Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

napenda sana kiswahili chako na unavyowasaidia ndugu zetu wa kanda ya ziwa na kuwasahihisha wanapofanya makosa hasa ya R na L, je una asili ya Pwani (Tanga,Dar, Pwani) ?.


Mimi nna asili ya Pwani, tena pwani kweli kweli kwa maana ya karibu ya bahari na si Mkoa wa pwani tu.

Kwetu Pwani, Mkuranga, Shungubweni baharini.
 
Hapana, si mimi, huyo ni Lisa Valentine na nimempenda sana msimamo wake nilipokisoma kisa chake, jisomee:

Judge Throws Muslim Woman In Jail For Refusing To Remove Headscarf In Court
In the past eight days, a judge in Georgia has sparked controversy after barring two Muslim women wearing Islamic headscarves from entering his courtroom, and landing one of them behind bars. Now, he has prompted an inquiry from the civil rights officer at the U.S. Department of Justice.

Judge Keith Rollins of Douglasville, Georgia reportedly ordered 41-year-old Lisa Valentine to jail after she refused to remove her scarf before entering the courtroom. Judge Rollins pointed to rules that governed appropriate dress as listed by the state.

This is not the first time Rollins had made the controversial call. Last week, Sabreen Abdulrahmaan was forced to leave his court before her son’s probation hearing because she would not remove her scarf.

Valentine was handcuffed by security and sentenced to 10 days in jail when she declined to defend her actions at the security checkpoint, her husband Omar Hall reports.

“It’s an issue of religious freedom,” Ibrahim Hooper, a spokesman for the Council on American-Islamic Relations old reports. “It’s an issue of access to the American legal system.”

Soma zaidi: Judge Throws Muslim Woman In Jail For Refusing To Remove Headscarf In Court - World Politicus
Huyo dada muislam ? Mona majina yake sio?
A,aleukoum,nauliza mama,nilioa,baadae mke akadai talaka,nikamwambia afuate utaratibu,yaani aikomboe talak,nikampa,sasa anadai turudiane,alishawishiwa tu,kidini inawezekana kurudiana?
 
Wanapofanya vyema ni haki yao kuwasifia na wasipofanya vyema ni haki yao pia kuwa "criticize", haijalishi ni nani, awe au asiwe "mgala".
Amini Makonda anachukia waislam.na anajiita mungu sasa why unamtetea mtu kama huyu mind you huyu anaweza mbele Ugala kuliko anything including kuchukia waislam kama.wewe
 
Hii ni special case and a rare event
Kuna ujumbe numekutumia inbox
Kajirutaluka

Niliiona "argument" yako kuhusu talaka. Labda niongee Kiswahili; Mwanamke anaweza kumuacha mumewe Kiislam.

Nnakuomba urudie kusoma kuhusu "khulah" na "isma".

Pia sikiliza hii:



Kajirutaluka

Niliiona "argument" yako kuhusu talaka. Labda niongee Kiswahili; Mwanamke anaweza kumuacha mumewe Kiislam.

Nnakuomba urudie kusoma kuhusu "khulah" na "isma".

Pia sikiliza hii:

 
Amini Makonda anachukia waislam.na anajiita mungu sasa why unamtetea mtu kama huyu mind you huyu anaweza mbele Ugala kuliko anything including kuchukia waislam kama.wewe

Siwezi kuamini hilo la Makonda katika kuchukia Waislam kwani sijaliona.

Alichosema simply kunamaanisha anaposimama yeye na Mungu yupo nae, hakumaanisha kuwa yeye ni "Mungu".

On the other hand, wewe umekuwa fataani kwa hilo la Makonda, kwanini?
 
ni halali kumjua mpenzi wako kabla ya ndoa?
kama jibu ni ndiyo nipe haya na sura.
kama ni siyo niambie nikimkuta na mbili nifanyeje?
 
Uliza swali lolote, swali lolote...si ndio uzi ulivyo..[emoji47] [emoji15] mama yako alibikiriwa lini, jee unaye muuliza karuhusu umuulize swali lolote [emoji47] [emoji351] kwa nini unamtukana...[emoji47] wewe malezi uliyo lelewa sio mema..
Kama una Akili timamu, na unajielewa/unaejielewa.

Pamoja ya kuwa umepewa Uhuru wa kuuliza Swali lolote.

Kuna baadhi ya Maswali wewe mwenyewe binafsi huwezi kuuliza.

