Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kukujibu Swali lako nitakupa mfano mmoja kwanza hapa halafu unijibu.

Kukaa uchi ni Dhambi. Na tuseme wewe ni Mtawala. Umekwenda porini ndani kabisa hapo hutegemei kuona watu. Akatokezea kwenye kijiji cha Watu wa Bushmen ambao wako UCHI na hawajawahi kuonekana na watu wengine ulimwenguni na wao pia hawajawahi kuona watu wengine. Walikuwa hawana connection na Mtu yeyote wa kuwaletea ujumbe. Je wewe kama Mtawala wa haki, utawahukumu Hao Adhabu ya kukaa UCHI????

Swali lako la kuwa Messenger hakufika Australia na South America ni irrelevant na ni Swali lisilo kuwa na upeo. Kwanza zingatia Technology ya usafiri ya wakati huo ilikuwa Challenge, La pili Messenger na Companions wake wamefanya their duty to deliver ISLAM to all reachable area around them. It is to us Muslims to carry on the Duty of spreading ISLAM just like our Prophet(May peace be upon him) and his companion did. Ndio Maana hivi sasa ISLAM imeenea almost in every part of the World. But still i believe there are many who have not heard the word of ISLAM. That good work is and will Continue to end of the time.

Jambo lingine, nakushauri utumie mdogo mzuri na msafi unapo communicate na watu. Heshima ni kitu cha bure. Usitumie lugha chafu na ya kejeli. That is ignorancy to its highest level. Usijidharaulishe.

Hiyo red ni ushahidi huyo unaye Muabudu si Mungu Mwenyezi ilaha ni mzimu fulani tu ulio c&p Jina la Mungu na kujipachika Uweza [emoji15] [emoji57] [emoji4] mimi Mungu ninaye Muabudu Amefikisha Ujumbe wake kwa kila Mwanadamu kupitia damira Njema [emoji106] ndio sababu hata kabla ya Mungu kuongea nasi kupitia Biblia Takatifu aliongea mapenzi yake kupitia dhamira...ndipo utaona unaambiwa usiibe, usiue, usizini...mwanadamu anajua huo ni uovu [emoji58] wewe ambaye hukujua mpaka alipo kujulisha muham'mad ndipo kukudanganya kwamba zinaa ruksa suratul muuminun :1-6 uwasamehe wanaume wanao firana suratul nisaa :16. ... hebu kasome sifatul jannat hapo kuna kungonoka mbele ya allah [emoji15] [emoji86] hivyo huyo mzimi ameua dhamira njema aliyo kuumbia M'Mungu umebakia hata Mungu humju umebaki kukariri na kughani mashairi ya kuzimu [emoji4]
 
Qur'an 28:
7. Tulimfunulia mama yake Musa kwa kumwambia: Mnyonyeshe. Na utakapo mkhofia basi mtie mtoni, na usikhofu wala usihuzunike. Hakika Sisi tutamrudisha kwako na tutamfanya miongoni mwa Mitume.
hizo ni stori alizo ziokota mudi vijiweni maka na madina hadi Wayahudi wakamuita mzushi mpotovu...qaraa beti zooote ni stori tu..[emoji4]
 
Hiyo red ni ushahidi huyo unaye Muabudu si Mungu Mwenyezi ilaha ni mzimu fulani tu ulio c&p Jina la Mungu na kujipachika Uweza [emoji15] [emoji57] [emoji4] mimi Mungu ninaye Muabudu Amefikisha Ujumbe wake kwa kila Mwanadamu kupitia damira Njema [emoji106] ndio sababu hata kabla ya Mungu kuongea nasi kupitia Biblia Takatifu aliongea mapenzi yake kupitia dhamira...ndipo utaona unaambiwa usiibe, usiue, usizini...mwanadamu anajua huo ni uovu [emoji58] wewe ambaye hukujua mpaka alipo kujulisha muham'mad ndipo kukudanganya kwamba zinaa ruksa suratul muuminun :1-6 uwasamehe wanaume wanao firana suratul nisaa :16. ... hebu kasome sifatul jannat hapo kuna kungonoka mbele ya allah [emoji15] [emoji86] hivyo huyo mzimi ameua dhamira njema aliyo kuumbia M'Mungu umebakia hata Mungu humju umebaki kukariri na kughani mashairi ya kuzimu [emoji4]
Unajua nilifikiri wewe ni mtu wa maana lakini kumbe ni IGNORANT wa mwisho duniani. Hustahiki kujibiwa chochote. Na nilikuonya kutumia lugha chafu kwa mtu yoyote na especially kwa Mungu na spiritual true leaders na Sasa nikwambie kitakacho kukutokea usimlaumu mtu, umejitakia mwenyewe.
 
