweli mwanamke mzuri ni yule anamjua Mungu maana kwa uongozi wa neno la Mungu litamfanya ajue nafasi yake bila hivyo kuoa msomi asiyemjua Mungu ni sawa na kukumbatia bomu ambalo litalipuka na kukupata madhara maishani mwako.
 
 

Attachments

  • 1656855231872.jpg
    181.9 KB · Views: 43
Oa mke yule unayemweza kumuhandle uliyemzoea . Sio kazi inambadilisha mke ni wewe unambadilisha mkeo aweke ukuta kwako.

Unaoa mtu unaye mwona anakufaa nyie mnaoa wanawake wanaowasaidia na ningumu kuwaheshimu .
Mwanaume huwa anapaswa kutunza familia yake sio kutunziwa ila siku hizi nyie mnataka muheshimiwe na mnatunziwa familia.

Wazazi wetu walikuqa fair na squre hutunzi familia unaheshimu mke na mke anakuheshimu
 
Smart911 Unasemaje katika hili
Kikubwa maelewano, though mahusiano mengi ambayo mwanamke yupo juu kielimu na kiuchumu kuna kadharau fulani hivi kapo kwenda kwa mwanaume wake...

Mpishano kidogo utasikia tafuta hela... hahahaha...
Kama yule aliyekuaga vice presidaa kipindi kilichopita...
 
🤣🤣🤣Yule lazima ukae chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…