Nashukuru angalau kwa kuelewa. Tatizo ni, kwanini anatumia uwingi badala ya umoja (tulipo... badala ya nilipo..., tukakusameheni badala ya nikakusameheni, nk)Hebu fanya editing.
Naam, Qur'an imeteremshwa na Jibril kutoka kwa Allah.
Jibril ni malaika ambae nyinyi mnamwita Gabriel.
Tatizo nini hapo?
Nimechungulia kidogo kwenye hiki kitabu ulichomuomba Faiza naona kina mambo mengi!
Napenda uelewe kuwa katika lugha ya Kiarabu kuna uwingi (plural) wa heshima.Nashukuru angalau kwa kuelewa. Tatizo ni, kwanini anatumia uwingi badala ya umoja (tulipo... badala ya nilipo..., tukakusameheni badala ya nikakusameheni, nk)
Sent using Jamii Forums mobile app
Aksante FaizSasa kama "unasikia" unataka nijibu nini tena? Ya kusikia changanya na yako.
FaizaFoxy wakati mwingine unafunguka vizuri kweli nimeangalia hata baadhi ya nyuzi hapo juu, hebu endelea!Napenda uelewe kuwa katika lugha ya Kiarabu kuna uwingi (plural) wa heshima.
Kingereza pia kina "majestic plural", utaona utaona Malkia wa Kingereza akitoa " decree" huandikwa, We the Queen..., na Malkia ni mmoja tu.
Hata sisi Waswahili tuna uwingi wa heshima, mfano tunasema "tunakutakia kila la heri na mafanikio" na ni mara uchache sana kuona "ninakutakia...".
Huo uwingi ndiyo utamu wa lugha na pia ni lugha inayopunguza ukali wa maneno.
Umenikumbusha kisa cha kuchekesha kuhusu uwingi, Sheikh alipowafundisha wanafunzi wake kuhusu hilo na wakalishika somo barabara.
Ukipenda kukifahamu nijulishe tu.
...Baada ya darsa la Sheikh wanafunzi wakashika somo la "uwingi wa heshima na kupunguza ukali wa maneno" Ikiwa ndiyo lugha yao...FaizaFoxy wakati mwingine unafunguka vizuri kweli nimeangalia hata baadhi ya nyuzi hapo juu, hebu endelea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni nadharia "theory" tu na haina ushahidi wa kisayansi (scientific proof).Katika somo la Historia ambalo naamini hata wewe ulifundishwa hapo zamani, tulifundishwa kwamba sisi binAdam tulitokana na sokwe kitu ambacho si kweli. Kwa maoni yako, lengo la kufundisha uongo huo ulikuwa ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii FaizaFoxy hata mimi sikubali hata kama ni utani, aseme "mke wetu" hajambo! Juzi tu Mkuranga mtu alipigwa ngumi kutokana na usemi huo na baada ya kugundua alikuwa na niya mbaya!...Baada ya darsa la Sheikh wanafunzi wakashika somo la "uwingi wa heshima na kupunguza ukali wa maneno" Ikiwa ndiyo lugha yao...
Wakisema kitu, mfano mtu akitaka nauli kwa mwenzake atamwambia "tunaomba tupatie nauli", na yupo peke yake. Badala ya nitakuja ikawa " tutakuja" na kama hivyo.
Mambo yakaendelea muda mrefu, siku moja rafiki mmoja kamtembelea mwenzako nyumbani akamkuta hayupo,hakuinhia ndani akaondoka...
Mbele kidogo kakutana na mwenzake, baada ya kusalimiana akamuuliza, naona tunatokea njia hii,ajabu leo" akamjib, nilipitia pale kwetu nikamkuta mke wetu". Rafiki yake akamwambia, hapo hapo! hakuna kitu kama mke wetu! Mke ni wangu tu.
Mimi ni mfungwa kwakoEnde!ea tu kuzimia. Upo huru.
Mbona ukristo hautumiwiWatu wengi hutumia "dini" kama joho la kuficha au kuhalalisha madhambi yao lakini nnauhakika dini njema hazifundishi maovu.
Mbona ukristo hautumiwi
Kwenye post ya Inayat umesema wakristo wanafaa kuchinjwaMimi nnawaalika sana Wakristo nyumbani kwangu na nna marafiki wengi sana Wakristo kuliko unavyofikiria na wengi wengineo wanakuja kwangu bila mualiko, ni kama kwao tu.
Nnawaandalia vyakula si tu wakati wa "kwaresma" bali siku yoyote ile.
Kwanini nikuwekee sumu, umeshasikia wangapi wamekufa kwa sumu kwa ajili wameenda kula kwa Muislam?
Futa hayo mawazo ya kijinga.
Napenda uelewe kuwa wakati wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam, Waislam waliamrishwa na mtume wa "immigrate" kwenda Habashi na huko ilikuwa ni nchi Kikristo na Mfalme Mkristo aliwapokea na walipomueleza walipotoka akawauliza maswali walivyomjibu, akawaambia, naam, huyo kweli ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu na akawakaribisha vizuri sana.
Ukipenda kisome kisa hicho hapa: Migration to Abyssinia - Wikipedia
Inategemeana na mood[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Napenda uelewe kuwa, Fax machine ya kwanza Ikulu wakati wa Mzee Ali Hassan Mwinyi ilikuwa ni zao la elimu yangu.
Nnaishi Tanzania na nje. Inategemea na mood.
Hilo la avatar, pitia hapa: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
Kuna tofauti gani kati ya kuolewa/kuoa na kuoanaSijaolewa isipokuwa tumeoana na mume wangu.
Nimetokea Dar na Pwani.
AlhamduliLlah, watano.
Kwenye uzi wa Inayat umesema tangu lini mkristo akaitwa Juma Au Abdallah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Majinni ni viumbe vya Allah kama ilivyo wewe na mimi.
Kuna Majinni Waislam na kuna Majinni Wakristo na kuna Majinni yasiyoamini.
Hakuna uhusiano wote zaidi ya kulitambua hilo.
Kuhusu majina, si kigezo kizuri kwani mie nnamfahamu kijana mmoja anaitwa Abdallah lakini si Muislam. Ni maarufu sana katika kanisa la Wasabato hapo Dar.
Leta andiko kutoka katika biblia yesu mwenyewe akisema ni Mungu jupil tutajumuika pamoja kanisani
Kumbe ni Mwantumu Mahiza[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeanza kupata picha huyu ni nani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]wanachexa judo na karate alafu wanataka wapate div 1 labda wapate 1 za kufuga ndevu