Ahimidiwe Mungu atakayenipa mume mwema maana ndio katoka kwake,nikupe somo moja mtoa mada kuhusu ndoa. Watu wanaona nikitu kikubwa hapana nikikubwa kama umemuoa mtu hujamfeel na hajakufeel . Sikia ndoa nimuhimu .
UTAULIZA UMUHIMU WAKE NI UPI?
1. Watoto watapata malezi ya baba na mama. Ndani kutakuwepo matunzo,mafunzo,maelekezo. Ambapo watoto wa nje hawapati usisahau muda na upendo . Vyote hivyo ni ndoa imezaa hayo matunda na usidanganywe sio muhimu. Maana kama umeoa kwa ridhaa yako unamjulia mwenzako hapendi nini naanataka nini kumuhandle ni rahisi.
Ndoa ni lazima kwasababu unaunga undugu na undugu unakua. Unapata challenge mbali mbali ikiwemo ya kiuchumi ,kimaendeleo kiujumla na unakuwa na majukumu ya kifamilia kwa mkeo na watoto. Unaongeza uwewe duniani kihalali. Unapata mawazo chanya kwa mke,ndugu pande zote nawazazi. Kuishi na watu kwa uzuri ni hekima na akili. .
Kuwa single ni umalaya na ukahaba.
Kwasababu unafanya uzinzi. Na unapata mikosi ,mabalaa,pesa zinaenda kwa wanawake tofauti ambao kimalengo huna nao.
Ungeoa akili inacharge akili inakuwa unategemewa so unaitumia kutafuta hela. Za ujenzi, watoto,na mke pia. So kuoa sio heshima tu ni raha
Dra Maxie