Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kati ya utawala wa rais mstaafu Kikwete na Magufuli ni utawala gani umekithiri kwa rushwa? Dhibitisha majibu yako.
 
Unaona sasa....!! Hapa umeuliza vizuri kabisa lakini kwa ule uulizaji wako wa awali; hapakuwa na namna nyingine zaidi ya kukupa maandiko!!!!!
Wewe sio Faiza bhana tena ni bora ungenijibu, Faiza jibu Post 56 na 244 tafadhali
 
Naomba unifafanulie haya maneno maana naona ni mazito, (tupu ya mbele ya mwanamke au mnyama au tupu zao za nyuma).
d0039b9e6b6885f73b75d2451a06e438.jpg

8e7b41acedef103126bbc7b6345f6d66.jpg
 
Shit! We si mzima!kwahiyo anayepaswa kujifunza kuoga janaba ni aliye mzinzi tu?
Ebu acha dhihaka wewe!
Nani aliyekudhihaki? Mimi na wewe nani kaongea matamshi ya dhihaka? Kama umeoa Hivi wewe iyo ndoa yako umefungishwaje bila kupata mawaidha ya awali ya mambo ya kufanya katika ndoa na kipi ufanye kwa namna gani,maana kama ulipata mafunzo ya awali bila shaka ulifunzwa namna ya kuondoa janaba au labda uislam wako ni wa kutunga tunga kwa jina ulilopewa ambalo umeshindwa kulitendea haki kwa kulifanyia kazi
 
Asante kwa jibu lako kwa hiyo baada ya kupitia hiyo taarifa isiyo rasmi kwamba mama akiwahi kufika basi anazaliwa mwanamke na baba akiwahi kufika anazaliwa mwanaume

Ni kufika wapi huko unazungumzia ? Au kileleni ?
Kama ni kileleni asilimia Kubwa ya wanaume Dunia wanawahi kufika kabla ya wanawake ?

Kwa mtazamo huo basi wanawake wangekuwa kama kifaru hapa duniani kwa kutoweka kwao

Soma hapa, labda nimetafsiri vibaya: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
 
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.


Hivi ni kwa nini Wanawake hupenda sex kama huwa hawafiki kileleni kwa urahisi? Kwa maana mimi kama Mwanaume nafanya sex tu kwa kuwa najua kwamba nitafikia kilele vinginevyo nisingefanya, sasa kwa nini Wanawake hupenda sex ili hali hawafiki kileleni? Tena wengine hupenda hata kusex na Wanaume wengi kwa wkt mmoja kitaani tunaita mtungo, sasa ni kwa nini kama hawafiki?
 
Unauonaje uongozi wa Rais Magufuli katika mwaka wake wa kwanza wa utawala??
Hii ngumu kumeza kwa ujumla mambo yako sawa kabisa nchi inasonga mbele japo kiubishiubishi mtaani pesa hakuna ila uchumi wa nchi unakua kutoka 7.9 mpaka 7.2
 
Nasubiri unijibu swali langu, nimeambatanisha na maelezo kutoka kwenye kitabu.
 
Nani aliyekudhihaki? Mimi na wewe nani kaongea matamshi ya dhihaka? Kama umeoa Hivi wewe iyo ndoa yako umefungishwaje bila kupata mawaidha ya awali ya mambo ya kufanya katika ndoa na kipi ufanye kwa namna gani,maana kama ulipata mafunzo ya awali bila shaka ulifunzwa namna ya kuondoa janaba au labda uislam wako ni wa kutunga tunga kwa jina ulilopewa ambalo umeshindwa kulitendea haki kwa kulifanyia kazi
Well, sasa unauhakika gani kama mimi ni mzinzi?nipe ushahidi wa uzinzi wangu kwanza.
Na ni nani alikwambia mafunzo ya janaba yanatolewa siku ya ndoa?
 
Mama unawatambuaje WAHHAB ni waislam halisi na itikadi zao Zinamashiko kwenye dini.? Hata kwa dondoo fupi .

Allah anatuamrisha tuwe Waislam:

Qur'an 2:208.
Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi.


Mimi nnaamini yeyote anaeshahadia ni Muislam. Hizo ikhtilafu zilikuwepo toka enzi na enzi na zitaendelea kuwepo, cha msingi ni kuelimishana kistaha na ki ilm na si ikhtilafu zetu zituhasimishe.
 
Kwanini unapenda kuchanganya kiswahili na kiarabu ilihali mtu akikosea humu JF unamsahihisha? Au ndiyo kunya kanya kuku akinya bata kaharisha? ??


Kiswahili chenyewe kina maneno mengi sana ya Kiarabu. Labda wewe unaona ni Kiarabu lakini ni Kiswahili, labda useme nnachanganya Kingereza na Kiswahili hapo ntakuelewa.

Nipe mfano wa wapi nimechanganya Kiswahili na Kiarabu?
 
Well, sasa unauhakika gani kama mimi ni mzinzi?nipe ushahidi wa uzinzi wangu kwanza.
Na ni nani alikwambia mafunzo ya janaba yanatolewa siku ya ndoa?
Well said labda mkuu unadhani siifahamu vyema nini maana ya janaba ngoja nikupe haya kwa kifupi sana -Janaba ni hali ya mwanamme au mwanamke kutoa maji (manii) katika uchi wake, hii yaweza kuwa kwa njia ya kuota ndoto au kujichezea chezea au kufanya mapenzi na mwenza wako

Je Mkuu balehe umeipata Leo!? Bila Shaka si Leo na kama ndivyo basi kwa kipindi kirefu sana umekua ukitembea na janaba, na umekuja kujifunzia hapa kwa Faiza, kama ndivyo ulikua ni mchafu usiyefaa Mbele ya Allah na ulikua hutekelezi ibaada zote ulizotakiwa kuziteleza na kama ulikua ukizitekeleza basi zilikua hazi swihi
NB. Usikimbilie kuoa au kuolewa bila ya kudodosa dodosa mafunzo ya ndoa si kila ndoa ya kiislam basi bibi na bwana harusi huwa hawapati mafunzo wengine tulipata na tunashukuru Yalitusaidia
 
Back
Top Bottom