Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Assalaam alaykum, dada FaizaFoxy, matumaini yangu umzima, shikamoo.
Mi napenda kujua historia ya Wagunya, walikotokea, sehemu wanayopatikana kwa sasa na shughuli walizokuwa wakijishughulisha nazo, kwa maana nimesikia mi asili yangu ni mgunya
السلام عليكم.
Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo Wagunya kwao ni Lamu Kenya. Asili zao nijuavyo ni 4.

Wapo wenye asili ya Kireno, wapo wenye asili ya Yemen, wapo wenye asili ya Kisomali na wapo wenye asili ya Kibantu. Na au mchanganyiko maalum kutokana na asili hizo.
 
Nijuavyo Wagunya kwao ni Lamu Kenya. Asili zao nijuavyo ni 4.

Wapi wenyewe asili ya Kireno, wapi wenye asili ya Yemen, wapi wenyewe asili ya Kisomali na wapi wenyewe asili ya Kibantu. Na au mchanganyiko maalum kutokana asili hizo.
جزاكا الله الحير

Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza, hivi kuna usafiri wa meli/boti kutoka Dar es salam,Tanzania mbaka visiwa vya Comoros? na kama upo nauli yake iko vipi?

Na ningeomba kufahamu soko la viazi ulaya na mbatata(vitamu) na bei zake kwa gunia ndani ya Comoros,Madagascar, Zanzibar island ?

Ayo Tu Bibi yangu : Natamani kupata majibu ya kina tafadhali[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjadala wa makinikia unaendeleaje?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Si kweli.

Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.

Uislam unafundisha:

Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.

33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Nakushaur acha kuongelea masala ya dini na ilhal huna elimu ya dini yan n kucopy na kupaste tu.... Io aya ulioitoa sharh yake umeisoma wap na kaifanya nan..... Pili in islamic education kuna somo laitwa sababun nnudhur(sabb ya kuteremshwa aya) je wajua sabb ya kuteremshwa aya hii??? So u lying against Allah and hope u dont know its Kufr......... Jibu maswal mengne yako personal.. Bt our deen is free from your ignorance..... But by za way... Wat is the meaning of terrorism and who is terrorism according to islam??? Are they defending their deen,blood,children,and their honour,are terrorist according to your brain washed corrupted Western mind?????????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza, hivi kuna usafiri wa meli/boti kutoka Dar es salam,Tanzania mbaka visiwa vya Comoros? na kama upo nauli yake iko vipi?

Na ningeomba kufahamu soko la viazi ulaya na mbatata(vitamu) kwa gunia ndani ya Comoros,Madagascar, Zanzibar island ?

Ayo Tu Bibi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nijuavyo upo usafiri wa meli za mizigo, kama zinachukuwa na abiria sina uhakika.

Kwa maelezo zaidi ya kibiashara na Comoros, naomba wasiliana na ubalozi wao nchini:
  • ADDRESS
  • Comoran Embassy in Dar-es-Salaam, Tanzania
    Mawaziri Road, Plot No. 967
    (Near Rose Garden)
    Mikocheni B
    Dar-es-Salaam
    Tanzania
  • TELEPHONE (+255) 22 222 1204
 
Okay asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushaur acha kuongelea masala ya dini na ilhal huna elimu ya dini yan n kucopy na kupaste tu.... Io aya ulioitoa sharh yake umeisoma wap na kaifanya nan..... Pili in islamic education kuna somo laitwa sababun nnudhur(sabb ya kuteremshwa aya) je wajua sabb ya kuteremshwa aya hii??? So u lying against Allah and hope u dont know its Kufr......... Jibu maswal mengne yako personal.. Bt our deen is free from your ignorance..... But by za way... Wat is the meaning of terrorism and who is terrorism according to islam??? Are they defending their deen,blood,children,and their honour,are terrorist according to your brain washed corrupted Western mind?????????

Sent using Jamii Forums mobile app

= Asbab nnuzul.

Wewe Kiarabu hujuwi, Kiswahili hujuwi, Kingereza hujuwi.

Nyie ndiyo wale Waislam mnaodanganya watu kwa ujinga wenu kuwa Qur'an mpaka uende kwa Sheikh kuijuwa, wakati Qur'an yenyewe inasema ni nyepesi kufahamika.

Unachotakiwa kufanya ni kujibu swali kama unaona majibu hayajajitosheleza na si kuja kupayuka hovyo. Hata Maulamaa wakubwa wanakhitilafiana katika majibu ya aya za Qur'an lakini hakuna aliyeleta upuuzi kama wako.

