Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa


Hiyo red ni ushahidi huyo unaye Muabudu si Mungu Mwenyezi ilaha ni mzimu fulani tu ulio c&p Jina la Mungu na kujipachika Uweza [emoji15] [emoji57] [emoji4] mimi Mungu ninaye Muabudu Amefikisha Ujumbe wake kwa kila Mwanadamu kupitia damira Njema [emoji106] ndio sababu hata kabla ya Mungu kuongea nasi kupitia Biblia Takatifu aliongea mapenzi yake kupitia dhamira...ndipo utaona unaambiwa usiibe, usiue, usizini...mwanadamu anajua huo ni uovu [emoji58] wewe ambaye hukujua mpaka alipo kujulisha muham'mad ndipo kukudanganya kwamba zinaa ruksa suratul muuminun :1-6 uwasamehe wanaume wanao firana suratul nisaa :16. ... hebu kasome sifatul jannat hapo kuna kungonoka mbele ya allah [emoji15] [emoji86] hivyo huyo mzimi ameua dhamira njema aliyo kuumbia M'Mungu umebakia hata Mungu humju umebaki kukariri na kughani mashairi ya kuzimu [emoji4]
 
Qur'an 28:
7. Tulimfunulia mama yake Musa kwa kumwambia: Mnyonyeshe. Na utakapo mkhofia basi mtie mtoni, na usikhofu wala usihuzunike. Hakika Sisi tutamrudisha kwako na tutamfanya miongoni mwa Mitume.
hizo ni stori alizo ziokota mudi vijiweni maka na madina hadi Wayahudi wakamuita mzushi mpotovu...qaraa beti zooote ni stori tu..[emoji4]
 
Unajua nilifikiri wewe ni mtu wa maana lakini kumbe ni IGNORANT wa mwisho duniani. Hustahiki kujibiwa chochote. Na nilikuonya kutumia lugha chafu kwa mtu yoyote na especially kwa Mungu na spiritual true leaders na Sasa nikwambie kitakacho kukutokea usimlaumu mtu, umejitakia mwenyewe.
 
Sasa huo ndio udhaifu wenyewe.... inaonekana kwamba suala la kufuata amri za Mungu haikuwa compulsory. Inawezekana vipi Mungu awaamrishe watu wa eneo la middle East wafuate maagizo yake while wale wa America, China, Australia, Tanzania etc...wanatenda maovu hayo hayo???? It doen't make sense at all....Mungu mwenye uwezo wote, hashindwi na jambo lolote analolitaka. Hawezi kuwa na contradiction, hawezi kuwa na double standards. Sijui unanielewa ndugu yangu....imagine kwamba shisha inapigwa marufuku Dar es salaam ila kwa Mwanza ni sawa tu waendelee kuvuta. Hiyo ndio double standard

Elewa kwamba majibu yako hayajitoshelezi na mwisho wa siku yanasababisha nipate mwaswali.
 

lugha chafu zaidi ya ile ya kungonoka sardaus ambako ni Maskani ya Mungu? wee hili ni jukwaa la Dini/Imani kama huliwezi nenda jukwaa jingine bro...hapa hakuna neutral ground ilaha hapa qulu hagi wainkanna Mura...na ukumbuke mwenye hoja hafungwi na plaster mdomoni bali huvunjwa kwa hoja...halafu hii ya kumtetea mungu wenu kwa mitulinga yeye hana uwezo? hata baniani anawashinda?! sanabu anajua kabisa mg'ombe kwake yeye ni mungu kwetu sisi ni mboga! umesha muona anahamaki mnapo mchinja mungu wake? ana imani iko siku mungu wake atawashughulikia tu...nadilika...
 

Ujumbe si lazima uende kote kuufikisha.

Jiulize leo hii Uislam umetapakaa kila pembe ya dunia, ujumbe ulifikaje?
 
Hili si jukwaa la dini.

Umelewa?
 
Ujumbe si lazima ufike kote kuufikisha.

Jiulize leo hii Uislam umetapakaa kila pembe ya dunia, ujumbe ulifikaje?
Kwani na ukristo, upagan, n.k umefikaje??? Kufika na kutofika hakuna maana yoyote.... uislamu umechukua takriban karne zaidi ya 13 kuenenea.... swali langu lipo kwa hawa waliokuwa kwenye transition. Baadhi ya sababu zinazoelezwa za kutupeleka peponi sisi wa kizazi cha karne 2 zilizopita.... hazina mantiki. Hiki ndio kizazi chenye haki ya kuabudu na sio vile vilivyopita kwenye transition??? Hii ikoje hii....
 
wee kwani vipi? hats allah ameagiza mwanaume asiye na wivu pepo ataisikia gazetini...badala ya kunijibu unaleta ya kwa mtogole...
Mama ako/yako Mzazi yuhai au hayuhai?
 
