Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

Kwani kusomea urubani unahitaji mwalimu? Kama ni ndio basi hata bible utahitaji mwalimu.

Bible sio gazeti, ile ni doctrine mzee, unakaa class unafundishwa, hutaki utaendelea kumjulia Mungu vijiweni
🤣That proves kwamba huyo Mungu mjua yote na muweza yote hayupo na Kama yupo sio wa Biblia. Kwa Nini aandike kitabu ambacho kadri unavyozidi kukisoma Imani inapungua, kitabu kina uwongo mwingi kuliko movie za marvel
 
🤣Ehe mbona huongelei kwamba hamna archaeological evidence ya Musa au story nzima ya kutoka na vita za Joshua. Mbona husemi? Au ni Imani tu? Ila vingine unatafuta Sayansi ili ikusapoti
Zote kwenye bible zipo hata ukigoogle unazipata ukiwa tomaso panda ndege kafike eneo husika
 
Zote kwenye bible zipo hata ukigoogle unazipata ukiwa tomaso panda ndege kafike eneo husika
🤣Hamna archaeological evidence ya Exodus, Egyptian history haina story za Musa na unajua walivyotunza historia Yao... Why zisiwepo if ni za ukweli... 🤣Au Mungu kaondoa evidence zote ili atupime
 
Nimependa hoja yako,
Kuna sehemu imeandikwa "USiku mmoja ni sawa na miaka Elfu moja kwa Mungu". na sehemu nyingine inasema "Alitujua mwisho wetu kabla hajatuumba" Sasa kama Mungu alijua kuwa siku moja Mwanamke atashawishika kula tunda, kwa nini alimuumba mwanamke huyo na sio mwingine!?
 
🤣Ndo ujue story za mababu wayahudi na waarabu ni uhuni tu
 
Kwa Nini asizuie litokee mana ye si anaona jambo kabla halijatokea?.
 
[emoji1787]That proves kwamba huyo Mungu mjua yote na muweza yote hayupo na Kama yupo sio wa Biblia. Kwa Nini aandike kitabu ambacho kadri unavyozidi kukisoma Imani inapungua, kitabu kina uwongo mwingi kuliko movie za marvel

Uliona wapi, au ulisikia wapi Mungu ameshika kalamu kuandika biblia?[emoji23] Biblia sio magic book, imeandikwa na watu ambao wametumia sanaa za uandishi kufikisha ujumbe.
Unahitaji kuweka umakini ujifunze mwandishi alikusudia kufikisha ujumbe gani kuhusu Mungu.

Kukosa kufanya hivo, utaendelea kula matango pori kitoka kwa wahuni wa mtaani.
 
Sio story mzee,hiyo ni Biblical logic.
🤣Umetumia bible na logic in one word. 🤣Aya niambie Yesu alienda wapi baada ya kuzaliwa Egypt au Nazareth? 🤣Na kulikuwa na watu wangapi au malaika wangapi baada ya kufufuka kaburini... 🤣Kwanza mathayo anakuambia watu kibao walifufuka pamoja na Yesu wakaenda kutokea watu mitaani mbona Hawa wote hawakuwa Kristo aliyehai...🤣 Biblia ni mkusanyiko wa story za mababu wayahudi wasio na ujuzi Wala maarifa ya uhalisia wa dunia
 
Binafsi siamini katika kifo kwasababu hakuna uthibitisho wowote mtu akifa anaenda wapi
 
Binafsi siamini katika kifo kwasababu hakuna uthibitisho wowote mtu akifa anaenda wapi
🤣Kifo kipo Ila....Sasa sijui if reality inajali unachoamini hata ukiamini wewe ni superman unapaa unanguvu za barafu bado utakuwa kima mmoja tu
 

Mkuu kama nakuelewa lakini. Una andiko lolote linalosapoti Haya maelezo yako?
 
Kwa maelezo yako tu hapo moja kwa moja huyo Mungu hawezekani kuwepo.

Kwa wanaofikiria vizuri na kwa uhuru watanielewa,
Kwa sifa zile basic ambazo anazo huyo Mungu, haingekuwa na ugumu huo kumuelewa mpaka tumtafute mtu anayejua zaidi.

Kwanini wengine ametunyima kumuelewa kama anaupendo wote?

Na kwa definition yako ni kwamba ili useme mwalimu ni mzuri na mbobezi wa masuala ya Mungu ni yule atayeniambia nikubali kuamini tu kwa hiari.

Nmeshakaa na walimu wa kila namna, kwa mahojiano na kufuata kanuni tu, hayupo mwalimu aliyeweza kufaulu hilo.
Utofauti ni kwamba mwalimu huyo lazima atataka kufanya indoctrination, hatapenda kuhojiwa.

Yani akikwambia nyeupe ni nyeusi ukae kwa kutulia, ukihoji ama kwenda against anakwambia unapepo.

huyo Mungu alifail kwenye jaribio dogo sana la mantiki.

Usihangaike sana mkuu kuhusu jambo hilo.
Kwamaana Huyo Mungu hayupo kwenye uhalisia maybe kama unaweza kumthibitisha.
 
Mkuu, unafahamu history ya bible vizuri?

Unawajua watu wanaitwa Masoreti!?

Hizo hadithi za mafarao zimekuja ingizwa baadae sana, na zikawa updated kwenye issue ya majira na nyakati za utawala wao.
Hiyo imefanyika baadae sana.

Hiki unachokisoma leo sio hiko kilichosomwa kale!

Kwahyo madai yako haya nayatupilia mbali na badala yake nakuvutia ukafanye uchunguzi na kusoma historia ya biblia.

Mungu hayupo ndo maana hata kitabu cha biblia kina makosa mengi ya wazi kabisa.
 
Sio kweli kuwa maisha ni fumbo kubwa.

Kama sisi ni mradi wa huyo Mungu, tukimuabudu yeye anapata faida gani sasa.

Yaani yeye aliumba watu wa kazi ipi!?

Kama ilikuwa ni pleasure tu, kwanini yeye anafurahia lakini huku hakuna raha!?
Kwanini amewakataza nyie wanawe msiishi kwa uhuru na raha kamili!?
 
Muda pia uliwekwa kama kigezo cha kudhibiti mwanadamu ili atambue kusudi la uwepo wake hapa duniani. Mahala anapoishi si kigezo kwa wakati wa sasa kwasababu ya teknolojia ya usafiri kuimarika sana ila kwa wakati wao mambo hayo hayakuwepo.
Unataka kusema kuwa muda uliwekwa na Mungu duniani!?
 
🤣Ehe mbona huongelei kwamba hamna archaeological evidence ya Musa au story nzima ya kutoka na vita za Joshua. Mbona husemi? Au ni Imani tu? Ila vingine unatafuta Sayansi ili ikusapoti
Eti Joshua wa kwa mzee Lazaro alilisimamisha Jua.!
 
Nondo[emoji4][emoji106]
 
mungu alitaka kujua je mtamuamini yeye? na je makatazo yake uliyazingatia ? na je unamuabudu yeye au una mungu wako uliyemshirikisha? baada ya kufa ndio utayakuta uliyoyatenda
Inamaana Mungu hajui kiumbe alichokiumba kinawaza nn? [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…