Inategemea swali unaliuliza kwa madhumuni Gani. Maswali yako yameshajibiwa. Sasa unauliza swali lingine juu ya uwezo wa Mungu.

Mungu hashindwi kitu. Akitaka Jambo basi hapo hapo linakuwa. Mungu angetaka sisi tuwe kama Malaika pia angetufanya na kusingekuwa hata na haja ya Kuwatuma Mitume yake kwetu. Kwanini Mungu atutumie Mitume yake kwetu wakati anao uwezo usio kuwa na mipaka?? Angeweza kutubadilisha tukawa kama anavyotaka yeye. Kwanini atutumie Mitume??? Ukipata jibu ya hilo swali utaelewa kwanini Muhammad(May peace be upon him) hakufika South America yeye mwenyewe.
Sasa huo ndio udhaifu wenyewe.... inaonekana kwamba suala la kufuata amri za Mungu haikuwa compulsory. Inawezekana vipi Mungu awaamrishe watu wa eneo la middle East wafuate maagizo yake while wale wa America, China, Australia, Tanzania etc...wanatenda maovu hayo hayo???? It doen't make sense at all....Mungu mwenye uwezo wote, hashindwi na jambo lolote analolitaka. Hawezi kuwa na contradiction, hawezi kuwa na double standards. Sijui unanielewa ndugu yangu....imagine kwamba shisha inapigwa marufuku Dar es salaam ila kwa Mwanza ni sawa tu waendelee kuvuta. Hiyo ndio double standard

Elewa kwamba majibu yako hayajitoshelezi na mwisho wa siku yanasababisha nipate mwaswali.
 
Unajua nilifikiri wewe ni mtu wa maana lakini kumbe ni IGNORANT wa mwisho duniani. Hustahiki kujibiwa chochote. Na nilikuonya kutumia lugha chafu kwa mtu yoyote na especially kwa Mungu na spiritual true leaders na Sasa nikwambie kitakacho kukutokea usimlaumu mtu, umejitakia mwenyewe.

lugha chafu zaidi ya ile ya kungonoka sardaus ambako ni Maskani ya Mungu? wee hili ni jukwaa la Dini/Imani kama huliwezi nenda jukwaa jingine bro...hapa hakuna neutral ground ilaha hapa qulu hagi wainkanna Mura...na ukumbuke mwenye hoja hafungwi na plaster mdomoni bali huvunjwa kwa hoja...halafu hii ya kumtetea mungu wenu kwa mitulinga yeye hana uwezo? hata baniani anawashinda?! sanabu anajua kabisa mg'ombe kwake yeye ni mungu kwetu sisi ni mboga! umesha muona anahamaki mnapo mchinja mungu wake? ana imani iko siku mungu wake atawashughulikia tu...nadilika...
 
Sasa huo ndio udhaifu wenyewe.... inaonekana kwamba suala la kufuata amri za Mungu haikuwa compulsory. Inawezekana vipi Mungu awaamrishe watu wa eneo la middle East wafuate maagizo yake while wale wa America, China, Australia, Tanzania etc...wanatenda maovu hayo hayo???? It doen't make sense at all....Mungu mwenye uwezo wote, hashindwi na jambo lolote analolitaka. Hawezi kuwa na contradiction, hawezi kuwa na double standards. Sijui unanielewa ndugu yangu....imagine kwamba shisha inapigwa marufuku Dar es salaam ila kwa Mwanza ni sawa tu waendelee kuvuta. Hiyo ndio double standard

Elewa kwamba majibu yako hayajitoshelezi na mwisho wa siku yanasababisha nipate mwaswali.

Ujumbe si lazima uende kote kuufikisha.

Jiulize leo hii Uislam umetapakaa kila pembe ya dunia, ujumbe ulifikaje?
 
lugha chafu zaidi ya ile ya kungonoka sardaus ambako ni Maskani ya Mungu? wee hili ni jukwaa la Dini/Imani kama huliwezi nenda jukwaa jingine bro...hapa hakuna neutral ground ilaha hapa qulu hagi wainkanna Mura...na ukumbuke mwenye hoja hafungwi na plaster mdomoni bali huvunjwa kwa hoja...halafu hii ya kumtetea mungu wenu kwa mitulinga yeye hana uwezo? hata baniani anawashinda?! sanabu anajua kabisa mg'ombe kwake yeye ni mungu kwetu sisi ni mboga! umesha muona anahamaki mnapo mchinja mungu wake? ana imani iko siku mungu wake atawashughulikia tu...nadilika...
Hili si jukwaa la dini.

