napenda sana kiswahili chako na unavyowasaidia ndugu zetu wa kanda ya ziwa na kuwasahihisha wanapofanya makosa hasa ya R na L, je una asili ya Pwani (Tanga,Dar, Pwani) ?.
Heee mbona kifimbo cheza vile mi nilihisi utakuwa una fani za arts aisee hukusomea ujinga I like I.Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in (Tele)communications (Canada, 1982).
Huyo dada muislam ? Mona majina yake sio?Hapana, si mimi, huyo ni Lisa Valentine na nimempenda sana msimamo wake nilipokisoma kisa chake, jisomee:
Judge Throws Muslim Woman In Jail For Refusing To Remove Headscarf In Court
In the past eight days, a judge in Georgia has sparked controversy after barring two Muslim women wearing Islamic headscarves from entering his courtroom, and landing one of them behind bars. Now, he has prompted an inquiry from the civil rights officer at the U.S. Department of Justice.
Judge Keith Rollins of Douglasville, Georgia reportedly ordered 41-year-old Lisa Valentine to jail after she refused to remove her scarf before entering the courtroom. Judge Rollins pointed to rules that governed appropriate dress as listed by the state.
This is not the first time Rollins had made the controversial call. Last week, Sabreen Abdulrahmaan was forced to leave his court before her son’s probation hearing because she would not remove her scarf.
Valentine was handcuffed by security and sentenced to 10 days in jail when she declined to defend her actions at the security checkpoint, her husband Omar Hall reports.
“It’s an issue of religious freedom,” Ibrahim Hooper, a spokesman for the Council on American-Islamic Relations old reports. “It’s an issue of access to the American legal system.”
Soma zaidi: Judge Throws Muslim Woman In Jail For Refusing To Remove Headscarf In Court - World Politicus
A,aleukoum,nauliza mama,nilioa,baadae mke akadai talaka,nikamwambia afuate utaratibu,yaani aikomboe talak,nikampa,sasa anadai turudiane,alishawishiwa tu,kidini inawezekana kurudiana?
Amini Makonda anachukia waislam.na anajiita mungu sasa why unamtetea mtu kama huyu mind you huyu anaweza mbele Ugala kuliko anything including kuchukia waislam kama.weweWanapofanya vyema ni haki yao kuwasifia na wasipofanya vyema ni haki yao pia kuwa "criticize", haijalishi ni nani, awe au asiwe "mgala".
Kajirutaluka
Niliiona "argument" yako kuhusu talaka. Labda niongee Kiswahili; Mwanamke anaweza kumuacha mumewe Kiislam.
Nnakuomba urudie kusoma kuhusu "khulah" na "isma".
Pia sikiliza hii:
Kajirutaluka
Niliiona "argument" yako kuhusu talaka. Labda niongee Kiswahili; Mwanamke anaweza kumuacha mumewe Kiislam.
Nnakuomba urudie kusoma kuhusu "khulah" na "isma".
Pia sikiliza hii:
Amini Makonda anachukia waislam.na anajiita mungu sasa why unamtetea mtu kama huyu mind you huyu anaweza mbele Ugala kuliko anything including kuchukia waislam kama.wewe
You lose.Nafikiri tuishie hapa hayana faida kwa hadhira. Muhimu ni kuonyesha mahaasinil islaam kwa wengine
Kama una Akili timamu, na unajielewa/unaejielewa.Uliza swali lolote, swali lolote...si ndio uzi ulivyo..[emoji47] [emoji15] mama yako alibikiriwa lini, jee unaye muuliza karuhusu umuulize swali lolote [emoji47] [emoji351] kwa nini unamtukana...[emoji47] wewe malezi uliyo lelewa sio mema..
Safi sana.Naomba niwie radhi bi mkubwa, mara nyingi nimekuwa nikikuchukulia kama msichana tu, hata maswali nilouliza sikujua namuuliza nani, nimeona kwenye moja ya comments zako kuwa kwa sasa uko unalea wajukuu, kwa kweli nimejisikia vibaya sana kwa swali moja nilokuuliza ambalo halikustahili, naomba radhi yako.
HakikaAsante Madam Faiza kwa ushauri na mahusia yako mujarabu, binafsi nimekuelewa kwa maana umenipa majibu zaidi ya niliyo yategemea, naamini pia huu ushauri utawasaidia wengi.
God bless you Madam.
Nafikiri hapa mnashindwa kuelewa.Huu uzi umefika mbaaali na nimeshindwa kutafuta swali langu kwa namba ili unijibu kwakuwa mpaka sasa hujajibu; naomba unipe majibu/maelezo:
Kuna quote uliiweka kutoka Qur'an 43, inasema, ".....sisi tulikuumbeni........"
1. Walioumba ni akina nani na walikuwa wangapi?
2. Kwa mujibu wa wewe, Mungu ndio aliotoa maandiko hayo, je, Mungu ana nafsi?
Sina la Kuongeza, sina cha nyongeza.1) Hiyo katika Kiarabu na Kingereza huitwa uwingi wa heshima au uwingi wa utukufu. Malkia wa Uingereza anatumia, We the queen of England, na yupo mmoja tu.
Ni utamu wa lugha, tena nnakushauri uwache u mimi, mimi, mimi, ni kujikweza na ubinafsi hata kwa Kiswahili, kujirudisha ni sisi, sisi, sisi.
2) Naam ni wahyi kutoka kwa Allah.
Nafsi zote ni za Mwenyeezi Mungu ndiye aliyeziumba.
1. Kukusikia na kukuonaKabla ya "appointment" ningepeda kujuwa sababu zako za kutaka kuonana na mimi.