Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
mzee unajua maana ya kuzini? utawajaribu wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo lemme say kawasema mabikra, sasa kwa karne hii mabikra tunawatoa wapi kama siyo kufanyiana utapeli tu? [emoji16]Kwann mkuu?
Doh!#kataa ndoa
Kwani uzi ni wako?Doh!
Umefuata nini kwa Uzi wa wapenda Ndoa?!!!
Toka lini gereza likawa barakaNdoa ni gereza.
Vijana tuoe, ndoa ni baraka
Wanachoka mapema sababu wana wateja wengi wa kuwahudumia."Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe mke wa pili"
Nakumbana sana na hii changamoto kwenye mahusiano mabinti wa siku hizi wanachoka haraka sana kitandani. Ukiwa unamgegeda na kidume bado haujaridhika utasikia babe nimechoka huwa nakereka sana
Bado ni kwa faida yako na yake.Vipi mkifanya na litokee jambo msioane? Ukitaka kuolewa na mwingine mfanye tena na bado msioane ...na list iendelee.
Kama haombi hela mnaweza msifanye ila kama pesa anataka lazima aliwe kwanzaEwe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali.
Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe mke wa pili.
Sio hivyo tu, baada ya kumuoa unaweza kuta anayo kubwa ukashindwa kufit, au ndogo sana ikashindwa kuingia, au inaweza isiwepo kabisa.
Hali kadhalika, unaweza kuwa mwanaume wa kushelega kwa muda wa dakika tatu, kumbe uliyemuoa anahitaji masaa nane kuridhika, mwisho wa siku ukachapiwa huko nje.
Pia ewe mwanamke, kamwe usimtamkie kauli ya tutafanya baada ya kuoana. Huwezi jua ni kipi utakachokutana nacho huko mbele.
Unaweza kukutana na ndingo na usiweze kulimudu, au ukakutana na kipisi cha sigara ukashindwa kutimiza haja zako. Au ukakuta hana risasi za kutosha ikala kwako.
Ewe mwanamke, akikwambia kuwa mtafanya baada ya ndoa, jua wazi anakwenda kukuvika mabomu. Kunakuwa na tatizo la kiufundi mahali.
Ni vyema kufanyiana majaribio kwanza kabla ya kufunga pingu za maisha. Ndoa ni gereza.
Vijana tuoe, ndoa ni baraka.
Sababu ya bi harusi kukimbia mbona hujatuambia?Kuna jamaa kabla ya ndoa alimbembeleza sana mke mtarajiwa watest kwanza mitambo lakini mwanamke akakataa hataki mpaka siku ya ndoa.
Siku ya kulipa mahari mshenga(mzee mtumzima) alimvuta chemba baba harusi na kuongea nae kiungwana kabisa na kumuomba kabla ya kulipia mahari ni busara awaruhusu wanandoa wafahamiane vizuri ili wasije wakashindwana mbele ya safari, baba mkwe akaja juu akawa mkali kwelikweli kwa kuona alichoambiwa ni udhalilishaji mkubwa kwake yeye na huyo binti yake, Basi kabidi wazee wenye busara zao wa pande zote mbili waingilie kati kumbembeleze baba Mkwe ili zoezi la mahari likamike na taratibu za harusi ziendelee.
Kweli mambo yakaenda vizuri na taratibu za harusi zikafata.
Siku 3 baada ya kufunga ndoa bibi harusi alitoroka kwa mumewe na kurudi nyumbani kwao hamtaki tena mume wake, mshenga alipokuja kusuluhisha baba mkwe kawa mpole anamuomba wakae waongee utaratibu wa kurudisha mahari huku bwana harusi kachachamaa anamtaka mke wake.
Kuna watu wengine wanajijua kabisa wana ulemavu wa kuzaliwa, hivyo linapotokea jambo kubwa kama ndoa hua ni vyema tukaacha mazoea busara ikatumika.
Nakazi[emoji419]Hakuna faida hpa ni kuharibika tu kwa maadili wala tusidanganyane
ndoa ni gereza zito sana yaaani umeandika vizuri sana, japo ndoa sio mchezo na zaidi ya kugongana gongana maana si kitotoEwe mwanaume, kamwe mwanamke asikwambie kuwa hawezi kukutunuku mpaka pale mtakapofunga ndoa. Usikubali.
Inaweza tokea mkashindwa ku match code. Unaweza kuwa aina ya mwanaume unayesukuma ukuni kwa muda mrefu, kumbe mkeo akawa ni wa dakika tatu hoi ukajikuta ishakula kwako. Hii ilinifanya nioe mke wa pili.
Sio hivyo tu, baada ya kumuoa unaweza kuta anayo kubwa ukashindwa kufit, au ndogo sana ikashindwa kuingia, au inaweza isiwepo kabisa.
Hali kadhalika, unaweza kuwa mwanaume wa kushelega kwa muda wa dakika tatu, kumbe uliyemuoa anahitaji masaa nane kuridhika, mwisho wa siku ukachapiwa huko nje.
Pia ewe mwanamke, kamwe usimtamkie kauli ya tutafanya baada ya kuoana. Huwezi jua ni kipi utakachokutana nacho huko mbele.
Unaweza kukutana na ndingo na usiweze kulimudu, au ukakutana na kipisi cha sigara ukashindwa kutimiza haja zako. Au ukakuta hana risasi za kutosha ikala kwako.
Ewe mwanamke, akikwambia kuwa mtafanya baada ya ndoa, jua wazi anakwenda kukuvika mabomu. Kunakuwa na tatizo la kiufundi mahali.
Ni vyema kufanyiana majaribio kwanza kabla ya kufunga pingu za maisha. Ndoa ni gereza.
Vijana tuoe, ndoa ni baraka.
Eh!!!kwa nia njema[emoji16]vijana wa sasa mnamambo magumu sana!kwan huwa mnaridhika eti au mkishapewa mnatafuta pengine!Ww acha kutetea zinaa.Hapana mkuu, ni kwa nia njema tu ya kuhakikisha kila mmoja wetu anaridhika na chakula cha kiroho akipatacho kutoka kwa mwenza wake
Kama kipochi kitakuwa na muonekano, ama yaliyomo yamo i.e buyu limejaa asali. Basi tunaoa. Lakini kama tukikuta ushubwada, tunatest pengineEh!!!kwa nia njema[emoji16]vijana wa sasa mnamambo magumu sana!kwan huwa mnaridhika eti au mkishapewa mnatafuta pengine!Ww acha kutetea zinaa.