Nijuavyo Wagunya kwao ni Lamu Kenya. Asili zao nijuavyo ni 4.Assalaam alaykum, dada FaizaFoxy, matumaini yangu umzima, shikamoo.
Mi napenda kujua historia ya Wagunya, walikotokea, sehemu wanayopatikana kwa sasa na shughuli walizokuwa wakijishughulisha nazo, kwa maana nimesikia mi asili yangu ni mgunya
السلام عليكم.
Jamii Forums mobile app
جزاكا الله الحيرNijuavyo Wagunya kwao ni Lamu Kenya. Asili zao nijuavyo ni 4.
Wapi wenyewe asili ya Kireno, wapi wenye asili ya Yemen, wapi wenyewe asili ya Kisomali na wapi wenyewe asili ya Kibantu. Na au mchanganyiko maalum kutokana asili hizo.
Ah nimeona niku challenge maana Jf user wengi ni fake .... So kama unacheti weka ata nemboShida yako ni nini? Niliomba kazi kwako?
Hapa siombi kazi, nimejibu nilichoulizwa. Ni haki yako kukubali au kukataa.Ah nimeona niku challenge maana Jf user wengi ni fake .... So kama unacheti weka ata nembo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dada !! Ngoja nikuulize swali kama heading yako inavyosema ....Hapa siombi kazi, nimejibu nilichoulizwa. Ni haki yako kukubali au kukataa.
Swali zuri sana na nakuomba pitia hapa, kwa majibu ya kina: https://www.quora.com/How-are-sun-rises-sets-early-in-some-parts-and-late-in-othersSawa dada !! Ngoja nikuulize swali kama heading yako inavyosema ....
Je sehemu gan ya dunia jua huwai kuchomoza na kwingine huchelewa na kwa nn kwingine kuwahi na kwingine kuchelewe ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushaur acha kuongelea masala ya dini na ilhal huna elimu ya dini yan n kucopy na kupaste tu.... Io aya ulioitoa sharh yake umeisoma wap na kaifanya nan..... Pili in islamic education kuna somo laitwa sababun nnudhur(sabb ya kuteremshwa aya) je wajua sabb ya kuteremshwa aya hii??? So u lying against Allah and hope u dont know its Kufr......... Jibu maswal mengne yako personal.. Bt our deen is free from your ignorance..... But by za way... Wat is the meaning of terrorism and who is terrorism according to islam??? Are they defending their deen,blood,children,and their honour,are terrorist according to your brain washed corrupted Western mind?????????Si kweli.
Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.
Uislam unafundisha:
Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.
33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Nijuavyo upo usafiri wa meli za mizigo, kama zinachukuwa na abiria sina uhakika.Naomba kuuliza, hivi kuna usafiri wa meli/boti kutoka Dar es salam,Tanzania mbaka visiwa vya Comoros? na kama upo nauli yake iko vipi?
Na ningeomba kufahamu soko la viazi ulaya na mbatata(vitamu) kwa gunia ndani ya Comoros,Madagascar, Zanzibar island ?
Ayo Tu Bibi yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay asante sanaNijuavyo upo usafiri wa meli za mizigo, kama zinachukuwa na abiria sina uhakika.
Kwa maelezo zaidi ya kibiashara na Comoros, naomba wasiliana na ubalozi wao nchini:
- ADDRESS
- Comoran Embassy in Dar-es-Salaam, Tanzania
Mawaziri Road, Plot No. 967
(Near Rose Garden)
Mikocheni B
Dar-es-Salaam
Tanzania
- TELEPHONE (+255) 22 222 1204
Nakushaur acha kuongelea masala ya dini na ilhal huna elimu ya dini yan n kucopy na kupaste tu.... Io aya ulioitoa sharh yake umeisoma wap na kaifanya nan..... Pili in islamic education kuna somo laitwa sababun nnudhur(sabb ya kuteremshwa aya) je wajua sabb ya kuteremshwa aya hii??? So u lying against Allah and hope u dont know its Kufr......... Jibu maswal mengne yako personal.. Bt our deen is free from your ignorance..... But by za way... Wat is the meaning of terrorism and who is terrorism according to islam??? Are they defending their deen,blood,children,and their honour,are terrorist according to your brain washed corrupted Western mind?????????
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu kwa tawheed na aqeeda ya ahli sunnah wal jama'a. Nahis we utakua salafy..Mfani; Birika ina mkono, bilauri ina mkono, ndoo inamkono na hata wewe pia unamkono, tukisema mkono wa binadamu haufanani na kiumbe chochote tutakosea kwakuwa kuna viumbe vingine vinamikono kama nilivotaja hapo juu??
Hapo nimejaribu kukufanya ufikirie zaidi, inaposemwa Mungu anasikia basi si lazima ifanane na viumbe wake, usikivu wako wewe unamipaka, usikivu wa Allah hauna mipaka, anasikia sauti za viumbe wake wote kwa wakati mmoja na anajua kila nafsi kwa kila inachowaza na kusema!! Nimejibia namba 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waoooo masha Allah u sound like a great scholar.. Where did u study.... George Washington islamic university or al azar????= Asbab nnuzul.
Wewe Kiarabu hujuwi, Kiswahili hujuwi, Kingereza hujuwi.
Nyie ndiyo wale Waislam mnaodanganya watu kwa ujinga wenu kuwa Qur'an mpaka uende kwa Sheikh kuijuwa, wakati Qur'an yenyewe inasema ni nyepesi kufahamika.
Unachotakiwa kufanya ni kujibu swali kama unaona majibu hayajajitosheleza na si kuja kupayuka hovyo. Hata Maulamaa wakubwa wanakhitilafiana katika majibu ya aya za Qur'an lakini hakuna aliyeleta upuuzi kama wako.
Wewe kama hukielewi unachokisoma kwenye Qur'an kaa ujisomee na ujifunze, hakuna mmoja leo hii hata awe amesoma na kupindukia anesema kuwa sasa Qur'an naielewa yote kuliko mwengine.
Na tafadhali usitake tuanze kubishana kuhusu asbab nnuzuul, asbab nnuzuul siyo wahyi kuwa unalindwa. Wahyi ni Qur'an. Na asbab nnuzuul zimeanza kuandikwa miaka kadhaa baada ya Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam Kufariki.
Mtume alishatabir kua watu watakua na ad baby Kali siku ya kiama ni wenye kutengeneza picha na wachora masanam.. wataambiwa wawatie roho wale waliowachora..kwanini mtume alikatta na akalaani kuhusu mtu kuchora au kuweka kumbukumbu ya sura yake
Ndio mafundisho yako hivo..Kwanini swala ya al- asr na subhi hazina suna za baadiya ?