Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. T'A SIN MIM, (T'.S.M.)
2. Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha.

sijakataa kwamba [emoji117] ashki majununi [emoji38]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Heshima kitu cha bure.

Ndio ni ujinga.

Iwapo utauliza ujinga
wee ogelea kwenye Uzi labda kama umejiajiri/ff kakuajiri uwe mc wake [emoji4] umebakia heshima, heshima, ujinga ujinga...watu wengine wanasalimiana kwa kujamba [emoji117] mbuuuu [emoji120] [emoji58] [emoji117] ndiii [emoji4] [emoji120] [emoji122] [emoji122] kwenu wanavunjiana hishima kwao ni hishima [emoji4] hapa stori dogo kula nyumbani[emoji21]
 
Pamojaa na taaluma hizo zote unazojivunia nazo mbona ukipimwa unaoneka kama boya flani, elimu uliyoipata haijakusaidia.
Au ni sawa na wale wanaoitwa maDr. ila ukilinganisha rational-thinking yao na output(michango) yao kwa jamii ni bora hata yule asiye Dr.
Chuki za makafiri ni kubwa sana juu ya waislam,hivo ishini nao kwa akili.Nmekufuatilia sana nmegundua unasumbuliwa na chuki
 
wee ogelea kwenye Uzi labda kama umejiajiri/ff kakuajiri uwe mc wake [emoji4] umebakia heshima, heshima, ujinga ujinga...watu wengine wanasalimiana kwa kujamba [emoji117] mbuuuu [emoji120] [emoji58] [emoji117] ndiii [emoji4] [emoji120] [emoji122] [emoji122] kwenu wanavunjiana hishima kwao ni hishima [emoji4] hapa stori dogo kula nyumbani[emoji21]

Qur'an 28:
4. Hakika Firauni alitakabari katika nchi, na akawagawa wananchi makundi mbali mbali. Akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake. Hakika yeye alikuwa katika mafisadi.
 
Naomba unijibu swali hili/ maswali haya vizuri..... ni hivi according to history tunasimuliwa kwamba Muhammad alikuwepo miaka ya 1500 iliyopita na Yesu miaka 2000 iliyopita.. lakini mpaka kwenye miaka 1000 na 1800 Africa tulikuwa hatuwajui hawa watu na tulikuwa tukiishi kwa kufuata mila zetu... na kuna babu na bibi zetu walizaliwa na kufa kati ya miaka hiyo ile hali hawajawahi kutamka shahada.... kwanin Muhammad na Yesu hawajawahi kufanya ziara ya nchi nzima kufikisha ujumbe wa Allah?? Mpaka pale imeshakuwa too late... nafikir unanielewa nikisema ni too late... kwani Muhammad hawezi kuja kwa ajili ya umma wote miaka hiyo alafu ujumbe wake utufikie 1000 years later tena pasipo yeye mwenyewe. Je nini hukumu ya wale walioshi katika karne ya 7 mpaka karne ya 17 wakiwa hawaujui msikiti? Hawamjui Mungu wa kweli na walikukwa wanafanya shirki... je ina maana watu hawa wote wataenda peponi kwa vile walikuwa hawajafikishiwa meseji so zambi zao zote sio valid?? Kama watu hao waliishi tu bila kufuata mila za waarabu, je kuna uspecial gani kwa sisi wa karne hii??? (Kuna jibu hili huwa siriziki nalo, kwamba Mungu huwaadhibu watu wale aliowafikishia ujumbe wake, kama hili ndio jibu lenye mantiki basi nitakuwa simuelewi Mungu.... anawezaje kuwaacha watu waendelee kufanya zambi wa upande mmoja wakati alishazikemea upande mwengine na hii inaleta contradiction). Unafikir kama sio njaa za waarabu na wazungu.. zilizowasukumia kuja Africa kutafuta mali ghafi... je kungekuwa na hizi dini kwa utitiri kiasi hiki? Vile vile ni kwanin waislamu walikuwa hawaweki msisitizo kwenye Elimu ya circular miaka ya nyuma tofauti na hivi sasa..ambayo imepelekwa waislamu wasomi hasa hasa Tanzania kuwa wachache tukilinganisha na idadi yao???

