Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Acha MARA MOJA kumpiga. Kuna siku atalala na koleo akuvizie ukiwa unakoroma akupasue hizo kengele zako ndipo akili itakukaa sawa.Ngoja niwape real story about my marriage....japokuwa sii ndoa kbs ya kufunga harusi ila NI tunaishi Zaid ya mwaka Sasa...Mimi nimeajiriwa fresh kbs na huyu shemeji/wifi yenu NI kwamba hajasoma hajamaliza la Saba ila NI mvumilivu Sana na ananitii Sana hana mambo mengi just imagine haniombi pesa yoyote kikubwa ninunue chakula,mavazi na kulipa bills...
Kwa nini kisipige kavu kavu hicho kivuli?Ukioa mke msomi akaajiliwa akipangiwa dodoma ukimpigia video call usiku lazima uone kivuli chenye madevu au chenye kitambi kinavaa kondomu
Haya maisha hayana formula, uombe Mungu tu akujalie kilichochema iwe mwanamke na mwanaume. Wapo wasomi wenye maratizo na wapo ambao wameishia darasa la saba ni pasua vichwa vilevile. Kaka yangu kao darasa la saba tena katokea kijijini huko lakini kilichompata Mungu anajua.Inasikitisha sana kiukweli kabisa kuna watu wameoa wanawake hawana elimu na mambo ni yale yale. Hii mentality tunayozidi kujijengea mi huwa naona inategemea na muhusika tu iwe msomi au hakwenda shule, all in all niishie hapo ila kusema kuoa mke ambaye hajasoma ni kujidanganya watu tuombe kupata kilicho chema tu.
Akili za kuambiwa... yaani watoto wenu muwapeleke shule halafu mtafute ambao hawajapelekwa shule na wazazi wao muwaoe. Barabarani huko unakuta wanaume wanawasindikiza binti zao shule na wengine wamewabeba kwenye boda hayo yote ili wapate elimu.Si munaona munavyojichanganya? Hamutaki wanawake wasomi lakini munataka kuendelea kusomesha watoto wenu wa kike kwa kuhofia watapata shida.
Watapata shida gani wakati nyinyi ndiyo mumeamua hivyo?
Huyu naye hajielewi.imagine[emoji2955]
Umenikumbusha kwenye program za Tohara. program za Tohara kuna kipindi walikua wanakaa hata miezi mitatu field. kuna nesi mmoja yaani kama aliolewa tu namshikaji na kila ikitokea safari ya Tohara nesi alikua lazima awemo huku nyumbani mumewe anafurahia tu perdiem alizokua anarudi nazo mkewe. Kule kwenyetohara nesi alikua halipi chumba lodge wala chakula jamaa anajilia kama mkewe. Ila faida wamepata waliongeza kipato cha familia hahahahahahahahahaUmesahau kuhusu
1. tendo la ndoa:
wanawake wasomi wagumu kutoa ushirikiano kwenye tendo na ni wavivu kitandani kwa madai kuwa wako buzy na majukumu ya ofisi.
2.Kugongewa mkeo:
Kwenye trip za ofisi mikoani na wafanyakazi wengine, unakuta trip ni ya 3 weeks au zaidi,
Hapa kuna hatohati mkeo KULIWA KIMASIHARA.
Zingine maboss wanakuja kuchangia
Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
kwa hiyo mkuu umehisi sababu ana hela ndo maana...?? mbona hayo majukumu ya kawaida sema labda kama anatoa amriii na sio kuombaJuz wa kwangu mtoto analia anataka maji ananiambia mpe mtoto maj m nimechoka...dah usiku ule stimu zilikata kabisaaa
We nae jinga kweli...unafatisha macomment ya humu[emoji57][emoji57]Basi tena kashanikosa na change gear angani simuoi kumbavu mwache abaki na li masters lake maana nilitaka nimuoe nimfanyie connection ya maana aingie kazini imeisha iyoooo. And No more [emoji135]
Yalaaaaaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Umenikumbusha kwenye program za Tohara. program za Tohara kuna kipindi walikua wanakaa hata miezi mitatu field. kuna nesi mmoja yaani kama aliolewa tu namshikaji na kila ikitokea safari ya Tohara nesi alikua lazima awemo huku nyumbani mumewe anafurahia tu perdiem alizokua anarudi nazo mkewe. Kule kwenyetohara nesi alikua halipi chumba lodge wala chakula jamaa anajilia kama mkewe. Ila faida wamepata waliongeza kipato cha familia hahahahahahahahaha
Kuna ubaya gani wewe ukimpa mtoto wako maji? Nyie ndiyo wale wanaume mke akiwa mgonjwa anamlazimisha kuendelea kufanya kazi za ndani hata kumsaidia kupika hawezi!!!Juz wa kwangu mtoto analia anataka maji ananiambia mpe mtoto maj m nimechoka...dah usiku ule stimu zilikata kabisaaa
Wapo wengi tuHivi kuna wanawake wanaochangia hela katika uendeshaji wa familia? wangu hata kibiriti ca 100 kikiisha napigiwa simu, SIjawahi kuona hela yake zaidi ya kuona akiwapa ndugu zake na kuchangia michango ya harusi za marafiki.
Hakunaga wanawake matured wote akili zao sawaAll in all ukioa mtu matured yote hayo hayana shaka