Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa


Inaonekana ww ni mbulula kiwango cha lami hii[emoji15],hivi nikuulize kitu inawezakana vp birika au ndoo kikawa ni kiumbe hai,hata elimu ya darasa la saba umekosa mwenzangu na mm,aisee ndio sababu huyu mama maswali mengine hajibu,hebu kufikirisha akili yako bhana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejibu kwa tawheed na aqeeda ya ahli sunnah wal jama'a. Nahis we utakua salafy..
ALLAAH akuongoze..
Unamjuaje mtu mwenye aqida ya salaf na salaf aqida yao n ipi..... Mfano mm nikipinga maulid na hitma nikafuga ndevu.. Cvai isbal hapo ninawafuata salafy??? Na muda huo nawatii wasohukum kwa yale aloteremsha Allah.... Napiga kura... Je mm nafata manhaj salafy au Murcia????


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo si swali hiyo ni challenge ya kijinga. Sipo hapa ku challenge nani zaidi, hayo ni mambo ya kwenye rusha roho na sina muda huo.

Sunna ni Qur'an pekee.
 

Nyinyi kupeana majina tu, sijuwi huyu salami yule salafi, huyu sunni, yule ibadhi, yule shia. Hiyo kwangu ni kufuru.

Mimi ni Muislam.

Huo upuuzi wa kupeana madheheb pelekeni huko kwa wenye kukufuru wenzenu.
 
Nyinyi kupeana majina tu, sijuwi huyu salami yule salafi, huyu sunni, yule ibadhi, yule shia. Hiyo kwangu ni kufuru.

Mimi ni Muislam.

Huo upuuzi wa kupeana madheheb pelekeni huko kwa wenye kukufuru wenzenu.
Umesema ukweli, katika vitu ambavyo sivikubali ni mtu kujinasibisha na dhehebu, sijui hii dalili wanatoa wapi.

Kuna mchumba ambaye nilitaka kumuoa, wakaanza itikadi zao, kama wewe (mm) ni suni hatutaki kukupa binti yetu, nikawaambia mtume katufundisha, mwanamke anaolewa kwa mambo 4, vitu vingine mnavyoleta ni kukufuru tu, mtume hajasema mwanamke aolewe kwa dhehebu . Walikuja kunielewa lakini.

Binti nilimwambia utanikosa kwa vitu vya kishetani shetani tu vinavyoingizwa na ndugu zako.
 
Unajua kufr n nn...... Kwann mnazungumza msokuwa na ilm nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo si swali hiyo ni challenge ya kijinga. Sipo hapa ku challenge nani zaidi, hayo ni mambo ya kwenye rusha roho na sina muda huo.

Sunna ni Qur'an pekee.
Sister cjakuchallenge nd am advising u for the sake of Allah coz we all have mistakes...... Islam una vyanzo vinne vya sharia... Quran.. Sunna.... Qiyas na ijmaa.... Una maana gan unaposema sunna n quran pekee... Je hadith za mtume na mwenendo wake huutak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtume alifundisha kuwa muislamu aoe mke kwa kuzingatia sifa zipi?
 

Usizuwe. Hadithi si za Mtume. Hadithi uhadithie wewe umsingizie Mtume? Mtume kapewa Qur'an na Qur'an haikuwacha kitu.

Qur'an 6:38
Na hakuna mnyama katika ardhi wala ndege arukaye kwa mbawa zake, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha watakusanywa kwa Mola Wao.
 
Hivi ..kukuuliza wewe ni kufaidika????

mwanza kwetu
 
Ni kwa nini Rais hamteuwi Mzee Lipumba kuwa waziri wa madini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…