Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Mama FaizaFoxy shikamoo!!

Naomba kujua kama mwanamke na mwanaume wanatofauti ya maumbile tu ? Au kunatofauti zingine zaidi.
 
Hili Darasa sio huru kama moderate wake ni #FaizFoxy#. ... Sana Sana nijurishe yupi ni Muislam halisi Kati ya Wasunni na washia....

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126].
 
Na
Hili Darasa sio huru kama moderate wake ni #FaizFoxy#. ... Sana Sana nijurishe yupi ni Muislam halisi Kati ya Wasunni na washia....

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126].
Na mimi nasubiri
 
I apologize
 
Hili Darasa sio huru kama moderate wake ni #FaizFoxy#. ... Sana Sana nijurishe yupi ni Muislam halisi Kati ya Wasunni na washia....

[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126].

= moderator
= nijulishe

Usiwe na hofu, mimi si moderator. Mimi nimeanzisha uzi wa General Knowledge ambao ni matumaini wachangiaji watakuwa wengi na mada zitakuwa tofauti tofauti zinazotuzidishia uelewa wa mambo anuwai.

Kuhusu hilo la usunni na ushia, wote ni "Waislam halisi".
 
 
acha urongo wewe! huyo lisa valentine ni white woman
 
Naona unanikwepa kiaina.

Ujue Sisi WAISLAM tunafundishwa HIKMA kabla ya kuuliza Swali ambalo unaona baadae linaweza umiza/jeruhi Hisia za Mtu.

Unajua kwanini?

Nimetumia HIKMA kukuuliza kama Mama yako Mzazi yuhai au hayuhai, ili nikupe FAIDA ya pande zote mbili.

Labda pengine Mama ako/yako Mzazi ameshafariki Dunia, na mimi nikalenga moja kwa moja kwenye Suali, si ungejisikia vibaya sana.

Huoni hapo ningekuwa nimejeruhi hisia zako?

Nikiwa na maana, Jibu lolote ambalo ungeweza kulitoa katika Swali langu, ningekupa Faida kutokana na jibu uliloleta.

Sasa wewe nilitaka nikupe FAIDA, ambayo ingekusaidia sana Maishani mwako, na nna hakika usingenisahau kwenye maombi yako hata siku moja.

Pamoja na yote, bado nnahitaji kukusaidia.

Kama unaona hapa jamvini huwezi jibu Suali langu.

Tafadhali, naomba nijibu kwa PM ili nipate kukupa FAIDA za bure.

Hebu wewe fikiria Mimi nakupenda (No HOMO) kiasi gani.

Pamoja na yote hayo, lakini Mimi Nia yangu ya kukusaidia wewe bado ipo.

Jibu Swali
 
Moja ya post za maana kabisa kuwahi kusoma jf...da faiza Allah akuzidishie na ilmu uliyonayo uitumie kwa njia hii..hakika nimejifunza mengi sana kupitia majibu yako ya maswali mbalimbali uliyoulizwa.
AAMIN, AAMIN, AAMIN
 
Naomba kujua kinachozima moto nini!! Make hata maji ya moto yaliyochemka sana ukiyamwaga kwenye mkaa unazima!!? Kwa nini?
 
Mama Faiza foxy heshima kwako,

Najua upo hapa jf Kwa mda mrefu sana, pengine zaidi yangu

Naomba unieleze
Kwanini ninyi waislam mnatuita wa kristo makafili?

Pia kwanini kula nguruwe ni dhambi? Wakati huhuo huyo asiekula nguruwe lakini anakula mke Wa mtu na haoni kama ni dhambi
Si bora ule nguruwe tu
 


Yeyote ambae anamkufuru Mwenyeezi Mungu na kumshirikisha huyo ni kafir, iwe au asiwe Mkristo.

Sisi tunasema kama Mkristo maana yake kumfata Yesu alayhi salaam basi Waislam ni Wakristo wazuri zaidi kwani tunamfata Yesu alyhi salaam na tunaamini ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu aliyefanya miujiza. Nnakusihi msome Yesu alyhi salaaam kwenye Qur'an na mama'ke Bibi Maryam uone Uislam unasemaje kuhusu viumbe hao watukufu.

Kula nguruwe ni haram na dhambi hata kwenye biblia, isome:

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Hakuna dhambi yenye ubora. Ukiona mtu anafanya zinaa ujuwe huyo amekiuka amri za Allah na anafanya makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…