Masuali yako ni ya msingi sana.

Masuali kama haya, na yanayofanana na haya , ndio tunayoyataka.

Ni Masuali ya kujenga, sio kubomoa.

Hongera sana Mdau
 
INNA MAL A'AMALU BINNIYAAT,

Hakika ya tendo, au naweza sema Hakika ya tendo lolote lile ni kwa Nia.

Sheikh, hakuna kinachoshindikana.

ILMU haina mwisho, na ILMU ina mapana sana.

Jambo la kwanza, weka Nia.

Jambo la pili, kuwa na ile hali ya kutamani, shauku, kupenda kupita kiasi kile unachokihitaji. Nikiwa na maana,

Jitahidi japo kwa siku uweke moyoni japo Aya moja.

Na kwakuwa wewe ulianzia Juzuu ya Mwanzo, ningekushauri/nakushauri urudi nyuma uanze na Juzuu ya Ishirini na Tisa (29), ambayo ni TABAARAKA LLADHII.

Na Sura yako ya kwanza iwe Suuratul MUR-SALAAT (WALMUR-SALAAT), nimepata Uchu wa ghafla, ngoja nipate japo Aya mbili tatu hivi,

Bismillaahi RRahmaani RRahiim.

WALMURSALAATI U'RFAA.

FAL 'AASWI FAATI ASW FAA.

WANNAASHIRAATI NASHRAA.

FAL FAARIQAATI FARQAA.

FAL MUL QIYAATI DHIKRAA.

UDH RAN AW NUDHRAA.

INNAMAA TUU A'DUUNA LAWAAQI'U.


Ngoja niishie hapo nisijaze Ukurasa, maana mizuka imeshanipanda.

Kwanini nimekushauri uanzie huku nyuma?, TABAARAKA LLLADHII.

Ni kwasababu Sura za huku ni fupi sana, kwahiyo wewe jiwekee utaratibu, kila siku iendayo weka Moyoni Aya moja.

Ninakuhakikishia kila siku zinavyoenda, utaona mabadiliko, itafikia wewe mpaka kuweka Moyoni Aya Tatu au zaidi ya Tatu kwa Siku, ndani ya Siku moja.

Nenda kidogo, kidogo, InshaAllah mpaka ukifika Juzuu ya Ishirini na Mbili (22), WAMAYYAQNUT. Nna hakika utakuwa umejengeka. Unaweza kuishia Juzuu ya Ishirini na Mbili (22), na ukarudi Mwanzo Juzuu ya Kwanza ALIF LAAM MMIIM na kuanza kwenda nayo mpaka ukafikia ulipoishia, ambapo ni WAMAYYAQNUT, Juzuu ya Ishirini na Mbili (22), na kuendelea mpaka Sura ya Mwisho ambayo ni SuuratuNNAAS.

Ujue QUR'AAN ina maajabu sana.

Nafahamu kuna tofauti kubwa sana, kuweka Moyoni ukiwa mdogo, na kuweka Moyoni kwa Mtu mzima.

Ila kwa niliowaona walioweka Moyoni ukubwani, ingawa ni ngumu kiasi kwa Mtu mzima, lakini wameweza kwa uwezo wa ALLAH.

Kila la Kheri
 

Mpaka sasa kila Unachojibiwa na wachangiaji wewe kwako si sahihi.

Tujibu wewe kipi ni sahihi? Maana labda una ujumbe unataka kuufikisha lakini unazunguka-zunguka.
 
Hili si jukwaa la dini.

Umelewa?

Kama ndivyo ungepotezea maswali yahusuyo deen/Imani!; lakini unajibu na kukazia kwa ayat za Allah why? hutaki niwe muisilamu eeh? nifundishe niwe kama wewe usiogope...hhhhhhhh...
 
Mpaka sasa kila Unachojibiwa na wachangiaji wewe kwako si sahihi.

Tujibu wewe kipi ni sahihi? Maana labda una ujumbe unataka kuufikisha lakini unazunguka-zunguka.
mwaga daawa mgonjwa apone...hhhhhh...
 
Kwa ajili ya dunia yako umetoa wakati mali na juhudi ukafikia ulipofiki. Lengo ikiwa kuwa na maisha mazuri. Maisha yenyewe ni mafupi na ya kupita. Sasa kwa ajili ya akhera ili kuijua dini unatakiwa kutoa jitihada kubwa zaidi na mali,wakati na jitihada. Huwezi kuwa daktari kwa kutamani na kadhalika dini ni hivyohivyo. Ndio akasema mshairi vipi unatamani upambaukiwe ukiwa msomi pasina kujipinda? Ama kweli aljununu fununu (ukichaa ni fani nyingi). Na kama ambavyo huwezi kuwa daktari kwa kujisomesha vilevile kwenye dini lazima uwe na mwalimu wa kukusomesha na kukuelekeza misingi ya dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…