Nashkuru kwa majibu yako. Ila hapo hapo huwa napata headache kujiuliza baadhi ya ma's ala, kwa mfano bunge linapokaa na kujadili sheria ya mwizi afungwe mda fulan, au muuaji afungwe kifungo cha maisha. Mungu atupe ufaham mkubwa WA kujuwa mambo na kuwafunza na wengine.Asili ya neno "democracy" ni Kiyunani. "Demos" = The People, "Kratia" power, rule.
Sijasoma na kumsikia huyo Sheikh kwa hiyo siwezzi comment kuhusu huyo Sheikh, kwa mtazamo wangu sioni ubaya wowote wa democracy kama haikuzuwii kuabudu kwa imani yako.
samahani FaizaFoxy kama nitakalouliza limeshawahi kuulizwa:
1. Jini au Majini ni nini?
2. Je, kuna aina ngapi za Majini?
3. Je, kuna uhusiano gani wa Jini au Majini na dini ya Uislamu?
Nashkuru kwa majibu yako. Ila hapo hapo huwa napata headache kujiuliza baadhi ya ma's ala, kwa mfano bunge linapokaa na kujadili sheria ya mwizi afungwe mda fulan, au muuaji afungwe kifungo cha maisha. Mungu atupe ufaham mkubwa WA kujuwa mambo na kuwafunza na wengine.
AminAmiiin.
Mabunge ya kibinadam yasiyo na sheria alizotupa Mwenyeezi Mungu hayatakosa kuwa na mapungufu.
Allah ameshatupa sheria zote lakini hatutaki kuzifata kwa kuwa binaadam anajiona yeye ni bora kuliko aliyemuumba.
Allah atuepushe na kibri hicho na atujaaliye tuwe wenye kumfata yeye na tuliopotea wote atuongoe, atutowe kizani na kututia kwenye nuru.
kwanini una kiburi sana???
unaweza kunihakikishia pasipo shaka kuwa wewe ni mwanamke na si mwanaume!!!!??
majibu yako na tone ya maandishi yanatia shaka juu ya uanamke wako!!
karibu.......
allahh, kumbe unataka kujibu mtazamo wa nani???Sasa mtazamo wako mimi niujibie?
Majanga!
kasomea ujinga huyuKwenue mada umetaka uulizwa chochote, hapo hapo umekuja na update mbili za kutaka usiulizwe chochote.
Ivi kweli una elimu ya chuo kikuu kabisa?!
Democracy haifai ktk uislamu, khilafah ndio ndio mfumo bora kabisa ambao binadamu tunatakiwa tuishiAsili ya neno "democracy" ni Kiyunani. "Demos" = The People, "Kratia" power, rule.
Sijasoma na kumsikia huyo Sheikh kwa hiyo siwezzi comment kuhusu huyo Sheikh, kwa mtazamo wangu sioni ubaya wowote wa democracy kama haikuzuwii kuabudu kwa imani yako.
Democracy haifai ktk uislamu, khilafah ndio ndio mfumo bora kabisa ambao binadamu tunatakiwa tuishi
[emoji15] [emoji2] [emoji2]Naomba unisaidie kuhusu ufugaji wa nguruwe na masoko yake
Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.Nukuu, kama u mkweli.
wewe ni mwanamke au mwanaume?Hapa nnajibu maswali sijibu mitazamo. Kumbuka hilo.