Wewe kama hukielewi unachokisoma kwenye Qur'an kaa ujisomee na ujifunze, hakuna mmoja leo hii hata awe amesoma na kupindukia anesema kuwa sasa Qur'an naielewa yote kuliko mwengine.

Na tafadhali usitake tuanze kubishana kuhusu asbab nnuzuul, asbab nnuzuul siyo wahyi kuwa unalindwa. Wahyi ni Qur'an. Na asbab nnuzuul zimeanza kuandikwa miaka kadhaa baada ya Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam Kufariki.
 
Mfani; Birika ina mkono, bilauri ina mkono, ndoo inamkono na hata wewe pia unamkono, tukisema mkono wa binadamu haufanani na kiumbe chochote tutakosea kwakuwa kuna viumbe vingine vinamikono kama nilivotaja hapo juu??

Hapo nimejaribu kukufanya ufikirie zaidi, inaposemwa Mungu anasikia basi si lazima ifanane na viumbe wake, usikivu wako wewe unamipaka, usikivu wa Allah hauna mipaka, anasikia sauti za viumbe wake wote kwa wakati mmoja na anajua kila nafsi kwa kila inachowaza na kusema!! Nimejibia namba 1.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu kwa tawheed na aqeeda ya ahli sunnah wal jama'a. Nahis we utakua salafy..
ALLAAH akuongoze..
 
= Asbab nnuzul.

Wewe Kiarabu hujuwi, Kiswahili hujuwi, Kingereza hujuwi.

Nyie ndiyo wale Waislam mnaodanganya watu kwa ujinga wenu kuwa Qur'an mpaka uende kwa Sheikh kuijuwa, wakati Qur'an yenyewe inasema ni nyepesi kufahamika.

Unachotakiwa kufanya ni kujibu swali kama unaona majibu hayajajitosheleza na si kuja kupayuka hovyo. Hata Maulamaa wakubwa wanakhitilafiana katika majibu ya aya za Qur'an lakini hakuna aliyeleta upuuzi kama wako.

Wewe kama hukielewi unachokisoma kwenye Qur'an kaa ujisomee na ujifunze, hakuna mmoja leo hii hata awe amesoma na kupindukia anesema kuwa sasa Qur'an naielewa yote kuliko mwengine.

Na tafadhali usitake tuanze kubishana kuhusu asbab nnuzuul, asbab nnuzuul siyo wahyi kuwa unalindwa. Wahyi ni Qur'an. Na asbab nnuzuul zimeanza kuandikwa miaka kadhaa baada ya Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam Kufariki.
Waoooo masha Allah u sound like a great scholar.. Where did u study.... George Washington islamic university or al azar????
Sawa ngja nikuulize maswal unijibu maana dini ya kiislamu inaenda kwa dalili yan quran na sunna kwa ufahamu wa pious predecessors....... Io aya uloitoa masahaba wameifasir vp... Pamoja na tafsir za kutegemewa ka ibn kathir.. Tafsir at tabbar... Tafsir ya qurtub na wengne....... Coz huwez toa tafsir kwa matamanio yako....... Sbb nikufahamishe kuna aya ambazo hukum zake zmefutwa mfano aya ya surat al kafirun lakum dinnukum waliyadin..... Aya hii iliteremshwa kipind rasul yuko makka hana nguvu na hajaamrishwa kupigana... Lakini alivohajir akaenda madina ana quwwa (nguvu) ikateremshwa aya "piganen nao mpaka isiwepo fitna na dini iwe ya Allah tu..... (surat anfal) so this aya ilireplace aya ya surat kafirun... Nyiemna dini yenu na sisi tunayetu.... So najarbu kukuonesha umuhimu wa kuijua quran kwa kina na huwez kuisoma tu kama gazet........ So swal langu n yap makusudio ya aya ulotoa na n nan akiuliwa n sawa wameuliwa watu wote na utuoneshe n tafsir ipi umetumia.... Noté s ugomv unaulizwa maswal nam nakuuliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini mtume alikatta na akalaani kuhusu mtu kuchora au kuweka kumbukumbu ya sura yake
Mtume alishatabir kua watu watakua na ad baby Kali siku ya kiama ni wenye kutengeneza picha na wachora masanam.. wataambiwa wawatie roho wale waliowachora..
 
Kwanini swala ya al- asr na subhi hazina suna za baadiya ?
Ndio mafundisho yako hivo..
L imekuja katazo la kuswali baada ya asr mpaka jua lizame..
Pia kuna katazo la kuswali baada ya swalal fajr mpaka jua lichomoze..
 
Back
Top Bottom