Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Hebu fanya editing.

Naam, Qur'an imeteremshwa na Jibril kutoka kwa Allah.

Jibril ni malaika ambae nyinyi mnamwita Gabriel.

Tatizo nini hapo?
Nashukuru angalau kwa kuelewa. Tatizo ni, kwanini anatumia uwingi badala ya umoja (tulipo... badala ya nilipo..., tukakusameheni badala ya nikakusameheni, nk)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru angalau kwa kuelewa. Tatizo ni, kwanini anatumia uwingi badala ya umoja (tulipo... badala ya nilipo..., tukakusameheni badala ya nikakusameheni, nk)

Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda uelewe kuwa katika lugha ya Kiarabu kuna uwingi (plural) wa heshima.

Kingereza pia kina "majestic plural", utaona utaona Malkia wa Kingereza akitoa " decree" huandikwa, We the Queen..., na Malkia ni mmoja tu.

Hata sisi Waswahili tuna uwingi wa heshima, mfano tunasema "tunakutakia kila la heri na mafanikio" na ni mara uchache sana kuona "ninakutakia...".

Huo uwingi ndiyo utamu wa lugha na pia ni lugha inayopunguza ukali wa maneno.

Umenikumbusha kisa cha kuchekesha kuhusu uwingi, Sheikh alipowafundisha wanafunzi wake kuhusu hilo na wakalishika somo barabara.

Ukipenda kukifahamu nijulishe tu.
 
FaizaFoxy wakati mwingine unafunguka vizuri kweli nimeangalia hata baadhi ya nyuzi hapo juu, hebu endelea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika somo la Historia ambalo naamini hata wewe ulifundishwa hapo zamani, tulifundishwa kwamba sisi binAdam tulitokana na sokwe kitu ambacho si kweli. Kwa maoni yako, lengo la kufundisha uongo huo ulikuwa ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy wakati mwingine unafunguka vizuri kweli nimeangalia hata baadhi ya nyuzi hapo juu, hebu endelea!

Sent using Jamii Forums mobile app
...Baada ya darsa la Sheikh wanafunzi wakashika somo la "uwingi wa heshima na kupunguza ukali wa maneno" Ikiwa ndiyo lugha yao...

Wakisema kitu, mfano mtu akitaka nauli kwa mwenzake atamwambia "tunaomba tupatie nauli", na yupo peke yake. Badala ya nitakuja ikawa " tutakuja" na kama hivyo.

Mambo yakaendelea muda mrefu, siku moja rafiki mmoja kamtembelea mwenzake nyumbani akamkuta hayupo, hakuingia ndani akaondoka...

Mbele kidogo kakutana na mwenzake, baada ya kusalimiana akamuuliza, naona tunatokea njia hii,ajabu leo" akamjibu, nilipitia pale kwetu nikamkuta mke wetu". Rafiki yake akamwambia, hapo hapo! hakuna kitu kama mke wetu! Mke ni wangu tu.
 
Katika somo la Historia ambalo naamini hata wewe ulifundishwa hapo zamani, tulifundishwa kwamba sisi binAdam tulitokana na sokwe kitu ambacho si kweli. Kwa maoni yako, lengo la kufundisha uongo huo ulikuwa ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni nadharia "theory" tu na haina ushahidi wa kisayansi (scientific proof).

Hata mimi nashangaa kwanini hilo limekuwa somo lakini wanazuoni wakubwa wanaamini hilo lililetwa makusudi kupinga dini.
 
...Baada ya darsa la Sheikh wanafunzi wakashika somo la "uwingi wa heshima na kupunguza ukali wa maneno" Ikiwa ndiyo lugha yao...

Wakisema kitu, mfano mtu akitaka nauli kwa mwenzake atamwambia "tunaomba tupatie nauli", na yupo peke yake. Badala ya nitakuja ikawa " tutakuja" na kama hivyo.

Mambo yakaendelea muda mrefu, siku moja rafiki mmoja kamtembelea mwenzako nyumbani akamkuta hayupo,hakuinhia ndani akaondoka...

Mbele kidogo kakutana na mwenzake, baada ya kusalimiana akamuuliza, naona tunatokea njia hii,ajabu leo" akamjib, nilipitia pale kwetu nikamkuta mke wetu". Rafiki yake akamwambia, hapo hapo! hakuna kitu kama mke wetu! Mke ni wangu tu.
Hii FaizaFoxy hata mimi sikubali hata kama ni utani, aseme "mke wetu" hajambo! Juzi tu Mkuranga mtu alipigwa ngumi kutokana na usemi huo na baada ya kugundua alikuwa na niya mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ukristo hautumiwi

Hujasikia wachungaji walioshikwa na madawa ya kulevya?
Wachungaji walioshikwa na vipande vya albino?
Mapadri na maaskofu wanavyolawitiwa na kuharibu watoto wadogo?

Huko ndiyo mabalaa yote yalipojificha.
 
Mimi nnawaalika sana Wakristo nyumbani kwangu na nna marafiki wengi sana Wakristo kuliko unavyofikiria na wengi wengineo wanakuja kwangu bila mualiko, ni kama kwao tu.

Nnawaandalia vyakula si tu wakati wa "kwaresma" bali siku yoyote ile.

Kwanini nikuwekee sumu, umeshasikia wangapi wamekufa kwa sumu kwa ajili wameenda kula kwa Muislam?

Futa hayo mawazo ya kijinga.

Napenda uelewe kuwa wakati wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam, Waislam waliamrishwa na mtume wa "immigrate" kwenda Habashi na huko ilikuwa ni nchi Kikristo na Mfalme Mkristo aliwapokea na walipomueleza walipotoka akawauliza maswali walivyomjibu, akawaambia, naam, huyo kweli ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu na akawakaribisha vizuri sana.

Ukipenda kisome kisa hicho hapa: Migration to Abyssinia - Wikipedia
Kwenye post ya Inayat umesema wakristo wanafaa kuchinjwa

Mbona unakinzana na mitazamo yako
 
Majinni ni viumbe vya Allah kama ilivyo wewe na mimi.

Kuna Majinni Waislam na kuna Majinni Wakristo na kuna Majinni yasiyoamini.

Hakuna uhusiano wote zaidi ya kulitambua hilo.

Kuhusu majina, si kigezo kizuri kwani mie nnamfahamu kijana mmoja anaitwa Abdallah lakini si Muislam. Ni maarufu sana katika kanisa la Wasabato hapo Dar.
Kwenye uzi wa Inayat umesema tangu lini mkristo akaitwa Juma Au Abdallah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kumbe hata wewe unajivuruga mno

Mwaka huu unasahau uliyoandika 2016
 
Back
Top Bottom