FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #961
inaelekea unadharau sana, wewe si ndo ulisema mwenyewe huna shida
Naam sina shida ya mapenzi. Isitoshe, hebu soma mistari hii:
1 Wakorintho 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
Qur'an iliyosema 7
32. Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.
Jee, wewe una shida na huo uchafu? (sidhani).