miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Ya pili ni kweli hata mm nikiwa mwisho wa mwezi tumbo likiuma naoga au kunywa au kukanda tumboo na maji ya moto na linapoa
Iyo ya tatu duh bas kama ni ivyo yangu ingekua kama bwawa maana napenda kunawia maji ya moto
na mimi ya 3 naihofia
Jaribu, sio kila kitu unauliza
Jaribu, sio kila kitu unauliza
Maji ya moto mabaya kunawia uke unalegea.....
Inalegeza uke ukinawia mara kwa mara....maji yanayitakiwa ni ya baridi.
Sasa kwa wale walioko mikoa ya baridi na wanaoga maji ya moto?
Ya pili ni kweli hata mm nikiwa mwisho wa mwezi tumbo likiuma naoga au kunywa au kukanda tumboo na maji ya moto na linapoa
Iyo ya tatu duh bas kama ni ivyo yangu ingekua kama bwawa maana napenda kunawia maji ya moto
Some truth...
Kama yako kubwa hata unawie barafu, itabaki kuwa kubwa tu. Hizi theories zenu hata sizielewi...!
sema unapenda kupiga punyeto kwa maji ya moto usidanganye eti kunawia
duuh my friend...
anataka uzoefu wako mkuu kabla hajajaribu
Msaidie mwenzako asiumbuke
Inalegeza uke ukinawia mara kwa mara....maji yanayitakiwa ni ya baridi.