We ni faiza?Kwa upande wangu sioni tatizo.
Kwakuwa, ninapokosea napenda sana kukosolewa ili nipate kujifunza zaidi.
Na kumbuka katika/kwenye Maisha kila siku tunajifunza.
Kwahiyo, kama inatokea Mtu kukukosoa pale unapokosea, ulipokosea, Shukuru sana.
Hebu fikiria Mtu anapoteza Muda wake kukurekebisha.
Ujue huyo Mtu anakutakia mema.
Kwa Mtu mwerevu hapo hawezi kusema au kuhisi anaumbuliwa, bali unasahihishwa.
Na kama utakifanyia kazi unachosahihishwa nakuahidi hiyo ni hatua moja kubwa sana
Naomba kujua kinachozima moto nini!! Make hata maji ya moto yaliyochemka sana ukiyamwaga kwenye mkaa unazima!!? Kwa nini?
mama FaizaFoxy naomba kuuliza yafuatayo hata kama umewahi kujibu tafadhali nijibu kwa faida ya wengi,
Je, kuna aina ngapi za majini? [taja majina yake na kazi zao]
Na je, unaweza kumuita jini na ukamueleza shida yako na kukusaidia?
Ni yapi madhara ya kuita majini kwa mtu aliye yaita?
Na nini ushauri wako juu ya haya?
Ni hayo tu
By malambi
Asante Faiza kwa ufafanuzi..majibu haya yamenifanya nikumbuke kitu flan. Kwa asili waarabu wanafuga sana ngamia kutokana na mazingira yao yalivyo (mchanga/jangwa/ukame upepo mkali n.k) na pia nafahamu ngamia hana kwato zilizogawanyika, nafahamu pia ngamia analiwa sana uarabuni. Je Quran yasemaje kuhusu ngamia? ni Halal?haram?Yeyote ambae anamkufuru Mwenyeezi Mungu na kumshirikisha huyo ni kafir, iwe au asiwe Mkristo.
Sisi tunasema kama Mkristo maana yake kumfata Yesu alayhi salaam basi Waislam ni Wakristo wazuri zaidi kwani tunamfata Yesu alyhi salaam na tunaamini ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu aliyefanya miujiza. Nnakusihi msome Yesu alyhi salaaam kwenye Qur'an na mama'ke Bibi Maryam uone Uislam unasemaje kuhusu viumbe hao watukufu.
Kula nguruwe ni haram na dhambi hata kwenye biblia, isome:
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Hakuna dhambi yenye ubora. Ukiona mtu anafanya zinaa ujuwe huyo amekiuka amri za Allah na anafanya makosa.
Asante Faiza kwa ufafanuzi..majibu haya yamenifanya nikumbuke kitu flan. Kwa asili waarabu wanafuga sana ngamia kutokana na mazingira yao yalivyo (mchanga/jangwa/ukame upepo mkali n.k) na pia nafahamu ngamia hana kwato zilizogawanyika, nafahamu pia ngamia analiwa sana uarabuni. Je Quran yasemaje kuhusu ngamia? ni Halal?haram?
Nyongeza ya swali kwa yatokanayo!!Kinachozima moto ni kukosa "oxygen". Moto hauwezi kuwaka bila "oxygen".
Kwenye maji "hydrogen" na "oxygen" zimeshatumika (zime ungua) kwa hiyo haziwezi kuungua (kutumika) mara ya pili.
Kisayansi maji yana uwezo mkubwa wa kuhimili moto na ndiyo maana yana uzima.
Soma zaidi: How does water help extinguish fire?
asante Faiza. NImefata link sentensi interesting nimekutana nayo inasema "Camel meat might've been forbidden upon the Jews as a punishment for them" nimefatilia atiko nzima kutaka kujua context ya haya maelezo nimekosa. Kwamba kuna adhabu flan zinatolewa kwa makundi flan tu ya watu kwa kipindi flan na wengine haziwagusi? (mathalani labda wawachaga waambiwe wasinywe mbege kama adhabu lakini mbege hiyo hiyo iruhusiwe kwa wasukuma?) naomba ufafanuzi zaidi nataka kujifunzaNnaomba upitie hii link, hilo swali limejibiwa ki undani zaidi: why camel meat is allowed
jaribu kuwa na uhakika kwanza .Kwani tukisema mtu anaitwa John Joseph anakuwa ni mmoja tu duniani? Hudhani kuwa hilo jina la Lisa Valentine lina mtu zaidi ya mmoja hapa duniani?acha urongo wewe! huyo lisa valentine ni white woman
Hiyo red!; wee mama kwa nini unapenda kupotosha? na kwa madhumuni yepi?! Hivi ni kwanini hukuanzia msitari wa kwanza ili muulizaji apate ilimu isiyo goshiwa? kama ni mkweli na hupo hapa kwa mahaba ya deen yako, MMungu agizo hilo anampa nani kwa ajili ya nani? NB muulizaji huyo mama no muongo mkubwa kuhusu kuliwa nyama ya nguruwe! Mungu hapo anawaagiza Musa na Haruni wakanene na wana Israel wale nini na wasile nini! Jiulize wewe ni mwana wa israeli, ili agizo hilo likuhusu? halafu tumuulize wote atuwekee ayat hata ndani ya Koran, kwmba; Mimi yeye, na wewe Mungu katupiga pin tusile nguruwe! Mungu anakuona kwa kumzushia ff...Yeyote ambae anamkufuru Mwenyeezi Mungu na kumshirikisha huyo ni kafir, iwe au asiwe Mkristo.
