Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu rejea kwenye post yangu ya awali... pale ulipohighlight na red ndio umetengeneza hili swali??? Nimeandika nchi na si africa lakini nilikuwa na maana hawakudhuru dunia nzima na sio nchi.... mimi sijaandika uniulize maswali... mimi ndio nahitaji majibu kutoka kwako usibadili maudhui ya uzi wako. Twende kazi mama. La sivyo uniambie maswali ni magumu...Hahahaha
Kwanza uliitaja Afrika, hukutaja "angle", baada ya kukupa darsa kuwa Yesu alifika Afrika sasa umeruka Kimanga na kuanza mambo ya "angle".
Sasa ili twende sambamba, kajibu swali nililokuuliza, wacha papara.
circular= secularNaomba unijibu swali hili/ maswali haya vizuri..... ni hivi according to history tunasimuliwa kwamba Muhammad alikuwepo miaka ya 1500 iliyopita na Yesu miaka 2000 iliyopita.. lakini mpaka kwenye miaka 1000 na 1800 Africa tulikuwa hatuwajui hawa watu na tulikuwa tukiishi kwa kufuata mila zetu... na kuna babu na bibi zetu walizaliwa na kufa kati ya miaka hiyo ile hali hawajawahi kutamka shahada.... kwanin Muhammad na Yesu hawajawahi kufanya ziara ya nchi nzima kufikisha ujumbe wa Allah?? Mpaka pale imeshakuwa too late... nafikir unanielewa nikisema ni too late... kwani Muhammad hawezi kuja kwa ajili ya umma wote miaka hiyo alafu ujumbe wake utufikie 1000 years later tena pasipo yeye mwenyewe. Je nini hukumu ya wale walioshi katika karne ya 7 mpaka karne ya 17 wakiwa hawaujui msikiti? Hawamjui Mungu wa kweli na walikukwa wanafanya shirki... je ina maana watu hawa wote wataenda peponi kwa vile walikuwa hawajafikishiwa meseji so zambi zao zote sio valid?? Kama watu hao waliishi tu bila kufuata mila za waarabu, je kuna uspecial gani kwa sisi wa karne hii??? (Kuna jibu hili huwa siriziki nalo, kwamba Mungu huwaadhibu watu wale aliowafikishia ujumbe wake, kama hili ndio jibu lenye mantiki basi nitakuwa simuelewi Mungu.... anawezaje kuwaacha watu waendelee kufanya zambi wa upande mmoja wakati alishazikemea upande mwengine na hii inaleta contradiction). Unafikir kama sio njaa za waarabu na wazungu.. zilizowasukumia kuja Africa kutafuta mali ghafi... je kungekuwa na hizi dini kwa utitiri kiasi hiki? Vile vile ni kwanin waislamu walikuwa hawaweki msisitizo kwenye Elimu ya circular miaka ya nyuma tofauti na hivi sasa..ambayo imepelekwa waislamu wasomi hasa hasa Tanzania kuwa wachache tukilinganisha na idadi yao???
Naomba unijibu swali hili/ maswali haya vizuri..... ni hivi according to history tunasimuliwa kwamba Muhammad alikuwepo miaka ya 1500 iliyopita na Yesu miaka 2000 iliyopita.. lakini mpaka kwenye miaka 1000 na 1800 Africa tulikuwa hatuwajui hawa watu na tulikuwa tukiishi kwa kufuata mila zetu... na kuna babu na bibi zetu walizaliwa na kufa kati ya miaka hiyo ile hali hawajawahi kutamka shahada.... kwanin Muhammad na Yesu hawajawahi kufanya ziara ya nchi nzima kufikisha ujumbe wa Allah?? Mpaka pale imeshakuwa too late... nafikir unanielewa nikisema ni too late... kwani Muhammad hawezi kuja kwa ajili ya umma wote miaka hiyo alafu ujumbe wake utufikie 1000 years later tena pasipo yeye mwenyewe. Je nini hukumu ya wale walioshi katika karne ya 7 mpaka karne ya 17 wakiwa hawaujui msikiti? Hawamjui Mungu wa kweli na walikukwa wanafanya shirki... je ina maana watu hawa wote wataenda peponi kwa vile walikuwa hawajafikishiwa meseji so zambi zao zote sio valid?? Kama watu hao waliishi tu bila kufuata mila za waarabu, je kuna uspecial gani kwa sisi wa karne hii??? (Kuna jibu hili huwa siriziki nalo, kwamba Mungu huwaadhibu watu wale aliowafikishia ujumbe wake, kama hili ndio jibu lenye mantiki basi nitakuwa simuelewi Mungu.... anawezaje kuwaacha watu waendelee kufanya zambi wa upande mmoja wakati alishazikemea upande mwengine na hii inaleta contradiction). Unafikir kama sio njaa za waarabu na wazungu.. zilizowasukumia kuja Africa kutafuta mali ghafi... je kungekuwa na hizi dini kwa utitiri kiasi hiki? Vile vile ni kwanin waislamu walikuwa hawaweki msisitizo kwenye Elimu ya circular miaka ya nyuma tofauti na hivi sasa..ambayo imepelekwa waislamu wasomi hasa hasa Tanzania kuwa wachache tukilinganisha na idadi yao???