Sio kwamba umezuiliwa,

Jibu ni kwamba huwezi kufikiria kuuliza Swali kama hilo
 
Naomba niwie radhi bi mkubwa, mara nyingi nimekuwa nikikuchukulia kama msichana tu, hata maswali nilouliza sikujua namuuliza nani, nimeona kwenye moja ya comments zako kuwa kwa sasa uko unalea wajukuu, kwa kweli nimejisikia vibaya sana kwa swali moja nilokuuliza ambalo halikustahili, naomba radhi yako.
Safi sana.

Kama hilo Swali ulilouliza lipo, na kama ulivyosema "unajisikia vibaya"

Basi nakuomba ulifute, ili uwe na Amani zaidi.

Kawaida sisi Binaadam kuteleza, na kisha kujirudi.

Ubarikiwe sana
 
Asante Madam Faiza kwa ushauri na mahusia yako mujarabu, binafsi nimekuelewa kwa maana umenipa majibu zaidi ya niliyo yategemea, naamini pia huu ushauri utawasaidia wengi.

God bless you Madam.
Hakika
 
Huu uzi umefika mbaaali na nimeshindwa kutafuta swali langu kwa namba ili unijibu kwakuwa mpaka sasa hujajibu; naomba unipe majibu/maelezo:

Kuna quote uliiweka kutoka Qur'an 43, inasema, ".....sisi tulikuumbeni........"

1. Walioumba ni akina nani na walikuwa wangapi?
2. Kwa mujibu wa wewe, Mungu ndio aliotoa maandiko hayo, je, Mungu ana nafsi?
Nafikiri hapa mnashindwa kuelewa.

Hizi ni Lugha tu.

Hiyo isikutishe, ni Lugha tu kama wanazotumia Viongozi, hasa Marais.

Mfano, Rais anaposema,

"Kesho tutaitisha Kikao, au kadha wa kadha"

Haina maana kwamba kuna Marais Watano, hapana. Ni Rais yule yule mmoja, na hii yote ni kutokuonesha Ubinafsi.

Kwahiyo hali kadhalika kwa Mwenyezi Mungu ni hivyo hivyo kwa sisi WAISLAM.

Mwenyezi Mungu anapotumia Sisi kwa Muislam mwenye Imani hawezi kuwa na shaka hata kidogo, kama kuna Mungu mwingine zaidi ya Allah, kwakuwa tunamwamini Mungu mmoja ambae ni Allah.

Mwenyezi Mungu Mmoja yeye ndie alieishusha/ameishusha QUR'AAN lakini hakuonesha Ubinafsi.

Hebu angalia mfano hai,

INNAA ANZALNAAHU QUR'AANAN ARABIYYA, ikiwa na maana:-

Hakika SISI tumeiteremsha QUR'AAN ya/kwa Kiarabu.

Hapo haina maana QUR'AAN imetereshwa na Miungu wawili, watatu, watano, Hapana.

Ni lugha tu.

Kuna Aya nyingi kwenye QUR'AAN Mwenyezi Mungu ametumia wingi, Kwahiyo usistuke
 
1) Hiyo katika Kiarabu na Kingereza huitwa uwingi wa heshima au uwingi wa utukufu. Malkia wa Uingereza anatumia, We the queen of England, na yupo mmoja tu.

Ni utamu wa lugha, tena nnakushauri uwache u mimi, mimi, mimi, ni kujikweza na ubinafsi hata kwa Kiswahili, kujirudisha ni sisi, sisi, sisi.

2) Naam ni wahyi kutoka kwa Allah.

Nafsi zote ni za Mwenyeezi Mungu ndiye aliyeziumba.
Sina la Kuongeza, sina cha nyongeza.

Umemaliza.

InshaAllah.

Kesho nitaanzia hapa na kuendelea na Safari yangu
 
Kabla ya "appointment" ningepeda kujuwa sababu zako za kutaka kuonana na mimi.
1. Kukusikia na kukuona
2. Kutaka kujua siri ya wewe kujua mambo na uwezo wako wa kujibu maswali bila kuhamaki na ku-panic
3. Kuna tetesi wewe ni MTU mkubwa Sana hapa TZ kwa maana ya wadhifa kitaifa ( sina ushahidi)
4. Kukuskia kwa maskio yangu ukiongelea juu ya serikali ya JPM. Juu ya uchumi wake baada ya miaka minne iliyobaki.
5. Ushauri wako juu ya maswala la kitechnolojia, kwann swala la internet likua ishu TZ wakati ilipaswa kuwa compulsory ili kusaidia ujuzi wa ziada katika kazi na Elimu. Nini kifanyike?
 
Back
Top Bottom