atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Mfani; Birika ina mkono, bilauri ina mkono, ndoo inamkono na hata wewe pia unamkono, tukisema mkono wa binadamu haufanani na kiumbe chochote tutakosea kwakuwa kuna viumbe vingine vinamikono kama nilivotaja hapo juu??
Hapo nimejaribu kukufanya ufikirie zaidi, inaposemwa Mungu anasikia basi si lazima ifanane na viumbe wake, usikivu wako wewe unamipaka, usikivu wa Allah hauna mipaka, anasikia sauti za viumbe wake wote kwa wakati mmoja na anajua kila nafsi kwa kila inachowaza na kusema!! Nimejibia namba 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana ww ni mbulula kiwango cha lami hii[emoji15],hivi nikuulize kitu inawezakana vp birika au ndoo kikawa ni kiumbe hai,hata elimu ya darasa la saba umekosa mwenzangu na mm,aisee ndio sababu huyu mama maswali mengine hajibu,hebu kufikirisha akili yako bhana...
Sent using Jamii Forums mobile app