Wala hujakosea.wee ogelea kwenye Uzi labda kama umejiajiri/ff kakuajiri uwe mc wake [emoji4] umebakia heshima, heshima, ujinga ujinga...watu wengine wanasalimiana kwa kujamba [emoji117] mbuuuu [emoji120] [emoji58] [emoji117] ndiii [emoji4] [emoji120] [emoji122] [emoji122] kwenu wanavunjiana hishima kwao ni hishima [emoji4] hapa stori dogo kula nyumbani[emoji21]
Jazaakumullahu KhayraaMaana sahihi ya hadithi ya Mtume alipotaja kuwa mwanamke huolewa kwa sifa hizo nne ni;
Kwa kawaida mwanaume huvutiwa na kutamani hadi kufikia kuoa mqanamke akiwa na moja ya sifa hizo.
1. Ni mzuri wa sura,umbo(uzuri wake)
2. Mali anazomiliki (mali zake)
3. Awe ametoka kwenye familia mashuhuri. Kwa utajiri,uongozi,busara nk.(kwa nasaba yake)
4. Au awe mcha Mungu. Mwenye maadili na tabia za kidini.(kwa dini yake)
Kisha akatusisitiza kati ya hao wanne mke bora ni yule mwenye dini. Iwapo utampata mwenye dini utakuwa umefaidi.
Si maana ya hadithi kuwa,awe na sifa hizo nne bali sifa hizo zimetajwa kuonesha kuwa ndizo humpelekea mwanaume kuvutiwa ikiwa mwanamke atakuwa na moja ya sifa hizo.
Kwa muislamu unatakiwa kuangalia dini.
Iwapo utampata mwenye dini kisha mrembo sawa.
Ana dini kisha tajiri,sawa.
Ana dini kisha anatoka kwenye ukoo bora pia ni vizuri.
Akiwa na sifa zote nne ni bora zaidi.
Muhimu hapo ni dini
YAA AYYUHALLADHIINA AAMANUUaya kachukue udhu twende msikitini leo ijumaa
I am assuming you are a Muslim.Naomba unijibu swali hili/ maswali haya vizuri..... ni hivi according to history tunasimuliwa kwamba Muhammad alikuwepo miaka ya 1500 iliyopita na Yesu miaka 2000 iliyopita.. lakini mpaka kwenye miaka 1000 na 1800 Africa tulikuwa hatuwajui hawa watu na tulikuwa tukiishi kwa kufuata mila zetu... na kuna babu na bibi zetu walizaliwa na kufa kati ya miaka hiyo ile hali hawajawahi kutamka shahada.... kwanin Muhammad na Yesu hawajawahi kufanya ziara ya nchi nzima kufikisha ujumbe wa Allah?? Mpaka pale imeshakuwa too late... nafikir unanielewa nikisema ni too late... kwani Muhammad hawezi kuja kwa ajili ya umma wote miaka hiyo alafu ujumbe wake utufikie 1000 years later tena pasipo yeye mwenyewe. Je nini hukumu ya wale walioshi katika karne ya 7 mpaka karne ya 17 wakiwa hawaujui msikiti? Hawamjui Mungu wa kweli na walikukwa wanafanya shirki... je ina maana watu hawa wote wataenda peponi kwa vile walikuwa hawajafikishiwa meseji so zambi zao zote sio valid?? Kama watu hao waliishi tu bila kufuata mila za waarabu, je kuna uspecial gani kwa sisi wa karne hii??? (Kuna jibu hili huwa siriziki nalo, kwamba Mungu huwaadhibu watu wale aliowafikishia ujumbe wake, kama hili ndio jibu lenye mantiki basi nitakuwa simuelewi Mungu.... anawezaje kuwaacha watu waendelee kufanya zambi wa upande mmoja wakati alishazikemea upande mwengine na hii inaleta contradiction). Unafikir kama sio njaa za waarabu na wazungu.. zilizowasukumia kuja Africa kutafuta mali ghafi... je kungekuwa na hizi dini kwa utitiri kiasi hiki? Vile vile ni kwanin waislamu walikuwa hawaweki msisitizo kwenye Elimu ya circular miaka ya nyuma tofauti na hivi sasa..ambayo imepelekwa waislamu wasomi hasa hasa Tanzania kuwa wachache tukilinganisha na idadi yao???
