Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. T'A SIN MIM, (T'.S.M.)
2. Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha.

sijakataa kwamba [emoji117] ashki majununi [emoji38]
 
Reactions: PNC
Heshima kitu cha bure.

Ndio ni ujinga.

Iwapo utauliza ujinga
wee ogelea kwenye Uzi labda kama umejiajiri/ff kakuajiri uwe mc wake [emoji4] umebakia heshima, heshima, ujinga ujinga...watu wengine wanasalimiana kwa kujamba [emoji117] mbuuuu [emoji120] [emoji58] [emoji117] ndiii [emoji4] [emoji120] [emoji122] [emoji122] kwenu wanavunjiana hishima kwao ni hishima [emoji4] hapa stori dogo kula nyumbani[emoji21]
 
Chuki za makafiri ni kubwa sana juu ya waislam,hivo ishini nao kwa akili.Nmekufuatilia sana nmegundua unasumbuliwa na chuki
 

Qur'an 28:
4. Hakika Firauni alitakabari katika nchi, na akawagawa wananchi makundi mbali mbali. Akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake. Hakika yeye alikuwa katika mafisadi.
 

Maswali yako ni mazuri sana sema umeyachanganya bila para, haidhuru, ntajaribu kuyahighlight nnayoyajibu ili twende sambamba:

Kwanza tuanze na la Yesu alayhi salaam.

Hujasema kweli. Biblia inatufundisha kuwa Yesu aliwahi kuishi Afrika:

Mathayo 2:
13 Walipokuwa wamekwisha kuondoka, tazama! malaika wa Yehova+ akamtokea Yosefu katika ndoto, akisema: “Simama, mchukue huyo mtoto mchanga na mama yake mkimbie kuingia Misri, mkae huko mpaka nikupe agizo; kwa maana Herode yuko karibu kumtafuta huyo mtoto amwangamize.” 14 Kwa hiyo akasimama na kuchukua pamoja naye mtoto huyo mchanga na mama yake wakati wa usiku, akaondoka na kuingia Misri, 15 naye akakaa huko mpaka kufa kwa Herode, ili litimizwe+ lile lililosemwa na Yehova kupitia nabii wake, akisema: “Kutoka Misri+ nilimwita mwanangu.”


Jee, bado unaamini kuwa Yesu hakujulikana Afrika alipokuwa hai? Ukijibu hili tutaendelea na mengine.
 
Qur'an 28:
4. Hakika Firauni alitakabari katika nchi, na akawagawa wananchi makundi mbali mbali. Akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake. Hakika yeye alikuwa katika mafisadi.
mudi na allah wana tofafauti gani kwa ushahidi huu?¿ au hapo ni sherehe ya kisamvu cha kopo...hhhhhhhh.... allah, firaun, mudi woote mama mmoja ilaha baba tofauti...
 
Reactions: PNC
mudi na allah wana tofafauti gani kwa ushahidi huu?¿ au hapo ni sherehe ya kisamvu cha kopo...hhhhhhhh....View attachment 442272 allah, firaun, mudi woote mama mmoja ilaha baba tofauti...
Qur'an 28:
5. Na tukataka kuwafadhili walio dhoofishwa katika nchi hiyo na kuwafanya wawe waongozi na kuwafanya ni warithi.
 
Ni haramu binti wakiislam kuolewa na mkristo, ila binti anaweza olewa na muislam.
Ni haram kwa binti ninayependana naye na tuliyeridhiana? Na zaidi mama yake ananikubali pia kama mkwe.

Nani amesema ni haram?
 
Daah...huu uzi umefika mbali sanaa

Halafu FF hujajibu swali langu kuhusu kaka yangu mwenye kasumba na binti wa kiislamu wanaopendana sana.
 
Sizungumzii africa from that angle.... nafahamu kuna ukaribu mkubwa sana kati ya misri na middle east countries... ni basi tu lakini hata misri tunaweza kuiweka kwenye middle east countries. Mim naizungumzia africa kwa mapana yake. Ye yesu kufika misri ilikuwa na faida gani kwa wale tuliokuwa southern africa???
 
Angelifika Uganda, pia ungesema "mbona hakufika 'Tanganyika' na angefika mpaka Tabora pia ungesena "mbona hakufika Dar?" Logically speaking, ni kuwa alifika Africa, haijalishi ni sehemu gani ya Africa, hata huko Mashariki ya Kati hakuenda sehemu zote.
 
Qur'an 28:
5. Na tukataka kuwafadhili walio dhoofishwa katika nchi hiyo na kuwafanya wawe waongozi na kuwafanya ni warithi .
hayo mashairi shetani anashindwa kughani?
 
malibainishast: 18726922 said:
Chuki za makafiri ni kubwa sana juu ya waislam,hivo ishini nao kwa akili.Nmekufuatilia sana nmegundua unasumbuliwa na chuki
Muhammad alibainisha!; sala yako haikubaliki akipita mbwa mweusi au mwanamke! hata nguruwe akipita ni Tbs lakini mwanamke au mbwa...kwa nini darja moja na mbwa? kunani mudi kusumbuliwa na chuki kihivyo?¿ chuki ya muham'mad kwa wanawake ambao bila wao asingefika popote!; ref; yule khadija kwa upendo hadi kamlipia mahari...
 
Nenda kwenye swali langu la msingi [HASHTAG]#1492[/HASHTAG]... faizafoxy amejaribu kuhilight hapo... hila lipo swali langu la msingi na uache kudandia treni kwa mbele.... na kama unaweza jibu hayo maswali na uache siasa.
 
Ni haramu binti wakiislam kuolewa na mkristo, ila binti anaweza olewa na muislam.
mwanamke hana deen!; mmewe kama muuza bange bibie msokota rizla, mume kama muuza Congo bibie mpima mzinga IMA glass..haram ndio nini?
 
Ni haram kwa binti ninayependana naye na tuliyeridhiana? Na zaidi mama yake ananikubali pia kama mkwe.

Nani amesema ni haram?
Kila dini ina misingi yake kaka,haijarishi kama mama yake anakwita mkwe au la,kama mwislamu atafuata mafundisho ya kiislamu. Kumbuka pia wakristo hamruhusiwi kuoa/kuolewa na mwislamu,hivyo dini zote zina mipangilio yake.
Ni haram kwa binti ninayependana naye na tuliyeridhiana? Na zaidi mama yake ananikubali pia kama mkwe.

Nani amesema ni haram?
Kila dini ina misingi yake kaka,haijarishi kama mama yake anakwita mkwe au la,kama mwislamu atafuata mafundisho ya kiislamu. Kumbuka pia wakristo hamruhusiwi kuoa/kuolewa na mwislamu,hivyo dini zote zina mipangilio yake.angalia,

2corinthians 6:14 " Msiambatane na watu wasioamini. Je, wema na uovu vyapatana kweli? Mwanga na giza vyawezaje kukaa pamoja?".
 

Hahahaha

Kwanza uliitaja Afrika, hukutaja "angle", baada ya kukupa darsa kuwa Yesu alifika Afrika sasa umeruka Kimanga na kuanza mambo ya "angle".

Sasa ili twende sambamba, kajibu swali nililokuuliza, wacha papara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…