Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu, ni bora kuambiana ukweli mapema ili kuepusha sintofahamu hapo baadaeHuu uzi una promote uzinzi. Upuuzwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu, ni bora kuambiana ukweli mapema ili kuepusha sintofahamu hapo baadaeHuu uzi una promote uzinzi. Upuuzwe.
Unahamasisha umalaya kijana, mtu anapokuwa na wenza wengi anapoteza nguvu ya ku form bond imara pale anapotaka kuanza maisha rasmi ya ndoa.Hapana mkuu, ni bora kuambiana ukweli mapema ili kuepusha sintofahamu hapo baadae
Jambo lipi hilo? Au ujauzito? Mwanamke unatakiwa uvae kondomu ya kike kama dharura dhidi ya mimba zisizotarajiwa. Ni jambo la kumuelewesha mwenza wako kuwa hapa tuko maabara ya mapenzi tunafanya majaribio
Ni kwa vile tu umebahatika kupata mtu mnayeendana. Mpaka sasa najutia sana kumuoa mke wangu wa kwanza bila majaribio. Hawezi kudumu kwenye tendo kwa zaidi ya dk 10Unahamasisha umalaya kijana, mtu anapokuwa na wenza wengi anapoteza nguvu ya ku form bond imara pale anapotaka kuanza maisha rasmi ya ndoa.
Zipo sana mkuu, za sasa ziko modified, unaweza ambulia hata zenye bluetooth ndani yakeSijaziskia ndom za kike muda kumbe bado zipo?
Tendo la ndoa ni muhimu , lakini ulipaswa kuwa na mambo mengine yanayowafurahisha ili wote muwe na amani. Kulala na watu wengi ili upate mtu unayeendana naye ni janga la kiroho.Ni kwa vile tu umebahatika kupata mtu mnayeendana. Mpaka sasa najutia sana kumuoa mke wangu wa kwanza bila majaribio. Hawezi kudumu kwenye tendo kwa zaidi ya dk 10
Hapana mkuu, nilijaribu kila jambo lakini wapi. Mpaka Psychologists nikawahusisha, lakini haikusaidia chochote. Wazo la kuoa mke wa pili alilitoa yeye mwenyeweTendo la ndoa ni muhimu , lakini ulipaswa kuwa na mambo mengine yanayowafurahisha ili wote muwe na amani. Kulala na watu wengi ili upate mtu unayeendana naye ni janga la kiroho.
Zipo sana mkuu, za sasa ziko modified, unaweza ambulia hata zenye bluetooth ndani yake
Uzi unataka watu wazini kwanza ndipo ndoa ifuate. Ama kweli ibilisi kauteka ulimwengu.Huu uzi una promote uzinzi. Upuuzwe.
[emoji23]Ndo sifa kuu ya mwanaume. Famasiala niniLengo hapo ni tujue Mleta mada anasukuma mzigo kwa muda mrefu, mpaka kuoa mke wa pili [emoji23]
Kama utamu wa ngono huwa unaisha, huoni kwamba ni vema ngono ifanyike kabla ya ndoa ili waoane kwa vigezo vingine badala ya mihemko ya ngono?Utamu wa ngono uisha ndani ya miezi 3 ndoani baada ya hapo facta zingine ikiwemo malezi na tabia ndio ushikilia uhai wa ndoa.
Kwann mkuu?Huu uzi ulifaa kusomwa miaka ya 70 [emoji16][emoji16]
Ndo unaachana naye, unatafuta size yako. Cha jogoo panda nikupande, mnaridhika woteNa ikitokea Mwanaume kapata Mwanamke kila akimaliza Mwanamke anataka tu??
Hapana mkuu, ni kwa nia njema tu ya kuhakikisha kila mmoja wetu anaridhika na chakula cha kiroho akipatacho kutoka kwa mwenza wakeUzi unataka watu wazini kwanza ndipo ndoa ifuate. Ama kweli ibilisi kauteka ulimwengu.
Utamu wa ngono hauwezi isha kabla ya kuona.Kama utamu wa ngono huwa unaisha, huoni kwamba ni vema ngono ifanyike kabla ya ndoa ili waoane kwa vigezo vingine badala ya mihemko ya ngono?