Kila dini ina misingi yake kaka,haijarishi kama mama yake anakwita mkwe au la,kama mwislamu atafuata mafundisho ya kiislamu. Kumbuka pia wakristo hamruhusiwi kuoa/kuolewa na mwislamu,hivyo dini zote zina mipangilio yake.
Kila dini ina misingi yake kaka,haijarishi kama mama yake anakwita mkwe au la,kama mwislamu atafuata mafundisho ya kiislamu. Kumbuka pia wakristo hamruhusiwi kuoa/kuolewa na mwislamu,hivyo dini zote zina mipangilio yake.angalia,
2corinthians 6:14 " Msiambatane na watu wasioamini. Je, wema na uovu vyapatana kweli? Mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?".
Hahahaha
Kwanza uliitaja Afrika, hukutaja "angle", baada ya kukupa darsa kuwa Yesu alifika Afrika sasa umeruka Kimanga na kuanza mambo ya "angle".
Sasa ili twende sambamba, kajibu swali nililokuuliza, wacha papara.
hhhhhhhhhj....teh teh teh teheee...kwi kwiHahahaha
Kwanza uliitaja Afrika, hukutaja "angle", baada ya kukupa darsa kuwa Yesu alifika Afrika sasa umeruka Kimanga na kuanza mambo ya "angle".
Sasa ili twende sambamba, kajibu swali nililokuuliza, wacha papara.
Wala hujakosea.
Bibie FAIZA kaniajiri.
Je wewe hupendi?
Au ni wivu!
Qur'an 28:
6. Na kuwapa nguvu katika nchi, nakutokana na wao kuwaonyesha kina Firauni na Hamana na majeshi yao mambo yale waliyo kuwa wakiyaogopa.
(Kuna jibu hili huwa siriziki nalo, kwamba Mungu huwaadhibu watu wale aliowafikishia ujumbe wake, kama hili ndio jibu lenye mantiki basi nitakuwa simuelewi Mungu.... anawezaje kuwaacha watu waendelee kufanya zambi wa upande mmoja wakati alishazikemea upande mwengine na hii inaleta contradiction)....I am assuming you are a Muslim.
Kuhusu Waislamu kufika Africa sio kweli walikuja karne ya 18 kwenda mbele. Waislamu walifika Tanzania tokea Enzi za Mtume(May peace upon him). Kuna Misikiti Mingi tu ipo ambayo imejengwa kwenye Karne ya 8 kwenda Chini pembezoni mwa Cost ya East Africa. Kuna Msikiti mmoja upo Either Bagamoyo au Kilwa kibla yake inaelekea Baytilmakdis, yaani kabla ya Mtume kuamrishwa kibla kuelekea Mecca. Ina maana Waislamu wakifika huku kwetu tokea uhai wa Mtume(May peace be upon him).
Swali lako la pili kuhusu hukumu ya watu waliokuwa Ujumbe wa dini ya ISLAM haijawafikia unakuwaje siku ya Malipo? [emoji116][emoji116]
Praise be to Allaah.
It is part of the justice of Allaah that He does not punish any people until He has first sent a warning to them and unless there is evidence against them. Allaah does not treat anybody unfairly. Allaah says (interpretation of the meaning): “… And We never punish until We have sent a Messenger (to give warning).” [al-Israa’ 17:15].
