Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Utatupatia majibu 'Murwa' au Murua?

Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Maelezo
 
hello Faiza,

is obesity genetic??? if yes,WHY??? if not genetic WHY?

is obesity influenced by environmental causes??, if yes WHY ,if not environmental WHY??

is obesity caused by both enviroment and genetics?,if yes, WHY,if not WHY?

SUMMARY: Science shows that genetics plays a role in obesity. Genes can directly cause obesity in disorders such as Bardet-Biedl syndrome and Prader-Willi syndrome. However genes do not always predict future health. Genes and behavior may both be needed for a person to be overweight.

Soma zaidi: Bofya hapa
 
Faiza,mie huko google scholar naendaga,ila sielewi how to find themes in such vast amount of data,lol.please kama unaweza kunijibu kama nilivyostructure maswali yangu please do,thanks.
 
Faiza,mie huko google scholar naendaga,ila sielewi how to find themes in such vast amount of data,lol.please kama unaweza kunijibu kama nilivyostructure maswali yangu please do,thanks.

Rebeca 83

I have already given you a hint and where to find details. More than that will be studying for you, of which I am not ready to do.

Apologies.
 
Rebeca 83

I have already given you a hint and where to find details. More than that will be studying for you, of which I am not ready to do.

Apologies.

Its OK,Faiza am sorry for being a pain in the bum,lol,bora umeweka mipaka my dada,maana kila siku ningekua nakusumbua lol,asante kwa majibu ya maswali niliyoyauliza,
 
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.

Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.

Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.

Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.

Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.

Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.

Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.

Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.

Karibuni.
upo wapi sikuhizi we mwali?
 
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.
Maelezo
Hiyo aya uliyonukuu ya Qur'an haiendani na swali nililokuuliza. Kwa hiyo mimi ni mjinga kwa kukuuliza kujibu swali halali? Kwa hiyo wewe unapenda kuwakosoa wengine tu wanapokosea Kiswahili. Lakini wewe ukikosolewa unanuna🙂 Ama kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu! Umenifanya nikujue sura zako mbili hufai kuwa mwalimu wewe.
 
Huna lolote umefeli umeshindwa kujibu swali la msingi.
 
Faizafoxy. Naomba istilahi yako kwamba waislamu wengi vijana hawaoni umuhimu wa kusoma shule na elimu dunia. Mfano Magomeni makanya, manzese,Tandika,Temeke hata mpaka Rufiji vijana wengi hawapendi kwenda shule kuelimika. Je ni asili,au kurithi au genetiki

Matokeo yake drug mules wengi hapa nchini wanatokea dini ya kiislamu .
 
Si wao, hao ni "victims" wa mfumo wetu wa elimu tuliourithi na tunaouendeleza.
 
Back
Top Bottom