Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qur'an 28:
9. Na mkewe Firauni alisema: Atakuwa kiburudisho cha macho kwangu na kwako. Msimuuwe! Huenda akatufaa, au tumpange kuwa mwenetu. Wala wao hawakutambua. Maelezo
Wewe ambae ndio mwenye uzi huu... umefail kutoa majibu. Umezaliwa 20th century utapataje majibu ya beyond that??? Kila swali mnaloulizwa mnajibu hata kama hamna majibu sahihi...Mpaka sasa kila Unachojibiwa na wachangiaji wewe kwako si sahihi.
Tujibu wewe kipi ni sahihi? Maana labda una ujumbe unataka kuufikisha lakini unazunguka-zunguka.
Wewe ambae ndio mwenye uzi huu... umefail kutoa majibu. Umezaliwa 20th century utapataje majibu ya beyond that??? Kila swali mnaloulizwa mnajibu hata kama hamna majibu sahihi...
The problem with using faith as a truth compass is that faith does not have to be grounded in facts and so it is like a compass which does not have to point to the north but could be pointing at any direction.Jibu langu kwako ni hili la miaka zaidi ya 1400 iliyopita:
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
The problem with using faith as a truth compass is that faith does not have to be grounded in facts and so it is like a compass which does not have to point to the north but could be pointing at any direction.
Ujinga ni nin?? Ignorant means lacking of knowledge or awareness in general; uneducated or unsophisticated.Jibu langu kwako ni hili la miaka zaidi ya 1400 iliyopita:
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Qur'an 28:Ujinga ni nin?? Ignorant means lacking of knowledge or awareness in general; uneducated or unsophisticated.
Mbona tuna wajinga wengi sana waliopitia kwenye elimu ya quran tu?? Kutoamini kisichokuwa na fact sio ujinga... bali ujinga ni kuamini kwamba ukitembea kwenye uso wa dunia kwa kudunda dunda utaenda motoni, huo ndio ujinga. Ujinga ni kuamini kwamba kumuombea dua firaun na mifano ya watu kama hao ambao wamekufa, basi Mungu atawasamehe na kuwapeleka mahala pema peponi. Ujinga ni kuamini kwamba ukisema RIP ndio maiti itarest in peace. Kuna ujinga mwingi sana dada yangu.... and u are among them wanaofuatisha, na mim pia ni mmoja ya watekeleza ujinga....
Hahaha keep repeating this.... naona uko vacation.Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Nimekuuliza swali jepesi sana, na nina Nia njema sana na wewe.unaona ulicho andika?¿ nikikujibu kwa uzito wa swali lako utajaa povu sasa hivi! acha Mungu akujibu 1Tim 6:3-7 ...
Jitahidi na Ibada pia.najishughulisha sana lakini bado nina maisha magumu sana
ALLAHUMMAGH FIR LAHAA WAR HAMHAA WASKINAHAA FIL JANNAKuna siku nnakumbuka, mdogo wangu aliletwa nyumbani huku kakamatwaa mikono asikimbie, kesi yenyewe ilikuwa ni kakamatwa na huyo kijana mitaa ya upanga (enzi hizo upanga bado kuna kimsitu kidogo) na alikamatwa kwa kuwa ana winda ndege na manati na ulikuwa ni wakati wa shule na alikuwa amevaa uniform za shule. Yule kijana aliyemkamata hakupendezwa na hilo na akamshika akamwambia sikuachi mpaka twende kwenu, kufika nae nyumbani akaanza kuelezea kwanini kamleta vile, basi mama'ngu (Allah amrehemu) akamwambia yule kijana subiri, akaingia akatoa mkwaju akmwambia mchape hapa hapa atie adabu. Naam, akachapwa.
1Tim6:3-7[URL][/URL]Nimekuuliza swali jepesi sana, na nina Nia njema sana na wewe.
Kuwa muwazi, kuna Faida kubwa sana nataka nikupe.
Faida ambayo, hutoweza kuhisahau.
Jibu swali
Nimeshapata udhuru mbele ya Allaah
Samahani kama hili swali limeukizwa before. Mimi si muislam lakini ningependa jua baadhi ya vitu kuhusiana na uislam. Je ni kweli kuwa Quran inawahasisha waislam kuwaua wasio waumini? (Infidels). Angalia hii Quran (2:191-193).. naona pia kuna aya nazisoma (sijui kiarabu/lugha ya Quran so na rely na hizi za Kiingereza /Kiswahili) zinaelezea mauaji ya wasiokuwa waumini (bofya hii:
The Quran's Verses of Violence
). Naomba ufafanuzi tafadhali