In his tafseer (commentary) on this aayah, Ibn Katheer (may Allaah have mercy on him) said: “These words, ‘…And We never punish until We have sent a Messenger (to give warning)’ tell us of the justice of Allaah, may He be exalted, and that He does not punish anyone until after He has established evidence against him by sending a Messenger to him. This is like the aayat (interpretation of the meaning): ‘… Every time a group is cast therein [into Hell], its keeper will ask, “Did no warner come to you?” They will say, “Yes indeed; a warner did come to us, but we belied him and said: ‘Allaah never sent down anything (of revelation), you are only in great error.’”’ [al-Mulk 67:8] and: ‘And those who disbelieved will be driven to Hell in groups, till, when they reach it, the gates thereof will be opened (suddenly like a prison at the arrival of its prisoners). And its keepers will say, “Did not the Messengers come to you from yourselves, - reciting to you the Verses of your Lord, and warning you of the Meeting of this Day of yours?” They will say: “Yes, but the Word of torment has been justified against the disbelievers!”’ [al-Zumar 39:71]…”
A person who has never heard of Islam or the Prophet SAWS (peace and blessings of Allaah be upon him), and who has never heard the message in its correct and true form, will not be punished by Allaah if he dies in a state of kufr (disbelief). If it were asked what his fate will be, the answer will be that Allaah will test him on the Day of Resurrection: if he obeys, he will enter Paradise and if he disobeys he will enter Hell. The evidence (daleel) for this is the hadeeth of al-Aswad ibn Saree’, who reported that the Prophet of Allaah SAWS (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “There are four (who will protest) to Allaah on the Day of Resurrection: the deaf man who never heard anything, the insane man, the very old man, and the man who died during the fatrah (the interval between the time of ‘Eesaa (Jesus, upon whom be peace) and the time of Muhammad SAWS (peace and blessings of Allaah be upon him)). The deaf man will say, ‘O Lord, Islam came but I never heard anything.’ The insane man will say, ‘O Lord, Islam came but the children ran after me and threw stones at me.’ The very old man will say, ‘O Lord, Islam came but I did not understand anything.’ The man who died during the fatrah will say, ‘O Lord, no Messenger from You came to me.’ He will accept their promises of obedience, then word will be sent to them to enter the Fire. By the One in Whose hand is the soul of Muhammad, if they enter it, it will be cool and safe for them.”
According to another report, he said: “Whoever enters it, it will be cool and safe for him, and whoever does not enter it will be dragged to it.” (The hadeeth was reported by Imaam Ahmad and Ibn Hibbaan, and deemed saheeh by al-Albaani, Saheeh al-Jaami’, 881).
Everyone who hears the message of Islam in a sound and correct form (and rejects it), will have evidence aginst him. Whoever dies without having heard the message, or having heard it in a distorted form, then his case is in the hands of Allaah. Allaah knows best about His creation, and He will never treat anyone unfairly. And Allaah is All-Seer of His slaves.
Hauwezi kujifunza kutoka kwenye vitabu tu..... kuna vingine vinapotosha. Mbona umeishia hapo tu kujibu jibu na mengine??? Situmii google natumia ufahamu nilionao kuhoji....mtazamo wa wengi ni kwamba kuhoji unakufuru. So lazima yale unayoambiwa na kuyasoma uyaamini kwa vile yamewekewa vitisho ndani yake. Unaambiwa uyaamin usipofanya hivyo unaenda motoni. Thats why wenye misimamo mikali wanaua wengine...kama kweli we ni muislamu nenda kajifunze upya soma vizuri historia ya uislam Africa mashariki , je umesahau kisa cha mfalme wa ethiopia , mtume MUHAMAD (S.A.W) maswahaba walivokwenda kudhuru kule, ni zama nyingi kabla muhamad(s.a.w)hajafariki?
embu kasome tarehe na historia ya uislam,...elimu haitafutwi google, ukiona wajiuliza sana maswali rudi kwenye kitabu..kaa chini ujufunze ndo sifa ya msomi.
Notedcircular= secular
(Kuna jibu hili huwa siriziki nalo, kwamba Mungu huwaadhibu watu wale aliowafikishia ujumbe wake, kama hili ndio jibu lenye mantiki basi nitakuwa simuelewi Mungu.... anawezaje kuwaacha watu waendelee kufanya zambi wa upande mmoja wakati alishazikemea upande mwengine na hii inaleta contradiction)....
kwa kifupi jibu lako la pili nimelikataa kwenye kipengele nilichokifungia kwenge mabano from the original qns.
Nakuuliza maswali kutoka kwenye jibu lako la pili.... je watu hao ambao wametumiwa messenger ni wa karne gani??? Muhammad hakufika america kusini wala australia n.k. inakuwaje ujumbe wa Muhammad ufanye kazi katika eneo alilofikisha ujumbe katika kipindi yuko hai.. unataka kuniambia kipindi hicho Muhammad yuko hai kule america ya kusini walikuwa hawatendi zambi zile zile zilizokuwa zinakemewa na mtume katika eneo alilokuwepo??? Kwahiyo unataka kuniambia wale waliofanya zambi kwenye mji aliokuwepo mtume ndio wanahesabiwa bali katika kipindi hicho hicho wanaofanya zambi hizo hizo kule mexico hawaesabiwi???? Sijui swali unalielewa vizuri.... au unataka kutuambia messenger kwa upande wetu ni wale waliokuja na njaa zao na kueneza meseji ya uislamu??
Haya mashairi unayo niletea kwani mimi ni nayaamini? allah amekuagiza kwamba uonapo qaraa inafanyiwa istizai wewe sepa hapo hapakufai...wewe umekomaa unateremsha singo unajinajisi mwenyewe...maisilamu dirisha Dogo ndio zenu...hhhhhhhhhh..