Maswali yako ni mazuri sana sema umeyachanganya bila para, haidhuru, ntajaribu kuyahighlight nnayoyajibu ili twende sambamba:

Kwanza tuanze na la Yesu alayhi salaam.

Hujasema kweli. Biblia inatufundisha kuwa Yesu aliwahi kuishi Afrika:

Mathayo 2:
13 Walipokuwa wamekwisha kuondoka, tazama! malaika wa Yehova+ akamtokea Yosefu katika ndoto, akisema: “Simama, mchukue huyo mtoto mchanga na mama yake mkimbie kuingia Misri, mkae huko mpaka nikupe agizo; kwa maana Herode yuko karibu kumtafuta huyo mtoto amwangamize.” 14 Kwa hiyo akasimama na kuchukua pamoja naye mtoto huyo mchanga na mama yake wakati wa usiku, akaondoka na kuingia Misri, 15 naye akakaa huko mpaka kufa kwa Herode, ili litimizwe+ lile lililosemwa na Yehova kupitia nabii wake, akisema: “Kutoka Misri+ nilimwita mwanangu.”

Jee, bado unaamini kuwa Yesu hakujulikana Afrika alipokuwa hai? Ukijibu hili tutaendelea na mengine.
 
Qur'an 28:
4. Hakika Firauni alitakabari katika nchi, na akawagawa wananchi makundi mbali mbali. Akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake. Hakika yeye alikuwa katika mafisadi.
mudi na allah wana tofafauti gani kwa ushahidi huu?¿ au hapo ni sherehe ya kisamvu cha kopo...hhhhhhhh....
Cutting-Fingertips.jpg
allah, firaun, mudi woote mama mmoja ilaha baba tofauti...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mudi na allah wana tofafauti gani kwa ushahidi huu?¿ au hapo ni sherehe ya kisamvu cha kopo...hhhhhhhh....View attachment 442272 allah, firaun, mudi woote mama mmoja ilaha baba tofauti...
Qur'an 28:
5. Na tukataka kuwafadhili walio dhoofishwa katika nchi hiyo na kuwafanya wawe waongozi na kuwafanya ni warithi.
 
Ni haramu binti wakiislam kuolewa na mkristo, ila binti anaweza olewa na muislam.
Ni haram kwa binti ninayependana naye na tuliyeridhiana? Na zaidi mama yake ananikubali pia kama mkwe.

Nani amesema ni haram?
 
Daah...huu uzi umefika mbali sanaa

Halafu FF hujajibu swali langu kuhusu kaka yangu mwenye kasumba na binti wa kiislamu wanaopendana sana.
 
Maswali yako ni mazuri sana sema umeyachanganya bila para, haidhuru, ntajaribu kuyahighlight nnayoyajibu ili twende sambamba:

Kwanza tuanze na la Yesu alayhi salaam.

Hujasema kweli. Biblia inatufundisha kuwa Yesu aliwahi kuishi Afrika:

Mathayo 2:
13 Walipokuwa wamekwisha kuondoka, tazama! malaika wa Yehova+ akamtokea Yosefu katika ndoto, akisema: “Simama, mchukue huyo mtoto mchanga na mama yake mkimbie kuingia Misri, mkae huko mpaka nikupe agizo; kwa maana Herode yuko karibu kumtafuta huyo mtoto amwangamize.” 14 Kwa hiyo akasimama na kuchukua pamoja naye mtoto huyo mchanga na mama yake wakati wa usiku, akaondoka na kuingia Misri, 15 naye akakaa huko mpaka kufa kwa Herode, ili litimizwe+ lile lililosemwa na Yehova kupitia nabii wake, akisema: “Kutoka Misri+ nilimwita mwanangu.”

Jee, bado unaamini kuwa Yesu hakujulikana Afrika alipokuwa hai? Ukijibu hili tutaendelea na mengine.

Sizungumzii africa from that angle.... nafahamu kuna ukaribu mkubwa sana kati ya misri na middle east countries... ni basi tu lakini hata misri tunaweza kuiweka kwenye middle east countries. Mim naizungumzia africa kwa mapana yake. Ye yesu kufika misri ilikuwa na faida gani kwa wale tuliokuwa southern africa???
 