Umelewa?
 
Ujumbe si lazima ufike kote kuufikisha.

Jiulize leo hii Uislam umetapakaa kila pembe ya dunia, ujumbe ulifikaje?
Kwani na ukristo, upagan, n.k umefikaje??? Kufika na kutofika hakuna maana yoyote.... uislamu umechukua takriban karne zaidi ya 13 kuenenea.... swali langu lipo kwa hawa waliokuwa kwenye transition. Baadhi ya sababu zinazoelezwa za kutupeleka peponi sisi wa kizazi cha karne 2 zilizopita.... hazina mantiki. Hiki ndio kizazi chenye haki ya kuabudu na sio vile vilivyopita kwenye transition??? Hii ikoje hii....
 
wee kwani vipi? hats allah ameagiza mwanaume asiye na wivu pepo ataisikia gazetini...badala ya kunijibu unaleta ya kwa mtogole...
Mama ako/yako Mzazi yuhai au hayuhai?
 
Ahsante bi Faiza,nimekufatilia mwanzo mwisho vitu vingi nimejufunza sana.umejaribu kujibu hoja zako vizuri kwa quote na reference za kutosha aliekuwa na lengo la kujifunza.swali langu ni kama ifuatavyo
1.wewe kama Faiza unahisi wazazi wanakosea wapi kwenye malezi na imekua vigumu sana hasa kwa sasa kuwa na watoto wenye uwezo hata wa kujielezea wenyewe hasa watoto wa kike wapo lakini kama hawajui kwa nini wapo hapo
2.nini kilikufanya ukafika hapo ulipo unauwezo flani binafsi sitaki kuueleza
3.nini unakifanya kuhakikisha mikoba yako/madini yako unayarithisha hasa kwa jamii inayokuzunguka yasiwe yanaishia
4.Unahis umma wa Kiislam unakosea wapi kwa sasa na kuleta image isiofaa kwa jamii na tabia chafua ambazo uislam haujatufunza
Masuali yako ni ya msingi sana.

Masuali kama haya, na yanayofanana na haya , ndio tunayoyataka.

Ni Masuali ya kujenga, sio kubomoa.

Hongera sana Mdau
 
Naomba ushauri:Nashukuru Mungu ameniwezesha kuwa na elimu nzuri ya kawaida lakini ni mchache katika elimu ya dini kiasi ninaona wivu napowaona wengine wenye elimu ya dini.Niliishia juzuu ya kwanza tu na mara nyingi natumia msahafu wenye tafsiri.Natamani niweze kuhifadhi quran juzuu zote,nimejaribu kusoma articles mbalimbali mitandaoni bado hazijanisaidia.Tafadhali kwa hekima,elimu na maarifa uliyo nayo naomba unisaidie.
INNA MAL A'AMALU BINNIYAAT,

Hakika ya tendo, au naweza sema Hakika ya tendo lolote lile ni kwa Nia.

Sheikh, hakuna kinachoshindikana.

ILMU haina mwisho, na ILMU ina mapana sana.

Jambo la kwanza, weka Nia.

Jambo la pili, kuwa na ile hali ya kutamani, shauku, kupenda kupita kiasi kile unachokihitaji. Nikiwa na maana,

Jitahidi japo kwa siku uweke moyoni japo Aya moja.

Na kwakuwa wewe ulianzia Juzuu ya Mwanzo, ningekushauri/nakushauri urudi nyuma uanze na Juzuu ya Ishirini na Tisa (29), ambayo ni TABAARAKA LLADHII.

Na Sura yako ya kwanza iwe Suuratul MUR-SALAAT (WALMUR-SALAAT), nimepata Uchu wa ghafla, ngoja nipate japo Aya mbili tatu hivi,

Bismillaahi RRahmaani RRahiim.

WALMURSALAATI U'RFAA.

FAL 'AASWI FAATI ASW FAA.

WANNAASHIRAATI NASHRAA.

FAL FAARIQAATI FARQAA.

FAL MUL QIYAATI DHIKRAA.

UDH RAN AW NUDHRAA.