Kwani nimekutana ndugu au nimemkejeli nani???Kukujibu Swali lako nitakupa mfano mmoja kwanza hapa halafu unijibu.
Kukaa uchi ni Dhambi. Na tuseme wewe ni Mtawala. Umekwenda porini ndani kabisa hapo hutegemei kuona watu. Akatokezea kwenye kijiji cha Watu wa Bushmen ambao wako UCHI na hawajawahi kuonekana na watu wengine ulimwenguni na wao pia hawajawahi kuona watu wengine. Walikuwa hawana connection na Mtu yeyote wa kuwaletea ujumbe. Je wewe kama Mtawala wa haki, utawahukumu Hao Adhabu ya kukaa UCHI????
Swali lako la kuwa Messenger hakufika Australia na South America ni irrelevant na ni Swali lisilo kuwa na upeo. Kwanza zingatia Technology ya usafiri ya wakati huo ilikuwa Challenge, La pili Messenger na Companions wake wamefanya their duty to deliver ISLAM to all reachable area around them. It is to us Muslims to carry on the Duty of spreading ISLAM just like our Prophet(May peace be upon him) and his companion did. Ndio Maana hivi sasa ISLAM imeenea almost in every part of the World. But still i believe there are many who have not heard the word of ISLAM. That good work is and will Continue to end of the time.
Jambo lingine, nakushauri utumie mdogo mzuri na msafi unapo communicate na watu. Heshima ni kitu cha bure. Usitumie lugha chafu na ya kejeli. That is ignorancy to its highest level. Usijidharaulishe.
Teknolojia ya kipindi hicho ilikuwa duni.... huu ni ukweli kabisa, ila kwa uwezo wa Mungu unataka kuniambia Muhammad na Yesu wangeshindwa kufika wanapopataka kwa wakati yaani mpaka wategemee teknolojia??? Ujumbe wa Mungu umechelewa kufika mahali due to poor technology ya watu hao, Mungu ategemee teknoloji yetu sisi..... [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kukujibu Swali lako nitakupa mfano mmoja kwanza hapa halafu unijibu.
Kukaa uchi ni Dhambi. Na tuseme wewe ni Mtawala. Umekwenda porini ndani kabisa hapo hutegemei kuona watu. Akatokezea kwenye kijiji cha Watu wa Bushmen ambao wako UCHI na hawajawahi kuonekana na watu wengine ulimwenguni na wao pia hawajawahi kuona watu wengine. Walikuwa hawana connection na Mtu yeyote wa kuwaletea ujumbe. Je wewe kama Mtawala wa haki, utawahukumu Hao Adhabu ya kukaa UCHI????
Swali lako la kuwa Messenger hakufika Australia na South America ni irrelevant na ni Swali lisilo kuwa na upeo. Kwanza zingatia Technology ya usafiri ya wakati huo ilikuwa Challenge, La pili Messenger na Companions wake wamefanya their duty to deliver ISLAM to all reachable area around them. It is to us Muslims to carry on the Duty of spreading ISLAM just like our Prophet(May peace be upon him) and his companion did. Ndio Maana hivi sasa ISLAM imeenea almost in every part of the World. But still i believe there are many who have not heard the word of ISLAM. That good work is and will Continue to end of the time.
Jambo lingine, nakushauri utumie mdogo mzuri na msafi unapo communicate na watu. Heshima ni kitu cha bure. Usitumie lugha chafu na ya kejeli. That is ignorancy to its highest level. Usijidharaulishe.
Inategemea swali unaliuliza kwa madhumuni Gani. Maswali yako yameshajibiwa. Sasa unauliza swali lingine juu ya uwezo wa Mungu.Teknolojia ya kipindi hicho ilikuwa duni.... huu ni ukweli kabisa, ila kwa uwezo wa Mungu unataka kuniambia Muhammad na Yesu wangeshindwa kufika wanapopataka kwa wakati yaani mpaka wategemee teknolojia??? Ujumbe wa Mungu umechelewa kufika mahali due to poor technology ya watu hao, Mungu ategemee teknoloji yetu sisi..... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ina maana tungekuwa nao enzi hizi wangekuwa wanapanda ndege???? Mungu hashindwi na jambo lolote hawa wameshindwa vipi??? kwanin walikuwa wameng'ang'ania middle east tu.... unajua sio lazima kila swali unaloulizwa sharti uwe na majibu.
Kubali mengine hauna majibu nayo, Dada yako anasema haoni tena post zangu...