Angelifika Uganda, pia ungesema "mbona hakufika 'Tanganyika' na angefika mpaka Tabora pia ungesena "mbona hakufika Dar?" Logically speaking, ni kuwa alifika Africa, haijalishi ni sehemu gani ya Africa, hata huko Mashariki ya Kati hakuenda sehemu zote.
 
malibainishast: 18726922 said:
Chuki za makafiri ni kubwa sana juu ya waislam,hivo ishini nao kwa akili.Nmekufuatilia sana nmegundua unasumbuliwa na chuki
Muhammad alibainisha!; sala yako haikubaliki akipita mbwa mweusi au mwanamke! hata nguruwe akipita ni Tbs lakini mwanamke au mbwa...kwa nini darja moja na mbwa? kunani mudi kusumbuliwa na chuki kihivyo?¿ chuki ya muham'mad kwa wanawake ambao bila wao asingefika popote!; ref; yule khadija kwa upendo hadi kamlipia mahari...
 
Angelifika Uganda, pia ungesema "mbona hakufika 'Tanganyika' na angefika mpaka Tabora pia ungesena "mbona hakufika Dar?" Logically speaking, ni kuwa alifika Africa, haijalishi ni sehemu gani ya Africa, hata huko Mashariki ya Kati hakuenda sehemu zote.
Nenda kwenye swali langu la msingi [HASHTAG]#1492[/HASHTAG]... faizafoxy amejaribu kuhilight hapo... hila lipo swali langu la msingi na uache kudandia treni kwa mbele.... na kama unaweza jibu hayo maswali na uache siasa.
Angelifika Uganda, pia ungesema "mbona hakufika 'Tanganyika' na angefika mpaka Tabora pia ungesena "mbona hakufika Dar?" Logically speaking, ni kuwa alifika Africa, haijalishi ni sehemu gani ya Africa, hata huko Mashariki ya Kati hakuenda sehemu zote.
 
Ni haramu binti wakiislam kuolewa na mkristo, ila binti anaweza olewa na muislam.
mwanamke hana deen!; mmewe kama muuza bange bibie msokota rizla, mume kama muuza Congo bibie mpima mzinga IMA glass..haram ndio nini?
 
Ni haram kwa binti ninayependana naye na tuliyeridhiana? Na zaidi mama yake ananikubali pia kama mkwe.

Nani amesema ni haram?
Kila dini ina misingi yake kaka,haijarishi kama mama yake anakwita mkwe au la,kama mwislamu atafuata mafundisho ya kiislamu. Kumbuka pia wakristo hamruhusiwi kuoa/kuolewa na mwislamu,hivyo dini zote zina mipangilio yake.
Ni haram kwa binti ninayependana naye na tuliyeridhiana? Na zaidi mama yake ananikubali pia kama mkwe.

Nani amesema ni haram?
Kila dini ina misingi yake kaka,haijarishi kama mama yake anakwita mkwe au la,kama mwislamu atafuata mafundisho ya kiislamu. Kumbuka pia wakristo hamruhusiwi kuoa/kuolewa na mwislamu,hivyo dini zote zina mipangilio yake.angalia,

2corinthians 6:14 " Msiambatane na watu wasioamini. Je, wema na uovu vyapatana kweli? Mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?".
 
Sizungumzii africa from that angle.... nafahamu kuna ukaribu mkubwa sana kati ya misri na middle east countries... ni basi tu lakini hata misri tunaweza kuiweka kwenye middle east countries. Mim naizungumzia africa kwa mapana yake. Ye yesu kufika misri ilikuwa na faida gani kwa wale tuliokuwa southern africa???

Hahahaha

Kwanza uliitaja Afrika, hukutaja "angle", baada ya kukupa darsa kuwa Yesu alifika Afrika sasa umeruka Kimanga na kuanza mambo ya "angle".

Sasa ili twende sambamba, kajibu swali nililokuuliza, wacha papara.
 
Back
Top Bottom