INNAMAA TUU A'DUUNA LAWAAQI'U.

Ngoja niishie hapo nisijaze Ukurasa, maana mizuka imeshanipanda.

Kwanini nimekushauri uanzie huku nyuma?, TABAARAKA LLLADHII.

Ni kwasababu Sura za huku ni fupi sana, kwahiyo wewe jiwekee utaratibu, kila siku iendayo weka Moyoni Aya moja.

Ninakuhakikishia kila siku zinavyoenda, utaona mabadiliko, itafikia wewe mpaka kuweka Moyoni Aya Tatu au zaidi ya Tatu kwa Siku, ndani ya Siku moja.

Nenda kidogo, kidogo, InshaAllah mpaka ukifika Juzuu ya Ishirini na Mbili (22), WAMAYYAQNUT. Nna hakika utakuwa umejengeka. Unaweza kuishia Juzuu ya Ishirini na Mbili (22), na ukarudi Mwanzo Juzuu ya Kwanza ALIF LAAM MMIIM na kuanza kwenda nayo mpaka ukafikia ulipoishia, ambapo ni WAMAYYAQNUT, Juzuu ya Ishirini na Mbili (22), na kuendelea mpaka Sura ya Mwisho ambayo ni SuuratuNNAAS.

Ujue QUR'AAN ina maajabu sana.

Nafahamu kuna tofauti kubwa sana, kuweka Moyoni ukiwa mdogo, na kuweka Moyoni kwa Mtu mzima.

Ila kwa niliowaona walioweka Moyoni ukubwani, ingawa ni ngumu kiasi kwa Mtu mzima, lakini wameweza kwa uwezo wa ALLAH.

Kila la Kheri
 
Kwani na ukristo, upagan, n.k umefikaje??? Kufika na kutofika hakuna maana yoyote.... uislamu umechukua takriban karne zaidi ya 13 kuenenea.... swali langu lipo kwa hawa waliokuwa kwenye transition. Baadhi ya sababu zinazoelezwa za kutupeleka peponi sisi wa kizazi cha karne 2 zilizopita.... hazina mantiki. Hiki ndio kizazi chenye haki ya kuabudu na sio vile vilivyopita kwenye transition??? Hii ikoje hii....

Mpaka sasa kila Unachojibiwa na wachangiaji wewe kwako si sahihi.

Tujibu wewe kipi ni sahihi? Maana labda una ujumbe unataka kuufikisha lakini unazunguka-zunguka.
 
Hili si jukwaa la dini.

Umelewa?

Kama ndivyo ungepotezea maswali yahusuyo deen/Imani!; lakini unajibu na kukazia kwa ayat za Allah why? hutaki niwe muisilamu eeh? nifundishe niwe kama wewe usiogope...hhhhhhhh...
 
Mpaka sasa kila Unachojibiwa na wachangiaji wewe kwako si sahihi.

Tujibu wewe kipi ni sahihi? Maana labda una ujumbe unataka kuufikisha lakini unazunguka-zunguka.
mwaga daawa mgonjwa apone...hhhhhh...
 
Naomba ushauri:Nashukuru Mungu ameniwezesha kuwa na elimu nzuri ya kawaida lakini ni mchache katika elimu ya dini kiasi ninaona wivu napowaona wengine wenye elimu ya dini.Niliishia juzuu ya kwanza tu na mara nyingi natumia msahafu wenye tafsiri.Natamani niweze kuhifadhi quran juzuu zote,nimejaribu kusoma articles mbalimbali mitandaoni bado hazijanisaidia.Tafadhali kwa hekima,elimu na maarifa uliyo nayo naomba unisaidie.
Kwa ajili ya dunia yako umetoa wakati mali na juhudi ukafikia ulipofiki. Lengo ikiwa kuwa na maisha mazuri. Maisha yenyewe ni mafupi na ya kupita. Sasa kwa ajili ya akhera ili kuijua dini unatakiwa kutoa jitihada kubwa zaidi na mali,wakati na jitihada. Huwezi kuwa daktari kwa kutamani na kadhalika dini ni hivyohivyo. Ndio akasema mshairi vipi unatamani upambaukiwe ukiwa msomi pasina kujipinda? Ama kweli aljununu fununu (ukichaa ni fani nyingi). Na kama ambavyo huwezi kuwa daktari kwa kujisomesha vilevile kwenye dini lazima uwe na mwalimu wa kukusomesha na kukuelekeza misingi ya dini.
 
Back
Top Bottom