Sisi tunasema kama Mkristo maana yake kumfata Yesu alayhi salaam basi Waislam ni Wakristo wazuri zaidi kwani tunamfata Yesu alyhi salaam na tunaamini ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu aliyefanya miujiza. Nnakusihi msome Yesu alyhi salaaam kwenye Qur'an na mama'ke Bibi Maryam uone Uislam unasemaje kuhusu viumbe hao watukufu.
Kula nguruwe ni haram na dhambi hata kwenye biblia, isome:
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Hakuna dhambi yenye ubora. Ukiona mtu anafanya zinaa ujuwe huyo amekiuka amri za Allah na anafanya makosa.
Nyongeza ya swali kwa yatokanayo!!
Kwamaana hiyo maji ya baridi hayazimi sababu oksijeni yake haijaungua? Naomba kuelewa hapo!!
jaribu kuwa na uhakika kwanza .Kwani tukisema mtu anaitwa John Joseph anakuwa ni mmoja tu duniani? Hudhani kuwa hilo jina la Lisa Valentine lina mtu zaidi ya mmoja hapa duniani?
Naona unanikwepa kiaina.
Ujue Sisi WAISLAM tunafundishwa HIKMA kabla ya kuuliza Swali ambalo unaona baadae linaweza umiza/jeruhi Hisia za Mtu.
Unajua kwanini?
Nimetumia HIKMA kukuuliza kama Mama yako Mzazi yuhai au hayuhai, ili nikupe FAIDA ya pande zote mbili.
Labda pengine Mama ako/yako Mzazi ameshafariki Dunia, na mimi nikalenga moja kwa moja kwenye Suali, si ungejisikia vibaya sana.
Huoni hapo ningekuwa nimejeruhi hisia zako?
Nikiwa na maana, Jibu lolote ambalo ungeweza kulitoa katika Swali langu, ningekupa Faida kutokana na jibu uliloleta.
Sasa wewe nilitaka nikupe FAIDA, ambayo ingekusaidia sana Maishani mwako, na nna hakika usingenisahau kwenye maombi yako hata siku moja.
Pamoja na yote, bado nnahitaji kukusaidia.
hii khutba peleka masigid kwenye watu kama
Kama unaona hapa jamvini huwezi jibu Suali langu.
Tafadhali, naomba nijibu kwa PM ili nipate kukupa FAIDA za bure.
Hebu wewe fikiria Mimi nakupenda (No HOMO) kiasi gani.
Pamoja na yote hayo, lakini Mimi Nia yangu ya kukusaidia wewe bado ipo.
Jibu Swali
Hiyo red!; wee mama kwa nini unapenda kupotosha? na kwa madhumuni yepi?! Hivi ni kwanini hukuanzia msitari wa kwanza ili muulizaji apate ilimu isiyo goshiwa? kama ni mkweli na hupo hapa kwa mahaba ya deen yako, MMungu agizo hilo anampa nani kwa ajili ya nani? NB muulizaji huyo mama no muongo mkubwa kuhusu kuliwa nyama ya nguruwe! Mungu hapo anawaagiza Musa na Haruni wakanene na wana Israel wale nini na wasile nini! Jiulize wewe ni mwana wa israeli, ili agizo hilo likuhusu? halafu tumuulize wote atuwekee ayat hata ndani ya Koran, kwmba; Mimi yeye, na wewe Mungu katupiga pin tusile nguruwe! Mungu anakuona kwa kumzushia ff...
Yeyote ambae anamkufuru Mwenyeezi Mungu na kumshirikisha huyo ni kafir, iwe au asiwe Mkristo.
Sisi tunasema kama Mkristo maana yake kumfata Yesu alayhi salaam basi Waislam ni Wakristo wazuri zaidi kwani tunamfata Yesu alyhi salaam na tunaamini ni Mtume wa Mwenyeezi Mungu aliyefanya miujiza. Nnakusihi msome Yesu alyhi salaaam kwenye Qur'an na mama'ke Bibi Maryam uone Uislam unasemaje kuhusu viumbe hao watukufu.
Kula nguruwe ni haram na dhambi hata kwenye biblia, isome:
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Hakuna dhambi yenye ubora. Ukiona mtu anafanya zinaa ujuwe huyo amekiuka amri za Allah na anafanya makosa.
Tuliokoka [tuliomkubali Yesu kama bwana na mwokozi] hatupo chini ya sheria tena. Wala hatufungwi na sheria, sisi tunaamini Yesu ni mkombozi ulimwengu [mwanadamu]
Yesu amemaliza yote pale cavalry, kupitia Yesu mwanadamu amepata msamaha Wa dhambi
FaizaFoxy said:Kwa mantiki hiyo yako basi hata Yesu hakuhusu wewe kabisa, kwani anasema:
MATHAYO
MLANGO 15
24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Nimesema HIKMA, sikusema KHUTBA.hiyo khutba peleka masgid kwenye watu kama wewe ukaambulie takbirr...Mimi mgen rejea yangu ni Yesu tu na 'ATOSHA' na amenifundisha nimjibu mpumba& kulingana na u&%mbavu asije akaonekana anayo hekima machoni pake! Ref signature yangu!...
Sote tumekaribishwa kujadili, na kujibu Masuali.We ni faiza?