Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Qur'an 28:
8. Basi wakamwokota watu wa Firauni, aje kuwa adui kwao na huzuni. Hakika Firauni na Hamana na majeshi yao walikuwa wenye makosa.
Maelezo

umeona kumpigia hadithi njoo uongo njoo utamu unakolea ndio daawa...hhhhhhh..
 
umeona kumpigia hadithi njoo uongo njoo utamu unakolea ndio daawa...hhhhhhh..

Qur'an 28:
9. Na mkewe Firauni alisema: Atakuwa kiburudisho cha macho kwangu na kwako. Msimuuwe! Huenda akatufaa, au tumpange kuwa mwenetu. Wala wao hawakutambua.

nilikuwa sijui kumbe ndani ya qaraa naye mke wa firauni anaongea?! shukrani bibie kwa kutupa darsa!; ndivyo inavyo takiwa, kuliko hawa waislamu wengine wanavyo tudanganya kwamba qaraa imeshushwa na hakuna kauli ya mtu mle...hadi nilishangaa allah aseme waa mahalaqa dhakar al unnsa...
 
Mpaka sasa kila Unachojibiwa na wachangiaji wewe kwako si sahihi.

Tujibu wewe kipi ni sahihi? Maana labda una ujumbe unataka kuufikisha lakini unazunguka-zunguka.
Wewe ambae ndio mwenye uzi huu... umefail kutoa majibu. Umezaliwa 20th century utapataje majibu ya beyond that??? Kila swali mnaloulizwa mnajibu hata kama hamna majibu sahihi...
 
Jibu langu kwako ni hili la miaka zaidi ya 1400 iliyopita:

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
 
The problem with using faith as a truth compass is that faith does not have to be grounded in facts and so it is like a compass which does not have to point to the north but could be pointing at any direction.
 
qur'an 28:
55. And when they hear ill speech, they turn away from it and say, "For us are our deeds, and for you are your deeds. Peace will be upon you; we seek not the ignorant."
 
Jibu langu kwako ni hili la miaka zaidi ya 1400 iliyopita:

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Ujinga ni nin?? Ignorant means lacking of knowledge or awareness in general; uneducated or unsophisticated.

Mbona tuna wajinga wengi sana waliopitia kwenye elimu ya quran tu?? Kutoamini kisichokuwa na fact sio ujinga... bali ujinga ni kuamini kwamba ukitembea kwenye uso wa dunia kwa kudunda dunda utaenda motoni, huo ndio ujinga. Ujinga ni kuamini kwamba kumuombea dua firaun na mifano ya watu kama hao ambao wamekufa, basi Mungu atawasamehe na kuwapeleka mahala pema peponi. Ujinga ni kuamini kwamba ukisema RIP ndio maiti itarest in peace. Kuna ujinga mwingi sana dada yangu.... and u are among them wanaofuatisha, na mim pia ni mmoja ya watekeleza ujinga....
 
Hahaha keep repeating this.... naona uko vacation.
 
unaona ulicho andika?¿ nikikujibu kwa uzito wa swali lako utajaa povu sasa hivi! acha Mungu akujibu 1Tim 6:3-7 ...
Nimekuuliza swali jepesi sana, na nina Nia njema sana na wewe.

Kuwa muwazi, kuna Faida kubwa sana nataka nikupe.

Faida ambayo, hutoweza kuhisahau.

Jibu swali
 
Kuna siku nnakumbuka, mdogo wangu aliletwa nyumbani huku kakamatwaa mikono asikimbie, kesi yenyewe ilikuwa ni kakamatwa na huyo kijana mitaa ya upanga (enzi hizo upanga bado kuna kimsitu kidogo) na alikamatwa kwa kuwa ana winda ndege na manati na ulikuwa ni wakati wa shule na alikuwa amevaa uniform za shule. Yule kijana aliyemkamata hakupendezwa na hilo na akamshika akamwambia sikuachi mpaka twende kwenu, kufika nae nyumbani akaanza kuelezea kwanini kamleta vile, basi mama'ngu (Allah amrehemu) akamwambia yule kijana subiri, akaingia akatoa mkwaju akmwambia mchape hapa hapa atie adabu. Naam, akachapwa.
ALLAHUMMAGH FIR LAHAA WAR HAMHAA WASKINAHAA FIL JANNA
 
Samahani kama hili swali limeukizwa before. Mimi si muislam lakini ningependa jua baadhi ya vitu kuhusiana na uislam. Je ni kweli kuwa Quran inawahasisha waislam kuwaua wasio waumini? (Infidels). Angalia hii Quran (2:191-193).. naona pia kuna aya nazisoma (sijui kiarabu/lugha ya Quran so na rely na hizi za Kiingereza /Kiswahili) zinaelezea mauaji ya wasiokuwa waumini (bofya hii:
The Quran's Verses of Violence
). Naomba ufafanuzi tafadhali
 
Ingekuwa vyema ukaziweka hapa ili tuone kama zimewekwa kwa "context" yake au kama sababu za kuteremshwa hizo aya zimezingatiwa.

Ntarudi.
 
Back
Top Bottom