FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi.

Sasa hawa ndugu zetu waliobaki vipi? Ina maana tunagwaya kwenda kuishi na kufanya biashara Rwanda? Uganda?, Sudan Kusini? na hivi karibuni DRC kama itapata uanachama?

MY TAKE: Ni wakati sasa watanzania tukaamka tuzisake kwa udi na uvumba fursa za biashara na kazi huku kwingine wenzetu wanakuja sana.
 
Haina shida africa inatakiwa iungane kama ambavyo USA wanaishi haihitaji kibali kutoka michigan kwenda new york....kikubwa tu tuheshimiane halafu pis za rwanda nazitaka zije hapa na viwanja nawapa
 
Sasa hivi wakenya watajaa tena watachukua nafasi za wazawa ambazo tunaambiwa hazipo halafu waanzee kutudharau na kutukana kama awamu ya NNE, awamu ya tano walishika adabu sasa wanarudi Kwa Kasi ya ajabu, Kwa uzii huu hata NIDA wachunguzwe pana ukweli
 
Back
Top Bottom