N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi.
Sasa hawa ndugu zetu waliobaki vipi? Ina maana tunagwaya kwenda kuishi na kufanya biashara Rwanda? Uganda?, Sudan Kusini? na hivi karibuni DRC kama itapata uanachama?
MY TAKE: Ni wakati sasa watanzania tukaamka tuzisake kwa udi na uvumba fursa za biashara na kazi huku kwingine wenzetu wanakuja sana.