TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
naweka kambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtumishi wa umma, hakuna kitu chochote unachoweza kufanya bila kukopa. Hata gari tu ya milioni 8 huwezi kusema ukusanye mishahara mpaka itimie hiyo hela. Cha maana ni kuwa na malengo na kuhakikisha unapokopa pesa hiyo unaipeleka kwenye lengo husika.
Sijaelewa!!Hii ni Riba ya bank inayokopea BOT even bank staffs wengi hawana 5 per cent sijui wewe unakopa hazina au??
Riba ya mkopo fullHiyo asilimia 5 ni kwa mwezi au kwa mwaka?
Wewe mshahara wako ni Tsh ngapi?
Mbona 8mil ni pesa ndogo sana.
Hata Mimi nawaza 😂😂😂😂😂Kukopa pesa ili upeleke watoto shule za English medium nayo Ni matumizi mabaya ya akili.
Riba ya mkopo full
Hiyo 5% ni riba ya mkopo utakaochukua kwa muda wote wa marejesho yako..
Ni saccoss ya ofisi hiyo ndo tunakopeshwa kwa riba ya 5%
Mf. Nakopa 10M
10,000,000 riba ya 5% ni 500,000.. so nitakuwa nina jumla ya deni la 10,500,000/= machaguzi ya kukatwa kwa muda wa miezi 12/18/24 ni yako.
Cc Financial Freedom
Kuna utofauti kati ya mkopo mbaya na mkopo mzuri. Mkopo mbaya ni ule unaolazimika kuulipa kwa jasho na damu kutoka kwenye paycheck. Mkopo mzuri ni ule ambao, uwekezaji wako (Mahali utakapo kwenda kuwekeza) kuwe kunaweza kurejesha huo mkopo.
Wataalam wa mikopo wanakwambia usikope kununua gari ya kutembelea maana gari liability haliingizi chochote Bali litakufanya pia utoe hela mfukoni ili kulihudumia kwa hiyo litakunyonya zaidi, kama unataka kununua gari basi nunua ya biashara eg hiace, coaster, kirikuu, tipper etc ili ilete hesabu pia hata kujenga nyumba ya kuishi kwa mkopo hawashauri pia labda ujenge ya biashara let say guest house, vyumba vya biashara n.k. Jana niliiona video moja ya MO anasema watu wanakosea kwa kukopa hela then wanajenga nyumba ya kuishi kwa nin hiyo hela usiifanyie biashara na wewe ukaendelea kupanga nyumba yenye gharama ndogo then biashara ikikua na kuanza kuingiza faida ya kutosha ndio unajenga nyumba kwa kutumia faida unayoipataMkuu hapa naomba nitofautiane kidogo na wewe. Kwangu mimi, mkopo mzuri ni ule ambao nimeufanyia kitu cha maana HATA KAMA ntalazimika kuulipa kwa jasho na damu! Hii ni kwasababu, bila ya mkopo huo basi hicho kitu cha maana kisingefanyika.
Mfano; Kama nina lengo la kununua gari ya kutembelea, nikakopa hela na kununua gari niipendayo, kwangu mimi huo ni mkopo mzuri maana sasa nna gari ya kutembelea. Yes, ntaumia for sometime kulipa huo mkopo lakini baadae ntaendelea ku enjoy benefits za kuwa na gari yangu, ambazo ni kubwa kuliko kuning'inia kwenye daladala.
kwa nin hiyo hela usiifanyie biashara na wewe ukaendelea kupanga nyumba yenye gharama ndogo then biashara ikikua na kuanza kuingiza faida ya kutosha ndio unajenga nyumba kwa kutumia faida unayoipata
Riba ya mkopo full
Hiyo 5% ni riba ya mkopo utakaochukua kwa muda wote wa marejesho yako..
Ni saccoss ya ofisi hiyo ndo tunakopeshwa kwa riba ya 5%
Mf. Nakopa 10M
10,000,000 riba ya 5% ni 500,000.. so nitakuwa nina jumla ya deni la 10,500,000/= machaguzi ya kukatwa kwa muda wa miezi 12/18/24 ni yako.
Cc Financial Freedom
Wanatumia vibaya akili zao hao wapeleke watoto shule nzuri kwasababu unao uwezo huo sio kwa kukopa pesa ambazo zitakuumiza mwisho wa siku watoto wanahitimu chuo halafu ajira hakuna wanabaki kukutegemea tena Kama wewe ni muajiriwa ustaafu uwapatie pension yako wakafungue biashara wakati walisoma sociology mwisho wanashindwa kusimamia biashara wanafilisika unapata presha unakufaaaa.
Duuh noma sana.Mkuu hapa naomba nitofautiane kidogo na wewe. Kwangu mimi, mkopo mzuri ni ule ambao nimeufanyia kitu cha maana HATA KAMA ntalazimika kuulipa kwa jasho na damu! Hii ni kwasababu, bila ya mkopo huo basi hicho kitu cha maana kisingefanyika.
Mfano; Kama nina lengo la kununua gari ya kutembelea, nikakopa hela na kununua gari niipendayo, kwangu mimi huo ni mkopo mzuri maana sasa nna gari ya kutembelea. Yes, ntaumia for sometime kulipa huo mkopo lakini baadae ntaendelea ku enjoy benefits za kuwa na gari yangu, ambazo ni kubwa kuliko kuning'inia kwenye daladala.
Sawa Afisa MikopoWafanyakazi wengi hukopa ila huishi maisha mabaya sana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hiyo saccoss iko ndani ya ofisi..Nje ya mada mkuu naomba nikuulize..
Hiyo SACCOS yenu ina wafanyakazi iliowaajiri mnaowalipa mshahara? Je, mna ofisi ambayo mnalipa kodi, umeme, maji, ulinzi nk? Mna bodi ambayo inalipwa allowances? Mnafanya mafunzo? Mwisho wa mwaka mnapata gawio?
Nauliza kwasababu kwa mchanganuo huo ulioutoa hapo juu, ina maana mtu akichukua mkopo wa 10m kwa miezi 24, analipa riba ya shilingi 20,800 kwa mwezi. Ili muweze kumlipa mfanyakazi mmoja mshahara wa tsh 500,000 tu kwa mwezi, itabidi mtoe mikopo ya 250m. Hapo tuna assume mna mfanyakazi mmoja tu na hakuna gharama nyingine zozote za uendeshaji.
Au nyie wenzetu mnafanyaje..?
muda mrefu unapata hela nyingi na rejesho linakuwa dogo ila riba inakuwa .Habari wakuu, mimi ni mtumishi wa Umma ambapo nina fursa za kukopa benki mkopo wa muda mrefu na mfupi na siku hizi benki nyingi zimeongeza muda wa mkopo hadi miaka 8.
Nilikuwa naomba mawazo yenu kuhusu faida za mkopo wa muda mrefu na muda mfupi ingawa nafahamu kuwa changamoto kubwa ya mkopo wa muda mrefu ni riba kuwa kubwa, Je zipi faida nyingine?
Thanksmuda mrefu unapata hela nyingi na rejesho linakuwa dogo ila riba inakuwa .
kumbuka riba ni kwa mwaka, sasa miaka ikiwa mingi , riba nayo inadaradadi
Asilimia 11 ina ubaya gani?